Baba alitaka kuniua Mbele ya Walimu na Wanafunzi wenzangu. Kama tu si Kuzuiwa...

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Nilikuwa nasoma kisa cha mtu flani humu nikakumbuka story ambayo nlishaielezea twitter kwa wadau wa huko.

Miaka hiyo nlikuwa nasoma shule flani ya Sekondary Mkoa fulani hapa Tanzania. Unajua tena shule za Boarding na ujana nikiwa Kidato cha sita nikapata msala baada ya kukamatwa Namkamua binti mmoja mtoto wa mwalimu kwenye shamba la Mahindi.

Yule mtoto kiukweli alikuwa amenizimia kitambo tu akija likizo akanikuta shule (Mimi A level) yeye ndo alikuwa anamaliza Form 4. Ilikuwa nikipita mbele ya nyumba zao ananitizama namna flani hivi kunitamani.

Jumamosi hiyo akaja kuonana na baba yake shuleni alipotoka nami nikaunga tela. Kumbe baba yake alikuwa anacheck mtoto wake ataongeleshwa na nani.

Mimi nikaunga ila kama machale nami yakanicheza nilipomkaribia nikajifanya nimedondosha kitu.nikainama kuokota na nikatumia nafasi hiyo kuchungulia nyuma. Nilimuona dingi yake kasimama dirishani ofisini kwake anacheck. Basi nikainuka nikakaza mwendo nika mu overtake yule binti.

Kufika mbelembele kule kwenye mitimiti na mashamba nikaanza mwimbisha. Binti akakubali. Tukawa tunaonana onana kwa kuibia sana. Akija chota maji ya kisima cha ku pump pale shule navizia mitaa flani namkamata namnyonya mate namwachia.

Siku hiyo akaja kuchota maji mida ya saa 12 hivi jioni. Kawaida ilikuwa wakija watu toka kwa walimu sisi tunawapisha wachote. Basi akachota akawa anaondoka akiwa ameongozana na mdogo wake.

Nami nikachomoka kumkatia denge mitaa flani.kufika nikamsimamisha.akasimama nikamwomba angalau basi tubonge kidogo. Akamwambia mdogo wake atangulie wakimuuliza aseme yeye yupo kwenye foleni anakuja. Dogo akaondoka akiwa hajaridhika kabisa.maana nlimwona kama anageuka geuka na kuondoka kwa kusua sua.nikamhimiza awahi asiweke usiku.

Hapo mimi akili yote imehamia chini.huku juu hamna kitu kabisa.na binti alikuwa amemwagikiwa maji so mgongoni kaloana mwili unaonekana....basi ubongo ni kama ukawa umekuga ganzi. Nikamwomba tuchepuke maana pale njiani. Nikamtua ndoo nikamvuta pembeni kwenye mahindi mengi.

Akawa kidogo anabisha bisha nikaanza mnyonya mate.akalainika....ubishi ukaisha.nikamnyanyua kanga...akakumbuka ndoo ya maji ameacha. Nikatoka nduki kwenda ibeba huku mahindi yakinikwaruza kwaruza.

Nikaleta ndo nikamwambia mguu mmoja akanyage kwenye ndoo then abinue makalio....maana alikuwa nayo then nikaingiza pipe...nikampump mara kadhaa...

Kumbe kule kwao waliona kimya sana na kumuuliza dogo hakunyoosha alichoambiwa na dadaye mwalimu akaamua kuja kumfuata bint yake maana giza nalo lilikuwa limeanza kutamalaki.

Ticha anafika yale maeneo anasikia miguno....akaamua kusogea mi nikasikia mtu anatembea kuja tulipo. Wakati huo giza nalo limesha taradadi...kucheck hivi ticha sasa sijui akili ilichelewa kurudi maana kumbuka muda wote huo ime freeze chini tu ndo kunafikiri....nikachomoka kama nguruwe kuelekea uelekeo ambao ndo naye anatokea. Zile kelele zilituchanganya. Nikawa nimemvaa akaangukia kisogo aka cool down kidogo. Haraka nikapata akili kumwambia bint ajiongeze nikabeba ndoo mpaka njiani nikamtwisha.

