mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Sababu Mbalimbali za Wakongwe hawa kuachana na Muziki

    Baadhi ya Wasanii Waliowahi Kutangaza Kuachana na Muziki Suma Lee Msanii huyu aliyetamba na wimbo wake wa "Hakunaga" alitangaza kuachana na muziki 2015 na kuamua kumrudia Mungu. Alisema nyimbo zake zilizobaki studio zisimame na zisitoke tena. Mzee Yusuf Alitangaza kuachana na muziki mwaka...
  2. JamiiForums Tanzania Supercar kutoka BYD: YangWang U9 zinaanza kufanyiwa delivery hivi karibuni

    Kampuni ya kutengeneza magari kutoka China Build Your Dream (BYD) wametangaza kua wale wote waliolipia (nunua) supercar yao YangWang U9, wakae mkao wa kula, sio muda zinawafikia. Kama haitoshi, kila owner ataona expected delivery date aliyopangiwa katika official App ya YangWang na ikitokea...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Matumizi mbalimbali ya Foil

    Je, unayajua Matumizi mengi ya foili ya aluminium tofauti na kufungia au kufunika Vyakula? Foili ina matumizi mbalimbali kama Ifuatavyo 1. Kunoa Mikasi - Tumia foili kunoa mikasi iliyopoteza makali. - Kunja foili mara mbili au tatu na ukate kwa kutumia Mkasi - Tumia kukata mara kwa mara...
  4. JamiiForums Tanzania Madhara ya maji ya chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani

    Wakuu, Kuna kautafiti kadogo nafanya kuhusiana na matumizi ya maji ya kisima yenye chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani. Ningependa kujua madhara, kama yapo ya maji hayo katika vipengele vifuatavyo: 1. Kunywa - yana athari zozote kiafya kwa mnywaji? Je, yakichemshwa? 2. Kupikia - yana...
  5. JamiiForums Tanzania Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

    Ona majengo ya shule mbalimbali jinsi zinavyopendeza katika picha na muonekano wa shule tofautitofauti za wasichana kwa wavulana na zile za mchanganyiko pia za serikali na binafsi unaweza ukaangalia ukiona shule unayoijua haipo unaweza ukaweka picha na kuitambulisha ni shule gani na ipo wapi...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana tuongee kuhusu fursa mbalimbali ikiwemo biashara

    Kumekuwa na watu mbalimbali wenye mitaji yao lakini wameshindwa kujua biashara za kuwekeza vijana karibuni tujuzane fursa mbalimbali za kutuinua kimaisha.
  7. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu tumkataeni Rais wetu Injinia Hersi Said kwani hajatueleza Yanga SC imepata Kiasi gani nje ya Kufurahia Makombe mbalimbali

    Kama vipi nipeni Saini zenu Wote ili tuitishe Kikao cha Kumjadili na Kumtoa na ikiwezekana tumuombe Mo atudhamini.
  8. JamiiForums Tanzania Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

    Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tajiri Bill Gates alivyolea watoto wake ni mfano mzuri wa kuigwa na sisi waafrika wa rika mbalimbali za maisha.

    Ukiangalia namna hawa matajiri wa kizungu wanavyolea watoto wao utagundua ni kwa nini hata hao wazazi wao wanadumu na hizo mali. Na Bill Gates anasema atawapatia watoto wake watatu wakike wawili na wa kiume moja dola milioni 10 tu kila moja ili wachakarike nazo kwani kuwapatia hela nyingi sio...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uhai wa asasi zisizo za kiraia: Wito kwa serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo

    Licha ya umuhimu wa kazi wanayofanya, watendaji wengi wa utawala wa kidemokrasia wanaofanya kazi na asasi za kiraia wanakabiliwa na udhaifu mkubwa wa uwezo wa ndani wa kuendesha ofisi kuwa endelevu katika kutatua matatizo yanayokabili maendeleo. Udhaifu huu unazidishwa na ukosefu wa njia za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hello tunatengeneza furniture mbalimbali x

    Hello wanajukwaa niwakaribishe kwetu utapata godoro aina zote pia furniture mbalimbali za kupendezesha nyumba/chumba chako Tuna vitanda Kabati Sofa aina zote Ð
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tujifunze mambo muhimu katika chaguzi mbalimbali

    Tunaweza kujifunza mambo kadhaa kutokana na uchaguzi uliofanyika Afrika Kusini na India: Afrika Kusini: 1. Mchakato wa Demokrasia: Uchaguzi wa Afrika Kusini unaonyesha umuhimu wa mchakato wa demokrasia ambapo wananchi wanapata nafasi ya kuchagua viongozi wao kwa njia ya amani na wazi. 2...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali

    WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mikataba mbalimbali (SAMPLES)

    Kutokana na umuhimu na uhitaji wa mikataba katika maisha yetu ya kila siku, nimekusanya mkusanyiko wa sampuli za mikataba zaidi ya 100 zenye lengo la kutoa mwongozo na msingi wa kisheria katika maandalizi ya mikataba mbalimbali. Mkusanyiko huu unajumuisha sampuli za mikataba inayotumika mara...
  15. JamiiForums Tanzania Utumishi watangaza nafasi mbalimbali za kazi

    SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Kumb.Na.JA.9/259/01/A/539 24 Mei, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mamlaka za Serikali ya Mtaa (LGA's) anakaribisha maombi ya kazi kutoka...
  16. JamiiForums Tanzania Tunauza vitabu vya fursa za kidigitali na riwaya mbalimbali karibuni

    Karibu ujipatie kitabu cha Fursa za mtandaoni 👉Huku utafahamu Fursa zote zilizopo mtandaoni na Jinsi ya kuzitumia kujiingizia kipato 👉 Bei ni Tsh 5000 tu tunapatikana Dar es salaam number 0684861947 / 0692436124
  17. L

    JamiiForums Tanzania LWAGAKA BUSINESS CONSULTANT: Tunasajili biashara, majina ya biashara, kampuni, NGO na Taasisi mbalimbali

    Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa: OUR SERVICES 1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000) 2️⃣Business name registration/Jina la biashara (60,000 pamoja na ada) 3️⃣Business license application/leseni ya biashara (50,000)...
  18. JamiiForums Tanzania Namfuatilia sana Chid Benz na hasa Interviews zake mbalimbali na nilichoguandua Jamaa ni Genius sema dunia ya Walimwengu imemuwahi tu

    Huwa nikimsikiliza sianzi Kumhukumu kwa Madhaifu yake na yaliyompata ila nakuwa makini sana kusikia kile ambacho anakitoa kutoka katika Kinywa chake na hakika huwa navutiwa mno na Madini yake ambaye unaweza hata usiyapate kutoka kwa PhD Holders, Maprofesa na Wasomi wengine nchini. Kama akitokea...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa wa Rais Samia Waleta Tabasamu Na kuwabubujisha machozi ya Furaha Wagonjwa Mbalimbali Mikoani

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan alikuja na mpango kabambe na uliokonga na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania wa kuwapatia tabasamu, furaha, kicheko na matumaini wagonjwa mbalimbali walioko mikoani .kwa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko yanayoweza kufanyika kwenye nyanja mbalimbali katika miaka 5 hadi 25 ijayo

    Jina langu ni FRANCIS 0742749886 Mabadiliko ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na teknolojia, mazingira, jamii, na uchumi vinaendelea kubadilika kwa kasi kubwa. Katika miaka 5 hadi 25 ijayo, nyanja mbalimbali zitashuhudia mabadiliko makubwa yanayoweza kuathiri jinsi tunavyoishi, kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…