mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa namna ninavyoona taifa langu likipotea, nabugia Balimi kwa kwenda mbele na kuchanganya na Konyagi. CCM imeharibu mustakabali wa Taifa letu

    Naona kama taifa letu halina future tena. Mwalimu Nyerere aliwategemea hawa jamaa wa iliyokuwa USSR. Kwa ujinga uliokuwepo tukaimbishwa nyimbo kuwa ni watu wazuri na sio wanyonyaji. Lakini hakuna walichotusaidia zaidi ya wao kuuza siraha zao na kunufuika wakati wa vita vya Kagera na hata pia...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo jinsi nyimbo zetu zinavyosikika mbele ya masikio ya watu wa nchi zingine

    wanasikia hivi, watu wa Europe, Asia na Marekani 👇🏾
  3. JamiiForums Tanzania Bora tufikishane mbali potelea pote. Lakini huwezi nitandika Mbele za watu kisa wewe kiongozi bila Sheria kufuatwa

    BORA TUFIKISHANE MBALI POTELEA POTE. LAKINI HUWEZI NITANDIKA MBELE ZA WATU. KISA WEWE KIONGOZI BILA SHERIA KUFUATWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Watibeli sio kwamba Sisi ni wajeuri. Hapana. Sisi ni watu wa principles, watu wa kanuni. 2. Ukishakuwa mtu wa principles watu wengi...
  4. JamiiForums Tanzania Kadhaa wajeruhiwa baada ya taili za mbele za ndege kupasuka

    Frankfurt, Germany: wafanyakazi kadhaa wa ndege kampuni ya Lufthansa Boeing 787, wapata majeruhi baada ya taili za upande wa mbele wa ndege(nose gear) kupasuka wakati ikiwa imepaki katika geti la airport ya Frankfurt. Lufthansa wamesema wafanyakazi kadhaa wapata majeruhi baada ya tukio lakini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimeona mama mmoja analia kwa uchungu mbele ya Mwigulu Nchemba kuwa mtoto wake alitekwa na polisi. Je haya ni maigizo yanayofanywa na Chadema?

    Mama huyu amelia kwa uchungu sana. Tena Waziri mkuu ameona kwa kauli yake kwa kusema kuwa wanaChadema wanajiteka akimaanisha hakuna utekaji. Mama amelia kwa uchungu sana maana anadai polisi walifika nyumbani wakijifanya wamachinga na kumteka mtoto wake tangia mwezi wa nne. My take; hata kama...
  6. JamiiForums Tanzania Magari ya Toyota generation mpya mpya zinafanana sana kimuonekano. Unaweza usijue ni model gani ukiona picha kwa mbele

    Kama umefuatilia, generations mpya za Toyota kuanzia 2023 kuja mbele zimekua kama zinashare design language moja kwa mbele. Mfano: Toyota Crown 2025 Lexus ES 350h 2025 Camry 2025 Prius 2025 Ata ukicheki baadhi ya crossovers/SUV kama nazo kwa mbele zinafanana design. Angalia mifano...
  7. JamiiForums Tanzania Kazi na Utu: Tunasonga Mbele

    #KaziNaUtuTunasongaMbele #TabasamuLaUtu #maendeleoendelevu #diplomasiayakiuchumi
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii hotuba ya Gavana wa Bungoma Ken Lusaka mbele ya Polisi imewagusa wengi

    Video ya Gavana wa Bungoma, nchini Kenya, Ken Lusaka, imekuwa gumzo mitandaoni baada ya kuwapa ukweli mchungu maafisa wa usalama. Aliyasema hayo Januari 2024 kwenye uzinduzi wa kituo cha “Reinforcement” katika kaunti hiyo. Katika hotuba yake iliyojaa busara na vionjo vya ucheshi, Lusaka...
  9. JamiiForums Tanzania Kwaheri Irene, nyuma yako mbele yetu, Innalillah Wainna Illah Rajuun, tusipuzie wanaotaka msaada na kuita matapeli

    Humu jf Kuna watu wana roho ngumu na mbaya sija pata kuona eti hadi I'd za kike, dah. Kipindi Fulani nilitukanana na jamaa humu, Kuna mtu alitaka msaada, jamaa akaanza kumita tapeli nikamvaa nikamwambia bro kama una wasiwasi usitoe sio uwe chanzo cha wengine kutotoa. Mapema majuzi nilikua...
  10. JamiiForums Tanzania Nafafuta taa za mbele za Suzuki swift old model(2003)

    Habarini wakuu.. kama post inavojieleza natafuta taa zote mbili za Suzuki swift nipo DSM
  11. JamiiForums Tanzania Iran kaanza kutepeta mbele ya Marekani!!