Nikarudi kwa mwalimu bado ame cool pale down.nikajua either nimeua au kazimia. Basi nikampump mara kadhaa kifuani.nikampump tena akashtuka...ile anang'aa ng'aa macho nami sasa nataka niinuke aliniwasha bonge la bao na kuanza kupiga kelele mwizi.....mwizi, mwizi....

Sekunde tu wanafunzi wenzangu wakawa wameunga trailer kunikimbiza.bahati mbaya mimi nina mguu mmoja uliwahi pata shida so siwezi kimbia sana. Wale wanafunzi wao kiukweli ndo walikuwa wezi.ilikuwa jioni wanaiba mahindi na kwenda kuchemsha porini. Wakanikamata na kunipeleka shule.

Sasa Ticha kumbe kaamua angalau anipe kesi moja. Ile nyingine akawa amenyuti nayo kwanza.ikapigwa kengele ya dharura saa moja. Wanafunzi wakaja nikatangazwa mimi ndiye mwizi wa mahindi ambaye siku zote natafutwa.

Binafsi sikuwa mwizi.ila wale mashujaa walionikamata siku ile ndo walikuwa wezi wenyewe.siku hiyo wakawa mashujaa. Ila tulikuwa tunajua walikuwa wezi wa mahindi.maana ilikuwa wakirudi usiku wanatafuna mahindi na wakilala ni kuchafua tu hali ya hewa. Huku wakinuka na moshi.

Jumatatu kikao kikafanyika ikaonekana nipewe barua ya kwenda kusimamishwa shule na pia kutokuonekana mpaka siku ya mtihani.

Nlienda ofisini kwa mwalimu ambaye tulikwazana....aliponiona tu akapiga ukunga.... " We shetani sitaki kukuona mbele yangu, wewe hufai muuaji malaya....wewe usikae mbele yangu shetani mkubwa...."

Sasa mwalimu mmoja rafiki yangu sana akauliza...kwani mwalimu Sendeu kuna nini tena kwa huyu kijana zaidi ya kuiba mahindi?"

Yule mwalimu sendeu sasa akaona hapo ataharibu akabadili.... " Mwalimu, unadhani mtu anayeiba mahindi ni mtu basi?ni shetani kabisa...maana anataka wenzake wafe njaa na ni mbi afsi malaya kabisa anataka kuharibu watoto wetu" nligundua mwalimu alijua nlikuwa namla mtoto wake ila hakutaka kusema kwa watu.maana alikuwa ni mwalimu mwenye majidai sana pale shuleni.

Miaka yote nasoma mi sikuwahi kuwa na msala. Niliumia sana. Nikaenda bembeleza kwa Mkuu wa Chuo.angalau alinisikiliza sababu kimasomo nlikuwa vizuri sana darasani. Akaniambia angalau nitapewa suspension ya miezi kadhaa nije na mzazi kwanza.

Nlirudi home. Nikamweleza mzee ile issue. Mzee aliwaka sana.kuwa nimeanza lini kuwa na tabia ya wizi?ndo nmeenda jifunza shule?miaka yote mwaminifu...mzee akasema Alhamis tutaenda sote shule. Alhamis akaniita na kunipa darsa refu sana.akaniambia amenisamehe ili nikasome nitulie niache ujinga. Lakini tunapoenda shule nikakubali kipigo atakachoniangushia.

Basi siku hiyo tukaondoka. Tukafikia kulala center ili asubuhi na mapema tuende shule.kweli saa 12:30 tupo nje ofisi ya mwalimu mkuu. Saa moja na robo mkuu akawa anafika ofisini. Mzee akaniacha nje wakaongea sana.

Muda wa assembly mkuu akaenda assembly na baada ya muda mzee akaitwa. Mzee akasalimia wanafunzi na kuwapa pole ya masomo. Akajitambulisha na kuonesha huzuni yake kwa kitendo changu.

