Ndejembi atakula mafao na pensheni kwa miaka mingapi mbele!?

Ndejembi atakula mafao na pensheni kwa miaka mingapi mbele!?

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
820
Reaction score
2,097
Katika hizi teuzi za nafasi kubwa serikalini ni vizuri kuteua watu ambao umri umeenda kidogo ili kulipungizia Taifa gharama ya kuhudumia Wastaafu kwa miaka mingi ijayo.

Mtu kama Ndejembi akiwa makama wa Rais Sasa kwa miaka mitano tu na yuko below 60 hata Nchimbi for God sake watakula hizo 80% kwa miaka mingine 20 to 30 ijayo kwa jambo gani spesho hasa waliloifanyia nchi hii!?
 
Ilitakiwa wanasiasa nao mafao yao yawe handled na PSPF. They are not exceptional.
 
Fikra za kimaskini ni kuwaza kula kula tu.

Kwenye nchi maskini nafasi za juu serikalini ndo tiketi ya watu kujiondoa kwenye umaskini.

Hatujielewi kabisa sisi.
 
Halafu chadema wanaambiwa wakafanye maridhiano na watu wasioridhiana wenyewe.
Maneno kuntu sana. Asante Kwa kuliona hili kwa jicho la pili. Mariadhiano ya ndani hakuna, hayo ya nje yatawezekanaje? Wamegota deep sana…
 
Back
Top Bottom