mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Aliyoyasema Lissu jana kuwa adhabu ya kosa analotuhumiwa nalo ni kunyongwa na kwamba mahakama isiambiwe kitu cha tofauti na hukumu ya kunyongwa au yeye(Lissu) kuachiwa huru Sasa hii hapa chini ni sehemu ya final submission ya Katuga leo mahakamani: Waheshimiwa Majaji kwa kuelezea kwa kirefu...
  2. JamiiForums Tanzania Ninampongeza sana Mbowe kuamua kutumia muda wake mwingi kijijini Machame na kujiweka mbali na siasa

    Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Raisi kama Rutto tungekuwa mbali sana!

    Ukiona huyu jamaa anavyopigania pesa za uwekezaji Maraisi wengine wamebaki kupingana na demokrasia na kuajiri machawa . Kapigania mradi wa Dangote kwa udi na uvumba, kapigania pesa ya afya ya marekani zaidi ya $1.5 B, kituo cha afya zaidi ya $600M . Pesa zote hizi sio za walipa kodi. Sisi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu akihukumiwa atakata rufaa na endapo kesi ikienda kwa jaji Mruma ataitupilia mbali

    Mashabiki wa Lissu pungueani midomo
  5. JamiiForums Tanzania Oparesheni ya polisi Kilimanjaro yanasa watuhumiwa 242 wa makosa mbali mbali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeendesha oparesheni kubwa katika maeneo mbali mbali ya mkoa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake ya kikatiba ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi pamoja na mali zao, huku likiendelea kuchukua hatua dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo...
  6. JamiiForums Tanzania 37 waenda jela Kilimanjaro baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mbali mbali yakiwamo ya ulawiti,dawa za kulevya

    Watuhumiwa 37 wa makosa mbali mbali wamehukumiwa kwenda jela baada ya kupatikana na hatia mkoani Kilimanjaro . Katika Mashauri hayo limo la mtuhumiwa kuhukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela kutokana na makosa dhidi ya binadamu. Taarfa iliyotolewa na jeshi la polisi mkoani kilimanjaro...
  7. JamiiForums Tanzania Amka: Mungu hayupo mbali, yupo ndani yako acha kutia huruma kusubiria bahati.

    Je! Umechoka kuishi ukisubiria miujiza kutoka juu? Umekuwa ukiomba msaada kutoka kwa nguvu unayodhani ipo mbali nawe?⭕⭕⭕⭕⭕⭕ Ni wakati wa kufumbua macho yako sasa🚨 Ukweli wa ndani ni huu : Wewe si mtazamaji au muhanga wa maisha yako ila ni muumbaji.🗽 Ndani yako Kuna cheche ya uungu- Haupo...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Siasa,Dini & Jamii mbali mbali jichunguzeni.

    Heshima sana wanajamvi. Kufuatia msiba wa Mume wa Mh Rais wa JMT tumeshudia viongozi wa Dini,Wanasiasa,Wasanii na Viongozi tofauti tofauti wakimimika kuelekea Zanzibar kutoa salamu za pole kwa Mh Rais. Hakika jambo hili ni jambo la kiungwana sana na ndio utamaduni wetu Watanzania. Binafsi...
  9. JamiiForums Tanzania Ila nyie, tumetoka mbali...😂🙌

    Hivi yuko wapi siku hizi?😂
  10. JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa anaishi Marekani kwa mke na watoto wake Leo hii watumishi wa umma wangekuwa mbali sana kiuchumi.

    Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo. Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
  11. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya bongo fleva, Dodoma yaipiku Dar es salaam mbali sanaaaaa, ili bidi ukuta uvunjwe, ili watu wapate nafasi

    Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu wapate nafasi. Ikumbukwe Diamond katoka kufanya show juzi kwenye tour yake lakini haikua nyomi ka Hil...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kuwa na Kituo cha Anga cha Uchunguzi wa Anga za Mbali

    Tanzania Kuwa na Kituo cha Anga cha Uchunguzi wa Anga za Mbali Wakuu kwema, Teknolojia na uchunguzi wa anga za mbali si suala la mataifa ya Magharibi pekee. Wala si lazima tuanze kwa kujenga roketi au roboti za kwenda angani. Tunaweza kuanza na kituo cha kisayansi kama maabara ya uchunguzi wa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kama kweli kuna moto kwa watakokuwa na makosa baada ya kufa, hawa wanaochomwa au kufanyiwa cremation, watachomwa nini mbali na wanaozikwa miili kuoza?

    Swali hapo juu lipo wazi Je, uwepo wa moto au kuingia motoni ni kamba hasa ikizingatiwa: Wapo watu wanaochomwa moto wanapokufa, Pia, wapo wanaozikwa na miili kuoza. Kama hli ndiyo hii, huu moto tunaotishwa nao na dini nyemelezi na za kikoloni za kigeni zilizotugeuza mataahira na mazwazwa, huu...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hili suala la Hotel sheria zinasemaje? Maana tusije fikishana mbali

    Siku ya tatu leo nipo Tanzania. Sasa leo naondoka kuelekea Arusha . Kwa muda ntakaoondoka natagemea kufika Arusha saa 8 Usiku kuwa Karatu. Nataka enda Ngorongoro na Serengeti Weekend hii Swali ni kama nitafika Arusha saa 8 usiku nikaenda Hotel kulala. Lets say nimefika nikaandika Check in...
  15. JamiiForums Tanzania Athletes...wanamichezo wa bongo hawafiki mbali sababu ya kipochi

    Kibongo bongo ukiacha wasanii kuna hili kundi la wachezaji na wanamichezo mbalimbali ikiwemo ngumi and so on udhaifu wao ni kipochi.... aiseee Hatuwezi kuwa na watu wengi wawakilishi nje huko au wazuri wakadumu Sabbu ya pale kati...nimestaajabu baada ya kujua jambo hili mapenzi yanaua nguvu sana
  16. JamiiForums Tanzania Marekani: Tunaomba Nchi Zingine Tuungane Kuivunjilia mbali Mahakama ya ICC Kisa Wanataka Kuficha Uhalifu waliyofanya Gaza na Sasa Iran.

    My Take Chadomo wakiona hii watalia sana 😂😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/DaxHrfqjpeU/?igsh=NWJ5N2JkY256ajlq
  17. JamiiForums Tanzania Akili inaniambia Mwana FA hajafanya kwa bahati mbaya vile.

    Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha. Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana. Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu,

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32. Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
  19. JamiiForums Tanzania Tumezaliwa tukiambiwa magereza/Rumande nikubaya hebu ongezeni adhabu kwa hawa wahatarisha amani nchini ili wakitoka wawe mabalozi wa kulinda amani.

    Unajua amani ndo uchumi wenyewe pasipo na amani hakuna shughuli za uchumi, hakuna ajira, hakuna shule, hakuna madawa, hakuna nyongeza za mishahara, hakuna haki ya kuabudu nk. Haiwezekani mtu afanye kosa la kuhatarisha amani ya nchi au afanye vurugu halafu aende Rumande halafu atoke halafu...
  20. JamiiForums Tanzania Operation Kisiwani Gana: DC Ngubiagai na Mbua wasema wamefutilia mbali nyavu haramu za shilingi Milioni 73

    Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Cde. Christopher Ngubiagai, ameongoza operesheni ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi milioni 73,615,000. Shughuli hiyo ilifanyika mnamo Juni 18, 2026, katika Kisiwa cha Gana kilichopo Kijiji cha Kamasi, Kata ya Ilangala, ikiwa ni sehemu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…