Kwa wapenzi na wajuzi wa music system mbalimbali

james bendui

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
547
472
Habari wakuu poleni na majukumu najua humu ndani kunawajuzi wengi wa music system mbalimbali au ambao washatumia binafsi Sina uzoefu Sana na mambo ya mzikii ila nimejitahid kutafutatafuta mitandaoni nimeona km hz system hapo chini zawez kufaa naomba ushauri went Kati ya hizi sony home theater dz 650 watt 1000 na sony sound bar HT 40 watt 600 ipi inawez kunifaa kwa matumizi ya kinyumbani walau kupiga mzikii nijisikie vizuri

Sony Bdv dz 650 watt 1000
Screenshot_20210416-120253.jpg

Na hii ni sony HT 40 watt 600
Screenshot_20210420-132506_1.jpg
 
Mzee home theater kama wew mpenz wa movie utainjoy sna

Ila kama your main duty ni mziki sikushauri?!

Tafuta subwoofer moja la maana ukalishe mtaa mzima
Kuanzi 350K unapata mkito mzuri Tu.
Nashukuru mzee hy bufa tayari ninachonataka nibadili kaladha kidogo.
 
Sound bar ni tecnology mpya kwamba ni maboresho kutoka kwenye home theatre kwa hapo nakushauri beba hiyo sound bar.

Pia Hometheater ina miwaya mingi sana hiko kitu kinanikera soon nachukua sound bar.
 
Sound bar ni tecnology mpya kwamba ni maboresho kutoka kwenye home theatre kwa hapo nakushauri beba hiyo sound bar.

Pia Hometheater ina miwaya mingi sana hiko kitu kinanikera soon nachukua sound bar.
Asante mkuuu na shukuru kwa ushauri mzuri.
 
Jbl sound bar, Phillips sound bar achana na ma theater ya kizamani hayo...nazo zipo kwa range kutokana na mfuko wako kuanzia 2.1ch kuendelea...
 
Jbl sound bar, Phillips sound bar achana na ma theater ya kizamani hayo...nazo zipo kwa range kutokana na mfuko wako kuanzia 2.1ch kuendelea...
Bajeti ndio ndogoo mkuu ndio maana nimejimimina kweny hizi tu ss ndio nawaza ni chukue ipi kt ya hz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom