A
Anonymous
Guest
Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya
Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida mbalimbali lakini wanaambiwa na mlinzi, 'wahusika bado hawajafika', lakini kiuhalisia wahusika wapo ndani ila hawataki kuhudumia wananchi ambao wameacha kazi zao na majukumu yako ya kila siku.
Sasa ni saa la sita wametuweka nje ya geti hata kutukaribisha ndani ya shule hakuna,tunapigwa vumbi na upepo.
Nawasilisha kero yangu, kwa Taasisi zinazohusika ifanyie kazi suala hili.