Msaada nataka kufungua yard ya mbao Dar es Salaam

diamond d

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
812
2,048
Kwa wazoefu naomba kujua faida na changamoto za kufungua Yard ya mbao jijini Dar es Salaam au Arusha na Mwanza.

Ushauri wako ni Muhimu sana ndugu.
 
  • Thanks
Reactions: TNK
Kwanini usifungue ya simenti mkuu moani yangu tu
yawezekana ana ndugu yake makete au mufind so atakuwa anachukua kwa urahisi na ukumbuke makete au igoma mabanz huwa hayana sana soko so wengne wsnachukuaga mpaka bure.
 
Back
Top Bottom