mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kikosi Kazi kimeundwa na Msajili sio Rais, na wajumbe wake hawajaapa mbele ya Rais

    Tusifananishe KIKOSI KAZI na Tume za Kijaji za Nyalali, Kisanga na Warioba. Kikosi kazi hakikuundwa na Rais. Kimeundwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya AZIMIO la kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichofanyika Dodoma. Tume ya Nyalali, Kisanga & Warioba, zote, zilianzishwa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma..! Urusi ndiye mtawala wa Dunia ajaye, na utawala huu utaamua utawala wa milele ambao wakaliwa na...

    Grandbook haidanganyi, soma kwa makini na uelewe DANIEL 1: 31 Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha. 32 Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Manchester United mbele ya Klabu kama Liverpool, Arsenal, Manchester City na Chelsea

    Tumeona wiki zilizopita kuwa baada ya Manchester United kushindwa kufuzu Ulaya ndipo UEFA ikakaa chini ibuni mbinu hata kama ya kijanjajanja ili mradi Man Utd wafuzu Na nyie mmeona Man Utd kapewa nafasi ya kufuzu eti kutokana na historia yake, sasa anahistoria gani Man Utd? Kwani Aston Villa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini bunge linakosa utashi katika kuidhinisha vipaumbele vya serikali

    Yaani kilimo ambacho kimiajiri wananchi asilimia 85% kimetengewa billion 751 wakati wizara ujenzi na uchukuzi imetengewa TRILION 03 sasa hapa kuna nini? Utakuwa umeondoa umaskini wa hiyo population ya 85% kivipi hapo?
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya kusafisha kioo cha mbele cha gari

    Wakuu kioo cha mbele kina kama ukungu hivi, naomba msaada nijue dawa ya kusafishia..
  6. JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo kutoa Maoni mbele ya Kikosi Kazi cha Rais leo Mei 23, 2022

    Baada ya Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar, Timu ya ACT Wazalendo ipo tayari kuwasilisha Maoni ya Chama mbele ya Kikosi Kazi cha Mh. Rais Kuhusu Demokrasia. Mikononi ni chapisho la Maazimio ya Kamati Kuu Kuhusu Maoni ya Chama Kwa Kikosi Kazi. Timu...
  7. JamiiForums Tanzania Japo ligi inaelekea ukingoni, NBC bado wanayonafasi ya kuboresha tangazo lao la "kupeleka mbele soka la nyumbani"

    Kwa wadau wa Sports Marketing, mnaonaje tangazo la mdhamini wa ligi kuu (NBC Bank)? Kwa maoni yangu, tangazo la mdhamini wetu wa ligi kuu (NBC Bank) ni zuri lakini haliwatangazi. Tangazo lao, haliwatangazi bali linaonesha tu kuwa nao bado wapo. Segement ya huduma zao ipo kama haipo. Mpaka...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...
  9. JamiiForums Tanzania Kenya yaupiga mwingi,tuige mfano huu wa kenya tusonge mbele zaidi.

    Ubunge iwe ni nafasi ya mtu mwenye uchungu na dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi na usiwe kigezo cha mtu kwenda kujichumia mali .
  10. JamiiForums Tanzania Utabiri wa wazi kama hujui kulima na kupanda utaishi kwa tabu sana miaka ya huko mbele

  11. JamiiForums Tanzania Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

    Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar. Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Inonga amekuwa kitonga mbele ya chirwa

    Uyu mzee wa midadi leo amekuwa uchochoro mbele ya Obrey chola chirwa, Inaonekana alitumia nguvu kubwa Sana kumzuia mayele asifunge akasahau kule namungo kuna kiumbe mwingine anayetumia nguvu na akili matokeo yake amekuwa anaburuzwa tu kama gari bovu sasa sijui atatetemeka na Leo au vipi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa vyovyote vile ni mwiko mtetemaji kutetema mbele ya simba

    Kwa matokeo yoyote yale ila ni marufuku mtetemaji kutetema mbele ya simba!!
  14. JamiiForums Tanzania Adam wa kiafrika mbele ya Eva, atapona?

    Huyu Adamu wa kiafrika atapona kweli? Tunda lazima liliwe.
  15. JamiiForums Tanzania Simba SC wanatupa somo la mpira, kwamba uwanja wa nyumba ndio uwanja Sahihi wa Team kusonga mbele

    Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga. . Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani. . Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani. . Team makini na Sahihi haiwezi kukubali Kupoteza Kwenye Uwanja Wa Nyumbani kwao ingawa mpira una...
  16. JamiiForums Tanzania Baraza kuu Chadema lasogezwa mbele

    Mtandao wa gazeti la Mwananchi umemnukuu Freeman mbowe akisema kuwa mkutano wa Baraza kuu la Chama umesogezwa mbele toka April 25 Hadi may 11 ili kupisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan
  17. JamiiForums Tanzania Tutangulize Uzalendo mbele kwenye mchezo wa Simba Vs Orlando Pirates

    naweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates. Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali. Wito kwa sisi mashabiki wa Yanga, tujitunze kuwasapoti watani zetu katika hatua hii muhimu, baada ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila wizara na Idara ipewe maelekezo kwenda mbele ya waandishi wa habari kujibu hoja za C.A.G, japo muhusika wa awamu ya tano alishafariki.

    Ni vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi, itolewe, tena kwa kina kabisa. Tunajua mengi si makosa yao, walikuwa wanapelekeshwa. Na pia watoe...
  19. JamiiForums Tanzania Dodoma: CAG kusoma ripoti ya 2020/21 mbele ya waandishi wa habari

  20. JamiiForums Tanzania Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa viongozi wanapata nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa ila ni sababu tu ya majina ya watoto wao. Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, Ridhwani Kikwete, Januari Makamba, Nape Nnauye n.k Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…