mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki: Mkutano wa TEHAMA Arusha ni time wastage, hali halisi ni mbaya tusidanganyane

    Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye...
  2. JamiiForums Tanzania Je, na Yule aliyemrithisha Roho Mbaya Ole Sabaya kutokea Dar es Salaam naye atakamatwa ili afungwe miaka yake 670 lini?

    Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi akina...
  3. JamiiForums Tanzania Captain Mbwana Samatta nakuomba tusamehe Watanzania, Taifa Stars ikifungwa mbaya Wewe ila ikishinda Sifa wanapewa Wengine

    Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania ya Taifa Stars. Najua kuwa Taifa Stars ikifungwa basi Sisi Waswahili...
  4. JamiiForums Tanzania MWAKINYO: Kushindwa pambano sio kuwa bondia mbaya

    Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amewalaumu Watanzania kumkandia Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ kwa kupoteza pambano lake dhidi ya bondia wa DR-Kongo, Tshimanga Katompa. Amesema Dullah Mbabe aliwahi kushinda pambano nje ya nchi na hakuna aliyemposti ambapo kwa kupoteza pambano lake hivi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Chuki zetu, Wivu wetu na Roho mbaya zetu Waswahili tutamsema sana, ila kwa sasa Tanzania hakuna Kipa bora na Mahiri kama Aishi Salum Manula

    Nampongeza sana Mshambuliaji Simon Msuva kwa Kufunga Goli zuri, tamu na la Viwango ambalo limetupa Alama Muhimu leo. Nawapongeza mno Wachezaji wote wa Kikosi cha Taifa Stars kwa Mchezo mzuri walioucheza leo na hadi kutupa Ushindi na kuna Kitu nimegundua kuwa ukitaka Taifa Stars ishinde basi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini haya maeneo kwa Wilaya ya Kinondoni ni Kivutio cha Ajali mbaya na za Ajabu ambazo huwa hazijeruhi tu bali huua kabisa Wahusika?

    1. Kipande cha Mikocheni B kwa Warioba hadi njia panda ya Clouds au Coca Cola 2. Supa Lugalo 3. Bondeni Kawe 4. Makonde 5. Kona ya Goba ukimaliza lilipo Kanisa Katoliki 6. Afrikana 7. Mbuyuni njia panda kuelekea Kunduchi, Bahari Beach na Ununio Na kwa Taarifa tu haya maeneo yote tajwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hakunaga mimba ya bahati mbaya

    Kiukweli the so called "mimba za bahati mbaya" ni janga.... Ndio sababu kuu ya mabinti kutoa mimba hovyo, wanaume & wanawake kulazimishwa/lazimika ku-commit kwa watu ambao hawakua na nia nao, watoto wa mtaani, single family households kuongezeka na mengine mengi. Sadly mara nyingi kama sio...
  8. JamiiForums Tanzania Mvutano kati ya china na Taiwan hali yazidi kuwa mbaya

    Waziri wa Ulinzi wa Taiwan ameonya kuwa mvutano wa kijeshi dhidi ya China umefikia hatua mbaya zaidi katika kipindi cha miaka 40 na ametoa tahadhari uwezekano wa mashumbulizi kati ya nchi hizo mbili. ---- Uhusiano wa kijeshi na China ni mbaya zaidi katika miaka 40, waziri wa ulinzi wa Taiwan...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu rahisi kama kumtongoza demu mbaya

    Kumtongoza demu mbaya ni rahisi kinoma ani unampeleka unavyotaka hata akikataa unamcheka tu
  10. JamiiForums Tanzania TANESCO hali mbaya, Serikali yasuasua kununua mita na nyaya za kuunganishia umeme

    Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za panya kutoa rushwa ili kufungiwa umeme, wananchi wamelalamika bila msaada Tunatumaini 1)Uteuzi Mpya...
  11. JamiiForums Tanzania Roho mbaya za wanasiasa lawama kwa polisi.

