mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada wa mtaalam (fundi) alieko Mbeya anayejua mambo ya kuweka custom rom mbalimbali

    Ndugu zangu habari zenu,ninahitaji msaada wa fundi alieko mkoa wa mbeya au kijana yeyote alieko mbeya mwenye uelewa wa kuweka custom rom mbalimbali kwa simu. Ndugu yangu ana simu aina ya redmi note 9pro 5g chinese version sasa now kumekua na ban ya matumiz ya google services kwa chinese...
  2. G

    Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

    Naomba kujuzwa chimbo la vibarua hapa mjini ni wapi? Na kazi zipi za part time hapa bongo? Kuna mtu nlimsikia kuwa posta karibu na clock tower kuna sehemu watu wanakusanyika kusubiri vibarua na nje ya bandari ni kweli? Kama kweli taratibu zipoje? Na malipo yakoje? Tujuzane wakubwa
  3. Njoo tujifunze kuweka ROM mbalimbali

    Wadau habari za siku, naimani mko njema na siku zinaenda kwa uwezo wake aliye juu. Kumekuwa na utofauti sana wa kimatumizi ya vifaa vyetu vingi vya mikononi (hasa simu). Imefika kipindi mtu ananunua kifaa flani ambacho pengine kwa namna moja au nyingine hakimvutii kimuonekano ila kwa kutokujua...
  4. Kulinganisha Njia Mbalimbali za Kupata Elimu

    NGAZI YA ELIMU (1) UFUNDI STADI (2) UFUNDI (3) VYUO VIKUU (4) UTAALAMU (5) ELIMU HAINA MWISHO 10 Shahada ya Uzamivu Shahada ya Uzamivu <<=== 9 Shahada ya Uzamili Shahada ya Uzamili Cheti cha Utaalam Ngazi ya 4 (Utaalamu Bingwa 2) <<=== 8 Shahada ya Kwanza Shahada ya Kwanza...
  5. Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

    Habari wana JF, Nimekua nikisikia kwamba barabarani Kuna vitimbwi vya mauza uza nikawa siamini, sasa ni juzi nilikua natoka Arusha kuelekea Kibaha. Nilifika sehemu jina silifahamu, ni kijiji baada ya kutoka Mombo. Ni kwamba nikiwa kwenye mwendo alitokea mtu upande wa kushoto akawa anaingia...
  6. Bei za Malighafi mbalimbali za ujenzi

    Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mabati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na kama kuna material mpya ambayo haimo kwenye thread itaongezwa kwenye list katika post namba #2 ambayo...
  7. Mtazamo binafsi: Tatizo kuu la mkwamo wa Katiba mpya na mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii ni 'kwanini ianzie kwangu? Kwanini nianze mimi?'

    Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na naendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kila uchao kuniachia na kuniimarishia uzalendo wangu kwa nchi...
  8. M

    INAUZWA Vifaa/vyombo mbalimbali vya cake na jikoni

    Habarini wakuu,ukurasa huu nitaweka bidhaa mbalimbali ninazoziuza sana sana za cake na vyombo vya jikoni. Mawasiliano yangu ni 0746685756 Nita update kila mara vinapoingia. Tunafanya delivery na mkoani tunatuma. Karibuni sana
  9. UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi za Wenyekiti wa Bodi, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi mbalimbali za Taasisi
  10. J

    Kwa wapenzi na wajuzi wa music system mbalimbali

    Habari wakuu poleni na majukumu najua humu ndani kunawajuzi wengi wa music system mbalimbali au ambao washatumia binafsi Sina uzoefu Sana na mambo ya mzikii ila nimejitahid kutafutatafuta mitandaoni nimeona km hz system hapo chini zawez kufaa naomba ushauri went Kati ya hizi sony home theater dz...
  11. M

    Mume wa mzazi mwenzangu kanikataza kuwasiliana na mkewe

    Nilikua na girlfriend wangu na tulibahatika kupata mtoto ila tulitofautiana hali iliosababisha kutokuishi pamoja. Sasa mwezi uliopita mwenzangu kapata mwenza lakini tulikua tunawasiliana kawaida kuhusu malezi ya mtoto. Jana mumewe kanipigia simu ananiambia nisiwasiliane na mkewe, ishu zote...
  12. Ibara ya 100 ya Katiba ya JMT imewapa wabunge Uhuru wa kujadili Hoja na Mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na Mhimili wala Mtu yeyote. Tusiwaingilie

    Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili. Ibara ya 100 (2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote...
  13. J

    Ni muhimu kwa Mashirika na Kampuni mbalimbali kulinda Data za Wateja wao

    Sheria ya #UlinziWaData ambayo bado haipo nchini Tanzania ina umuhimu mkubwa kwasababu itasaidia kulinda data za mteja kama zifuatazo; Majina ya Watu(Wateja kama ni kwenye Kampuni ya biashara), Anuani za Posta na Makazi za Wananchi ambao na Wateja wa Makampuni ya biashara Barua pepe za watu...
  14. Pata hadithi mbalimbali za zamani hapa

    Hii ni thread maalum ya kukuunganisha na mastory mbalimbali ya zamani, nyingi zikiwa ni zile tulisimuliwa na Deborah Mwenda akisaidiwa na Eddah Sanga kwenye kipindi cha Mama na mwana, Radio Tanzania Dar es Salaam. Zifuatazo ni hadithi ntakazozileta wiki hii, wiki ya uhasishaji wa usomaji wa...
  15. Nukuu (Quotes) mbalimbali za Rais Samia Hassan Suluhu

    Salaam Wakuu, Thread hii iwe ndo thread kuu itakayosheheni Nukuu za Amri Jeshi na rais wa JMT Samia Suluhu. Usisite kuweke nukuu yake ukikutana nayo. “Kwa wale ambao wana mashaka Mwanamke huyu ataweza kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nataka niwaambie aliyesimama hapa ni Rais...
  16. M

    Car4Sale Magari aina mbalimbali yanuzwa

    Toyota HARRIER [D.J.M] Year : 2006 Capacity : 2360cc Mileage : 89,000kms Price : 17.5M Location: Mbezi Beach Call : 0717436363 Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…