Habari zenu wakuu,Mimi ni kijana mpambanaji kwa sasa Niko Dar es laam nina mpango wa kwenda Mbeya kutafuta maisha rasmi....je ni sehemu zipi kati ya hizi: Kyela mjini, Border-Kasumulu, Tunduma na Mbeya Mjini.
Ambazo ziko vizuri kwa fursa za kiuchumi, population nk.... Msaada tafadhari...