Kisha akaomba apewe nafasi atoe hata adhabu ya mfano kuonesha mzazi anaunga mkono suala la maadili kwa wanafunzi.na anachukia wizi.nikaitwa.zililetwa fimbo za kutosha.mzee alinicharaza bakora hasa....mpaka akawa sasa ananipiga na mateke. Shule nzima ilikuwa kimya.mzee akaona sasa anachoka kuniadhibu. Akachomoa kisu...animalizie kabisa ....

Hapo nikasikia....."jamani ametoa kisu mshikeni..." Walimu wa kike wakaanza kukimbia.... Mzee alikuwa amepandisha mori...anasema yeye bora tu ajue hana mtoto....wakamuwahi....walimu wengine wakaja niiunua pale chini nipo hoi. Wananipeleka ofisini kwa mkuu.

Mzee anafoka kuwa nisithubutu kurudi nyumbani atanikatakata kama nyama. Aliapa pale kuwa hataki niona kabisa....yeye siyo baba yangu.

Wakamtuliza moyo....then mkuu akaondoka naye mimi nikiwa nimefichwa store ofisini kwa mkuu wa chuo. Watu wakaanza nionea huruma. Walimu wengine wakawa wanakuja nijulia hali.

Baadaye nikaja itwa nikaambiwa nikapumzike bwenini.ilikuwa story week nzima. Bint sendeu sikuwah mwona tena. Mwl aliniambia siku akiona tu nimesimama na mwanaye tena ataniua.

Mzee alikuja niambie asingeweza nichoma kisu ilikuwa ni mkwara tu ili kuhamisha magoli nihurumiwe kurudi shule. It worked.
 
Ilinikuta O level, mkuu wa shule aliamua mimi na huyo binti tulete wazazi baada ya suspension kuisha. Binti alikuja na dingi yake na mimi nikaja na mzee wangu, ikapigwa kengele ya dharula watu wakaja assembly... Wanafunzi wakatangaziwa makosa yetu (kufanya mapenzi darasani) na kuambiwa kuwa tulipewa adhabu tatu na moja (suspension ya wiki tatu) imeshaisha bado kuchimba mchanga na kuadhibiwa na wazazi mbele ya assembly. Aisee kama sio huruma za maticha wa kike Mzee angeniua pale
 
Mzee umenikumbusha mbali sana,nakumbuka kipindi nipo form 3 nilikuwa muhuni sana,mbabe shule nzima,naenda shule asubuhi nimevuta bangi macho mekundu kinoma.
Nakumbuka ilikuwa ijumaa kipindi cha mwisho kabisa ,mwalimu wa English alikuwa anafundisha darasani,alarm ililia mda umeisha nikachukua begi langu hapo bado mwalimu yupo darasani maana alikuwa na tabia yakuendelea kufundisha hata kama alarm imelia,nikasema leo atanisamehe nasepa kuwahi kuvuta bangi alafu ilikuwa ijumaa nishahaidiana na demu wangu,nikambandue gheto kwangu...
Nikachukua begi nikampita mwalimu,mwalimu akaniambia unaenda wapi mimi bado nafundisha nikamwambia acha kunizingua mda ushaisha,mwalimu akanifuata kunizuia nikasimama,mwalimu mwenyewe ndo alikuwa ametoka chuo nalingana nae kwa mrefu sema umri kanipita miaka kadhaa.
Teacher akasogea akanikaba sweta,akanitandika kofi moja darasa nzima wanafunzi looooo,nikasema hapa ngoja nimfundishe mimi nani,alafu kipindi hicho nilikuwa najifunza taekwondo wanafunzi wote waliniogopa maana nilikuwa napiga mateke kama damme,wengine nilikuwa nawafundishaga wananipa vibuku buku vyao.

Nilivumilia kofi nikamsogelea,kidogo nikamtandika teacher bonge la kichwa,akaanguka chini ile anahamka akakutana na stop kick kule akaanguka kwenye meza iliyokuwa mbele ya darasa.
Teacher midamu inamtoka puani na mdomoni,akanifuata kashika mbao ya kuchorea mistari ubaoni,akairusha nikakwepa nilimpiga flying jump ushiro Teacher akaanguka akazimia,nikatoka nduki huku wanafunzi wanasema ameua ameua....

