mbeya

  1. JamiiForums Tanzania Hii Mbeya umeme vipi?

    HII MBEYA UMEME VIPI? Ndagafijo Nimetoka zangu huko visiwani nyumbani kwa mama wa nchi nikasema walau nijivinjari huku bara, ili kusaka tonge ili yule bidada mrembo asiye na doa, nimmilikiye asije nikimbia licha ya subra na uvumilivu alojaliwa na manaan. Sio hilo tu je huyu binti yake ambaye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hospitali ya rufaa Mbeya yazuia maiti ya Eliezer Solomon Njole iliyopo Mochwari inayodaiwa Tsh.1,300,000/=

    Habari za mchana Wadau! Kuna tetesi kuwa Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Mkoa wa Mbeya maarufu kama "Rufaa" imeuzuia Mwili wa Marehemu Eliezer Solomon Njole kutolewa Mochwari. Sababu inaonekana ni kushindwa kulipa deni la Tsh.1,300,000/= anayodaiwa. Je, kama kuna ukweli mliopo Mbeya tujuzeni...
  3. JamiiForums Tanzania College ya Afya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mbeya inajengwa sehemu gani?

    Wakuu Chuo hiki kinajenga wapi College yao ya afya pale Mbeya? Mkuu wao wa chuo, JK aliwaombea eneo la kujenga chuo. Waliomba wajenge viwanja vya Tanganyika packers. Badaaye nasikia wizara ya kilimo walisema lile eneo wana kazi nalo, wanataka kufuga ng'ombe hivyo chuo wakapewa eneo jingine...
  4. JamiiForums Tanzania RC Homera: Watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato wapangiwe kazi nyingine

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine. Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza...
  5. JamiiForums Tanzania Nipeni ufafanuzi juu ya majina ya ukoo yanayoanza na "Mwa" kutumika Mbeya, Njombe na Iringa

    Hapo zamani kila mtu ambae jina lake lilianzia "Mwa" nilidhani ni mnyakyusa, ila baada ya muda nikajua kwamba watu wenye haya majina wamesambaa makabila mengi ya Mbeya, Iringa na Njombe Wanyakyusa wapo kina Mwakyusa, Wahehe wapo kina mwakatundu (mfano msanii mike tee) Wabena wapo kina...
  6. JamiiForums Tanzania Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

    Hii imekaaje. Ni kwamba serikali inafanya miradi yake kwa upendeleo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya, Ooh! My dear Mbeya!

    Nilikulia na kulelewa Mbeya maeneo ya Majengo na Nonde-machinjioni. (1974-1980). Nikaondoka kwenda kusaka maisha. Nikalowea huko nilikokuwa. Nimerudi majuzi. Daa!! Ooh! Mbeya, my dear Mbeya!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya mafanikio ya soka Mbeya?

    Nchi yetu imejaliwa kuwa na mikoa takribani 30 kwa sasa, na mfumo wa michezo inayosimamiwa na TFF unahusisha mikoa yote ya Tanzania bara, hata hivyo kuna mikoa ambayo huwezi kusikia ina timu inayoshiriki ligi kuu miaka yote. Ukiacha Dar es Salaam, na timu za taasisi mikoa mingine imekua...
  9. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam

    Wakazi wa Mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam. 1. Wanaishi kwenye nyumba zao wakati wakazi wa Dar wanaishi kwenye nyumba za kupanga. 2. Asilimia kubwa ya wakazi wa Mbeya wanamahali pakulala wakati wenzangu namimi wa Dar wengine wanalala kwenye mataili...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Aliyemuua mkewe na kumnyofoa viungo ili apate utajiri ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu mkazi wa Kata Mjele, Wilaya ya Mbeya, Mateso Wilson (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua na kunyofoa viungo vya mkewe. Mateso alidaiwa kumuua mkewe Zaina Mela na kunyofoa viungo vyake yakiwemo maziwa na masikio. Hakimu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Arusha, Kilimanjaro, Mbeya zaongoza kwa viriba-tumbo

    MIKOA ya Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na Unguja Kaskazini inaongoza kwa wanawake wenye unene wa kukithiri, maarufu kama ‘viriba-tumbo’ (obesity). Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, Dkt. Germana Leyna, ameeleza hayo katika mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam leo...
  12. JamiiForums Tanzania Delivery ya mizigo midogo Mbeya Mjini, Songwe na Mbozi (Mlowo na Vwawa)

    Habari wana jukwaa, kwa wakazi wa Mbeya mjini wenye uhitaji wakusafirisha 🚚bahasha ndogo ndogo, mizigo kama furniture, gunia za mahindi n.k. kwa hapa hapa mbeya mjini na pia kuelekea Mkoa wa Songwe hapo chini tu, ningependa kuwakaribisha. Gharama zetu ni nafuu na rafiki, wasiliana nami...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Isaya Mengele na Askofu Mwaikali, mgogoro wa KKKT Dayosisi ya Konde unawapaka matope!

    Askofu Mengele -katikati na Askofu Mwikali aliyesimama walipoita waandishi wa habari wakijieleza. Askofu Mengele amefunga safari kwenda Mbeya kumpa tafu Askofu mwenziwe Askofu Mwaikali ambaye ana tuhuma zinazo muweka katika sintofahamu na kondoo wake. Kitendo cha kupeana tafu kati ya hawa...
  14. JamiiForums Tanzania Mbeya kwanza FC special thread

    Kama wewe ni mpenzi wa timu hii ya Mbeya iliyopanda daraja msimu huu karibu tujadili mambo gani muhimu yanatakiwa ili timu hii isishuke daraja.Katika maandalizi ya kuelekea ligi kuu timu hii imechukua kombe liloanzishwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya baada ya kuifunga timu ya Ihefu fc.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

    Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi Usipange kukosa kufuatilia Mtaarifu mwenzako
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

    Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe ...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM iliahidi kutengeneza njia nne mlima wa Mbalizi Mbeya hadi leo kimya, Dr. Tulia sasa wewe ndio mbunge wa Mbeya, unasubiri vifo vingapi?

    Hakuna kitu kinakera kama ahadi za uwongo wa wanasiasa. Na mbaya zaidi ni pale ambapo wanaahidi uongo kwa vitu ambavyo vinagharimu maisha ya watu. Kwa nini wanasiasa wanapenda kusema uongo? Tuchukulie huu mteremko wa Mbalizi unapotoka Mbeya mjini kwenda Songwe airport, Mbozi Tunduma na hata...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Dawa za kimasai zinapatikana wapi, kwa huku Mbeya

    Habari Nipo Mbeya nahitaji muongozo kwa yeyote anaefahamu wapi naweza pata dawa za kimasai
  19. T

    JamiiForums Tanzania Karibu Mwenge wa Uhuru mkoani Mbeya

    KARIBU MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA. Mwenge wa Uhuru baada ya kumulika maeneo mbalimbali nchini sasa ni zamu ya mkoa wa Mbeya. Ni Jumamosi hii ya Septemba 11, 2021 Mwenge wa Uhuru utapokelewa wilayani Mbarali katika eneo la Igawa tayari kwa kuanza kukagua miradi na shughuli mbalimbali mkoani...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya yapokea Tsh bilioni 1 ya fedha za tozo kujenga vituo vya afya 4

    Katika fedha za makato ya simu, sisi Mbeya tumepokea shilingi bilioni 1 kwa ajili ya vituo vyetu vya afya vinne ambavyo ni kule Chunya tarafa ya Kipembawe, Unyakyusa, Utagano na Mbeya DC pia tumepata kimoja kwahiyo ni ahueni kubwa kwetu." Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…