Katarama bus... Mbeya to Dar

Katarama bus... Mbeya to Dar

Kibunango

Platinum Member
Joined
Aug 29, 2006
Posts
8,566
Reaction score
2,549
Leo najaribu kupanda basi hili la Katarama....

Kwa mjibu wa tiketi bus lilitakiwa kuondoka Mbeya saa 9... hadi sasa ni saa 9:50! Na hakuna dalili zozote kama bus hili litafika toka Tunduma.

Kwa waliowahi kupanda bus hili tokea Mbeya naomba ushauri wenu. Aidha hizi safari za transit hapa Tz huwa vipi?
 

Attachments

  • 20261006_144111.jpg
    20261006_144111.jpg
    1.1 MB · Views: 12
Mwenye status ya sem luxury aweke hapa...

Jaani, ndani joto nje vumbi...

By the way bus lilifika one hr late..
 
So far just one stop at Uyole Junction
 
Back
Top Bottom