Ile natoka darasani,kumbe gheti lakutokea nnje ya shule limefungwa,nikakamatwa na walinzi,wakaniweka chini akaja academic master,alikuwa ametoka jeshini...aliomba fimbo kama yakuulia nyoka aisee nilipigwa na yule mwalimu,wanafunzi wa shule nzima wanaangalia huku wakiwa kimya,maana huyo academic aliogopeka sana,alinipiga mpaka fimbo ikavunjika vunjika akanza kunipiga kama mwizi nilikula kichapo heavy mpaka wale walinzi waliingilia...
Nikachukuliwa nikapelekwa ofisini kwa head master,nikapewa suspension nije na mzazi..
Nikamuelekeza mdingi akasema tutaenda shule jumatatu,kweli jumatatu imefika asubuhi mapema tushafika ofisini kwa head master,mdingi akaongea na head master mda mrefu sana wakaelewana,nikaambiwa nikawaomba walimu msamaha mbele ya shule nzima,nikagoma mdingi alinifuata alinitandika ngumi kama anapigana na mtu,alinikwida mpaka assembly,akanisimamisha aya omba msamaha haraka huku damu zinanitoka kama maji,wanafunzi wengine msameheni jamani msameheni..
Nikaomba msamaha mbele ya shule nzima,yule mwalimu niliyempa kichapa akahama shule,kwanzia siku hiyo nikapewa mkiranja washule nzima,wanafunzi waliniogopa mpaka namaliza o level heshima debe...
 
Kuna mahali tunaambiwa Shule A level, kuna mahali tunaambiwa chuo, well sio mbaya Chizi maarifa, nimependa yule binti alivyoinua mguu kwenye ndoo na kubinua mzigo then mkasahau ndoo mliacha njiani 😂😂
Hapo si unatumia tu COMMON SENSE Kuelewa ni kosa la kiuandishi. Jamani huko shuleni Mlienda kukua tu?
 
Ilinikuta O level, mkuu wa shule aliamua mimi na huyo binti tulete wazazi baada ya suspension kuisha. Binti alikuja na dingi yake na mimi nikaja na mzee wangu, ikapigwa kengele ya dharula watu wakaja assembly... Wanafunzi wakatangaziwa makosa yetu (kufanya mapenzi darasani) na kuambiwa kuwa tulipewa adhabu tatu na moja (suspension ya wiki tatu) imeshaisha bado kuchimba mchanga na kuadhibiwa na wazazi mbele ya assembly. Aisee kama sio huruma za maticha wa kike Mzee angeniua pale
Na mzee alikuwa anakuchapa kikweli kweli?
 
Na mzee alikuwa anakuchapa kikweli kweli?
Vibaya sana,
Alikua na hasira mana hiyo shule alitoka kunihamishia wiki kadhaa nyuma coz shule niliyotoka awali headmaster alimshauri anihamishe kabla hawajanifukuza mana nilikua nishapewa suspension za kutosha na kusaini blackbook mara mbili
 
Ilinikuta O level, mkuu wa shule aliamua mimi na huyo binti tulete wazazi baada ya suspension kuisha. Binti alikuja na dingi yake na mimi nikaja na mzee wangu, ikapigwa kengele ya dharula watu wakaja assembly... Wanafunzi wakatangaziwa makosa yetu (kufanya mapenzi darasani) na kuambiwa kuwa tulipewa adhabu tatu na moja (suspension ya wiki tatu) imeshaisha bado kuchimba mchanga na kuadhibiwa na wazazi mbele ya assembly. Aisee kama sio huruma za maticha wa kike Mzee angeniua pale
kuna wazee siyo kuna huyo alikuwa anakuja na panga kabisa ani anaonekana ni katiri mpaka na mkewe washashindwana

Sent from my CAM-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom