CCM policy ya kuua upinzani ni hiyo
Hii ina baraka za samia maana alisema ugaidi wa vijana katika hotuba yake juzi
===========
Viongozi watatu wa CHASO Mkoa wa Mbeya pamoja na vijana wengine watatu waliokamatwa Mkoani Mbeya tarehe 03/07/2026.
Baada ya kukaa ndani kwa siku 20, hatimaye leo jioni...