mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kwanini hoteli kubwa zenye hadhi ya 5 stars huwa na bendera za mataifa mbalimbali kwa nje? Siri iko hapa!

    Wakuu, Najua nitakuwa sipo peke yangu, lakini mara nyingi huwa nikienda kwenye hizi hoteli kubwa the likes of Serena, Kilimanjaro Hyatt, huwa nakutana na bendera za nchi mbalimbali. Zamani nilikuwa sijui maana ya bendera hizi na nilikuwa nadhani kwamba pengine bendera huwakilisha aina ya...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Wahitimu vyuo vikuu rudisheni mikopo

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kurejesha mikopo waliyopata kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ili wanafunzi wengine wasio na uwezo pia wanufaike. Hotuba ya Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri:CHADEMA na wanaharakati mbalimbali, wakati umefika Mdude apewe tuzo ya ushujaa katika siasa za mapambano na harakati za kupigania haki za watu

    Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa. Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi na Mkuu wa Chuo. Said Ally Mwema ateuliwa Mwenyekiti wa Bodi wa kampuni ya Magazeti ya Serikali

  5. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Shughuli mbalimbali zasimama Arusha, zoezi la upigaji kura likiendelea

    Wakati wananchi wakijitokeza kupiga kura katika maeneo mbalimbali kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, baadhi ya shughuli ikiwemo wafanyabiashara kufunga maduka yao, kupisha upigaji kura unaoendelea kote nchini. Sehemu mbalimbali za biashara ikiwemo maduka mengi kuchelewa kufunguliwa...
  6. kp kipanya44

    JamiiForums Tanzania Hatimaye wizara ya ulinzi ya urusi yajitokeza na kukiri kwamba atacims zimeharibu miundombinu mbalimbali ya kijeshi

    Habari ndio hiyo wakuu Russia's Defense Ministry admitted on Nov. 26 that Ukraine had targeted Russian S-400 air defense systems and an airfield in embattled Kursk Oblast with U.S.-made long-range ATACMS missiles over the past three days...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni mmoja Kwa nini kuna dini nyingi tofauti duniani?

    Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dotto Biteko: Jitokezeni kupiga kura ili "kumlipa" Samia kwa upendo kufuatia miradi mbalimbali ya maendeleo

    Wakuu, Hivi kumbe kuna baadhi ya wanaCCM wanapiga kura ili kumshukuru Rais? Doto Biteko amewataka WanaCCM Bukombe kujitokeza kupiga kura ya kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama shukrani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mingi ya maendeleo iliyotekelezwa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi Mbalimbali zatoa vifaa vya Tehama Kukabiliana na uhalifu Arusha

    Taasisi na Idara mbalimbali Mkoani Arusha zimeendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika kupambana na uhalifu ambapo Idara ya maji na Benki ya Crdb wametoa vifaa vya Tehama katika kituo kikuu cha Polisi Arusha. Akiongea mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo Mkurungenzi wa mamlaka...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbalimbali zilizokuwa zinatumika na zinazoendelea kutumika ili kufahamu kama mtu ni mchawi

    SURA YA AROBAINI NA SITA DESTURI YA KUTAFUTA WACHAWI, NA JINSI YA KUWAADHIBU Hapo zamani mtu akifariki, akiwa mwanamume au mwanamke, wenye ndugu baada ya kumaliza kilio tu huenda sehemu mbali mbali kutafuta ni kisa gani kimemwua yule ndugu yao. Basi safari hiyo hufungwa kwa kuambatana kwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Azungumza na Makundi Mbalimbali Kata ya Mabawe, Ngara

    MBUNGE NDAISABA RUHORO AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI KATA YA MABAWE, NGARA MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO Mbunge wa Jimbo la Ngara amehudhuria Mkutano wa hadhara Kata ya Mabawe ulioandaliwa na UMOJA WA VIJANA WA CCM PAMOJA UMOJA WA VIJANA WA BODA BODA Kata ya Mabawe. Mhe. Ndaisaba Ruhoro...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hizi taarifa nne muhimu mnazificha ili iweje? Sasa Mwamba wa taarifa zilizojificha nazianika hapa

    1. Inadaiwa Wachezaji Aziz K na Kibwana Shomary WALIPIGANA Vyumbani baada ya Mechi kumalizika huku kila Mmoja akimlaumu Mwenzake. 2. Kuna tetesi zinasema Mwanachama Mwandamizi Mmoja mwenye Bifu Kubwa na Boss wa Timu baada ya kunyimwa Fedha zake na Madaraka aliyekuwa akiyataka na sasa Katengwa...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Khamenei maji yamemfika shingoni. Aomba liundwe jeshi la mataifa mbalimbali kupambana na Israel

    Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia Ackson aibana Serikali kuhusu ajira kwa wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameibana serikali kuhusiana na suala la ajira kwa vijana wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Akizungumza bungeni, leo Oktoba 29, 2024 Dkt. Tulia alisisitiza kuwa vijana hawa wanatoa mchango mkubwa kwa nchi, hivyo ni muhimu kwa serikali kuzingatia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wazee wa machimboni, pori kwa pori ,visa na mikasa, hapa wapambanaji wataeleza mazonge waliyopitia sehemu mbalimbali,

    Kutokana na uzi wa mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe nimevutiwa kuanzisha hii maada ili watu wengine wajifunze kwenye hii maada kua watu wanapambana usiku na mchana, Upambanaji upo na watu wanapambana kufa na kupona ili waondokane na umaskini, Kwenye upambanaji kuna mambo mengi Sana masaibu...
  16. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchukuaji wa fomu Serikali za Mitaa/ Vijiji maeneo mbalimbali nchini kwa upande wa CHADEMA

    Habari wakuu, Tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji ambapo watanzania maeneo mbalimbali nchini watapata fursa ya kuwachagua viongozi ambao wanaamini watawasadia kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika maeneo yao. Leo tarehe 26/10/2024 mpaka tarehe 1/11/2024 ni zoezi la...
  17. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbalimbali za kupunguza gharama za ujenzi

    Mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika kupunguza /kuokoa gharama zisizo za lazima katika ujenzi. 1)MBADALA WA TANK LA KUHIFADHIA MAJI. Naanza na hii ,maeneo yetu mengi maji yanatoka kwa mgao wa mara moja kwa juma hivyo utalazimika uhifadhi maji kwa ajili ya kazi yako ya ujenzi. Njia hii ni...
  18. blogger

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete 2011 akiwa Rais alitembelea Marekani kwa shughuli mbalimbali za kichama na kiserikali

    Yes! Hapa akiburudika kidogo na Boys II Men. Maisha yalikuwa simpo Sana.👌
  19. W

    JamiiForums Tanzania Fahamu matumizi mbalimbali ya Baking Soda

    Wote tunafahamu kuwa Baking Soda hutumika katika uandaaji wa vyakula kama keki na mikate. Lakini huwa na matumizi mbalimbali ya nyumbani ikiwemo kuwa mbadala wa kusafishia kinywa kwa kuwa na uwezo wa kuua bakteria. Pia, baking soda ni nzuri kwa kuondoa madoa sugu. Inaweza kuchanganywa na...
  20. Elsa Marie

    JamiiForums Tanzania Viungo vya binadamu vinavyokatwa kwa sababu mbalimbali hupelekwa wapi?

    Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti. Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi. Ni mgonjwa anapewa kiungo chake...
Back
Top Bottom