mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma. Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za...
  2. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje ukikutana na Rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho, wako mbali sana kimaisha

    Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho wako mbali sana kimaisha kuliko wewe? Kwa Upande wangu hii imenikuta wakati natoka...
  3. JamiiForums Tanzania Mei 7, 1919 Vita ya Kwanza Duniani ilituharibia sana, Tanzania tungekuwa mbali sana

    Mimi sio mtaalamu wa historia, ila kwa historia yangu ndogo niliyopata O-level ninaamini Tanganyika chini ya Ujerumani ingekuwa Taifa kubwa sana hapa Afrika zaidi ya hapa ilipo leo. Waliotuharibia walikuwa Waingereza waliokabidhiwa taifa leo. Hatukupaswa tuwe marafiki na waingereza. They were...
  4. JamiiForums Tanzania Mkeo au mumeo akiwa na simu kubwa na kile kidogo(kiswaswadu) kaa nacho mbali usiseme sijakwambia

    Tangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse narudia kaaa nacho mbali mnooooooo usije sema atukukwambia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kupewa fedha na silaha zinazofikia thamani ya dola bilioni 60, bado Ukraine inalialia kuwa imezidiwa kwa mbali na urusi! Hii imekaaje?

    Nadhani hili ni dili! Ukraine inapewa silaha hewa halafu wajanja wanaweka fedha mfukoni!! Kuna taarifa ilitoka kuwa ni asilimia 30 tu ya silaha zinazotolewa na nchi za magharibi kwenda ukraine ndizo zinazowafikia walengwa!! Watoa kodi wa nchi za magharibi wanapigwa pakubwa sana!! Silaha za dola...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge la India latupilia mbali Muswada Kandamizi wa Ulinzi na Faragha wa Taarifa Binafsi

    Serikali ya India imeondoa Muswada wa ulinzi wa data na faragha wa 2019 unaotajwa kuipa Serikali Mamlaka ya kuuliza Kampuni kutoa taarifa binasfi za Wateja wa Kampuni za Teknolojia ili kusaidia kutunga Sera, kinyume na Sera za Kampuni hizo Serikali imesema hatua hiyo ni baada ya mapitio ya...
  7. JamiiForums Tanzania Namuona Kamishna Salum Hamduni mbali zaidi

    Kwa kazi nzuri na ya kutukuka huko Takukuru, Kamishna wa Polisi, Salum Hamduni namuona akifika mbali sana katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Kuna sauti ndani yangu inanambia, CP Hamduni atapanda juu zaidi siku si nyingi toka sasa. Kwahyo wale waliobakia, ambao taasisi zao hazijaguswa...
  8. JamiiForums Tanzania Je, yanayoendelea Urusi, Ukraine, China na Taiwan yanaweza kusababisha Vita ya Tatu ya Dunia?

    Je, mizozo inayo endelea katika mataifa mbalimbali kama Russia na Ukraine, China na Taiwan inaweza pelekea vita ya tatu ya dunia?
  9. JamiiForums Tanzania Karim Mandonga mtu kazi, kesho sio mbali

    Kwa tunaojua boxing hii ni kawaida stunts kama hizi. Ila kibongo-bongo Mandonga kazidi mikwara. Kama una roho ndogo unaweza usitokee ulingoni. Kesho sio mbali Mandonga Vs Kaoneka
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tumetoka mbali sana

    Ifikie hatua watu waache kujitoa ufahamu. Njaa tuiachie tumbo na si akili.
  11. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kujitegemea Vijana kiuchumi

    KIJANA mwenye ndoto za kuwa na maisha bora huonekana kwa namna mbali mbali akijituma,kujishughulisha na kutumia mda wake mwingi kwa asilimia kubwa kuzalisha fedha ili aweze kutimiza malengo na mipango anayotamani kuwa nayo ili kuuoa moyo wake kile kitu unahitaji.(vijana wa namna hii huwa Ni...
  12. JamiiForums Tanzania Makala ya tulipotoka mbali

    Tumetoka mbali sana. Nakumbuka hapo kale tulikuwa tunasoma na vibatari na taa za chemli. Yaani unaweza kugombezwa umesoma ukamaliza mafuta ya taa. Nakumbuka tulikuwa tukipasi nguo na mkaa wa magunzi ya mahindi. Nakumbuka pipi tofe. Hakika wakati mgumu hutengeza watu imara.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana

    Waungwana naomba kujua bei ya jumla ya nondo sasa hivi maana sisi tunaoishi mbali mafundi wanatupiga sana. Natanguliza shukrani. Ndugu zangu naomba msaada wa kujua bei za jumla za nondo Dar
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais ajiuzulu, uchaguzi uitishwe

    Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana. 1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoleta wenzenu tukiwa out mjitathmini! ukaribu mnaotujengea nao hutupa majaribu makubwa ya kuanzisha nao mahusiano ya kimapenzi

    Wanawake mjiangalie sana, mjitathmini tafadhali, Unaambiwa jumamosi ujiandae mtoke out, wewe unaleta rafiki zako tena wengine ni pisi kali kuzidi wewe.. Wanamuona mwanaume wako anavyowalipia vinywaji, vyakula, wanaona ana ndinga kali, jinsi anavyoweza kutunza mwanake afurahi, n.k Hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Tuweke akiba ya maneno 2025 si mbali

    Wako watu sasa hivi wanatamba, kana kwamba wamesahau yaloyowapata wenzi wao waliodhani ni wao duniani hata wengine walidiliki kutoa shuhuda kwamba ktk wanaokula raha ni wao tu duniani. Hali ile ile wengi walio upande Wa mshika mpini, wanajisahau kana kwamba waliopita hawakuwa na akili...
  17. JamiiForums Tanzania Je ni kweli wazazi huwa wanaona mbali linapofika kuoa au kuolewa

    Japo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini, familia n. K kwa hofu watoto watakuja kuteseka Je katika hili kuna ukweli wowote ule
  18. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli angekuwepo tungekuwa mbali

    Yule jamaa ukiachilia kisasi na chuki aliyokua nayo kwa baadhi ya vitu na watu alikua raisi mzuri sana aliboresha hata utendaji serikalini. Sasa hivi document inatoka unaambiwa bado mtu 1 kusaini huyo mtu sasa anaingia asubuhi kazini anafungua App kwanza kuangalia Tamthilia aliyoimiss usiku...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam la sita kwa Usafi Afrika. Asema limetoka kwenye vijibanda na vimwamvuli

    Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam limetangazwa na jarida la African tour magazine kuwa jiji la sita kwa usafi barani Afrika. Na tumetoka mbali, kwa wale wanaoikumbuka Tanzania miaka kidogo ya nyuma, tulikuwa na vijibanda na vimwamvuli kila pahali kwenye street. Lakini kwasababu ya kutekeleza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Shule 10 bora matokeo ya Kidato cha Sita: Zimo shule 7 za serikali. Wakongwe Marian Girls, Feza Boys, Kibaha Sekondari, Ilboru Sekondari watupwa mbali

    Kuna mabadiliko makubwa sana katika ushindani wa matokeo ya kidato cha sita. Wakongwe waliotesa kwa miaka mingi wamepigwa mweleka mkali wakiwemo Marian Girls, Feza boys, Marian boys, Feza boys, Kibaha sekondari, Uwata sekondari nk. Je tatizo ni nini? Mkeka huu hapa: Kemebos Sekondari, Kagera -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…