    Ripoti mpya ya Axios inasema makubaliano yanayoibuka kati ya utawala wa Trump na Iran yanaweza kujumuisha Tehran kutoa akiba yake ya urani iliyoruyubishwa, kusimamisha urutubishaji wa urani kwa muda mrefu, na kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz. Kulingana na Axios, maafisa wa Marekani...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo tata ya dunia hufichwa gizani, huku ukweli ukipotezwa mbele ya macho yetu✍️

    👉Chanzo halisi cha uumbaji wa dunia bado ni mjadala mkubwa wenye mitazamo ya dini, sayansi na falsafa. 👉Siri ya maisha baada ya kifo imeendelea kuwa fumbo linalowagawa wanaoamini mbingu, kuzimu au kutokuwepo kwa maisha mengine. 👉Swali la kama Mungu yupo au hayupo linaendelea kuzua...
  13. JamiiForums Tanzania Usifanye haya mbele ya Maji

    Usiwahi Kunywa Maji yaliyopo Mbele yako mara baada ya kuongea Maneno hasi.. ukizungumza ukiwa na hasira kali mawazo mabaya, Maji huwa na tabia ya kufyonza kila mtetemo wa kila neno ulilotoa. Ikiwa Utazungumza Maneno hasi huku Maji yapo pembeni, Kisha ukabeba Maji hayo na kuyanywa basi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA YANGU, Kila Mkutano wa Hadhara Tupate Dakika Kumi za "Mwanamke Muhanga" atakayesimulia Jinsi Mumewe/Mtoto/Ndugu alivyouliwa mbele yake !!!.

    Hapa DUNIANI, Siasa, DINI, Michezo na Mapenzi huenda ndio vitu pekee ambavyo hushika "HISIA / EMOTIONS" . Sasa Wanawake ni viumbe waishio kwa HISIA . Ni katika kulijua hili, Mtunzi mzuri wa Tamthiliya uhakikisha ANATUNGA KWA KUZINGATIA HISIA, NA UKWELI YA KWAMBA KILE ATAKACHOKITUNGA...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Anajilisha upepo tu, kile kikohozi ni ishara ya misukosuko na shinikizo anazojikakamua kukabiliana nazo

    Watu ambao hukabiliwa na msongo wa mawazo na wanaohofia au kujua jambo baya linalokaribia kuwakuta kwa kawaida ni waongeaji sana, wabwatukaji sana. Hata kama unauguza mgonjwa, siku ukiona anaongea sana na kupenda kula kaa chonjo. Huwa siyo bahati mbaya, ni namna yao kujifariji kuwa kila kitu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Samia: Ukiapa unaapa mbele ya Mungu, Serikali inaamrishwa tu kupitia Rais kwamba huyu ana haya na haya weka pembeni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliokula viapo vyao leo Mei 6, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa uadilifu, akisisitiza kuwa kiapo ni ahadi nzito mbele ya Mungu. "ukiapa unaapa mbele ya Mungu. Hii...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe tumefika Namba Q na hamsemi? DJ niletee 'wasiojulikana' mbele... Halafu kuna malegend wasioweka plate kabisa!

    Wakuu, Tumefika lini kwenye Namba Q wakuu, kuna herufi nilikuwa naisubiria hapa kati, kwahiyo ndio basi tena? Huyu mtu anaenda zake kufanya uhalifu, anakukonga anasepa, unatekwa umesukumiwa humo ndani ndo imeisha hiyoo! Kwanini waruhusiwe kutembea na namba hizi? Lengo ni nini? Na ukiangalia...
  19. JamiiForums Tanzania Vita Vipya Mbele? Ishara Zaonyesha Kuongezeka Kwa Mapigano, IRAN WALALAMIKA

    Ndege ya Wing of Zion iliondoka Nevatim, na kuzua uvumi wa mapigano mapya. Ripoti za Iran zinadai Tehran imepokea taarifa za kijasusi kuhusu shambulio la kushtukiza la Marekani na Israel baada ya Siku ya Uhuru. Rais wa Iran asema nchi hiyo haitaachana na haki zake za nyuklia licha ya shinikizo...
  20. JamiiForums Tanzania Watu wawili wenye heshima mbele ya Trump

    Hawa watu wawili pichani, uhai wao ulihifadhiwa na Trump kwa ajili ya mazungumzo. Hawa ndio future ya Iran mpya. Trump alimkataza Netanyahu asiwaue. Kulikuwa na mmoja aliyekuja kuuawa — mtu ambaye Trump hakutaka auawe. Tukio hilo lilimkasirisha sana Trump, ndipo akatoa onyo kali kuhusu watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…