Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick wakati timu yake ya Al-Nassr ikipata ushindi wao wa kwanza wa Saudi Pro League msimu huu kwa kuwafunga Al Fateh 5-0 Ijumaa hii usiku.
Mbali na RonaLdo, mshambuliaji wa zamani wa Bayern Munich, Sadio Mane alianza kuifungia Al-Nassr dakika ya 28 na Ronaldo...