    Hivi sasa polisi wanalaumiwa Kila sehemu, Hivi sasa polisi wanadharaulika kika sehemu, Wanaonekana kwamba kumbe hata wao huwa hawafuati Sheria kwenye ukamataji,lakini wao humtaka raia atii Sheria Bila shuruti. Imebainika kwamba hawafuati PGO kwenye ukamataji. Imebadilika kwamba kumbe hawana...
  12. JamiiForums Tanzania DPP, IGP na polisi kwa ujumla mmelitengenezea sifa mbaya taifa kwa kesi ya Mbowe

    Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi...
  13. JamiiForums Tanzania Vibanda vya wamachinga juu ya mitaro barabarani ndio chanzo cha harufu mbaya Dar es Salaam

    Jana mchana wakati nimetoka kanisani Pugu Kajiungeni (Njia panda ya Chanika na Kisarawe ) niliamua nikapate viepe na kuku kwa muuza chips aliyeko kando ya barabara. Nimefika pale nilishangaa yule kijana muuza chips anawezaje kukaa pale angalau kwa nusu saa. Yaani kijana yule pale ndipo maskani...
  14. JamiiForums Tanzania Utafiti: Harufu mbaya ya ushuzi inazuia Kansa, magonjwa ya akili

    Pale unapohisi hali ya tumbo kujaa “gesi”, suluhu pekee huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo. Habari njema kwa mujibu wa wanayansi toka Chuo Kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, kitendo cha kujamba japo kinachukiza na kukera lakini kina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu. Wanasayansi hao...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Wachawi namba Moja wa kuifanya Yanga SC isifanikiwe; wajitahidi Kuachana nao kabla hali haijawa mbaya zaidi Kwao

    Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda. Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira na tumebobea vyema katika Sayansi na Sanaa ya Mpira na Wachambuzi Binafsi wa Soka la Tanzania na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusema hakuna wa Kumuweza na sasa Mashambulizi yanazidi Kwake, Haji Manara atishia kuwafanyia Kitu mbaya wanaomshambulia Mitandaoni

    Tukiweka Kumbukumbu sawa ni huyu huyu Haji Manara (Msemaji mpya wa Yanga SC ) alipohamia huko alijigamba na Kujimwambafai kwa kila namna kuwa hakuna mwana Simba SC anayemuweza kwa Kuchafuana na Kutaniana pia. Leo akiwa katika Interview EFM katika Kipindi Bora kabisa cha Michezo nchini cha...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwa na hofu na Majaji wa Mahakama Kuu ni dalili mbaya, tunaashiria kuwa Mbowe ana makosa

    Kama hana kosa kwa nini kuwa na hofu kuwa atatiwa hatiani kwa makosa ambayo hajafanya? Jaji ni mwamuzi anayeangalia ushahidi wa pande zote mbili. Na anaamua kwa kufuata haki. Tulipinga kwa nguvu zote Jaji Limuvanda kusikiliza kesi ya Mbowe. Sasa jaji Nsiyani naye tunakuwa na hofu nae...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Afya ya akili mtaji kwa vijana

    Afya ya akili ndio msingi wa maendeleo kwa kijana yeyote mwenye chachu yakuweza kufanikiwa au kufikia malengo fulani ambayo amejiwekea. Katika kipindi cha ujana vipo vingi ambavyo kama vijana tumekua tukivifanya wenda tukifahamu madhara ya tukifanyacho au pengine hatukuwa na ufahamu juu ya...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Sifa yetu mbaya kwenye utoaji wa Demokrasia na Haki za Raia ndio zitapunguza idadi ya watalii nchini

    Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia watu wenye kukubalika duniani sio kwa madaraka yao bali kwa moral authority yao. Ni vizuri rais...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya maisha imesababisha watu wamekua wakatili zaidi ya wanyama, muuguzi anashona na kufumua jeraha kisa hela

    Yaani watu wamefikia kwenye level ambayo sio tena
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…