Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Saturday at 8:39 AM #1 Mke na mume wataendelea kuwa mke na mume mbinguni? Kutokuwepo baba, mama, shangazi, wajomba, kaka, dada, babu, bibi na unasaba mwingine wowote huko mbinguni? Wasio na ndoa wataendelea kuwa bila mke au mume huko mbinguni?
Mke na mume wataendelea kuwa mke na mume mbinguni? Kutokuwepo baba, mama, shangazi, wajomba, kaka, dada, babu, bibi na unasaba mwingine wowote huko mbinguni? Wasio na ndoa wataendelea kuwa bila mke au mume huko mbinguni?
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,999 Reaction score 33,523 Saturday at 8:41 AM #2 Aseee nikifa nikifika mbinguni nitamsaka mama yangu hadi nimuone tena. Nitazurura Kila kana asee.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Saturday at 8:42 AM Thread starter #3 Kambaku said: Aseee nikifa nikifika mbinguni nitamsaka mama yangu hadi nimuone tena. Nitazurura Kila kana asee. Click to expand... Itabidi uulize kwanza kama yupo
Kambaku said: Aseee nikifa nikifika mbinguni nitamsaka mama yangu hadi nimuone tena. Nitazurura Kila kana asee. Click to expand... Itabidi uulize kwanza kama yupo
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,281 Reaction score 49,313 Saturday at 8:48 AM #4 Marko 12:25 – "Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni."
Marko 12:25 – "Kwa maana watakapofufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika walioko mbinguni."