mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kweli Dunia haiko Fair yaani Mwenzako anayejua anacheza AFL na asiyejua anacheza NBC Maporini Mbagala

    Inauma sana Kiukweli yaani Wenzako wakiwa Wanaongozwa na Ving'ora kwenda Estadio Du Lupaso Wengine wanakatiza tu Mitaani, Majarubani huku Wakikanyaga Nyanya za Watu, wakigonga Makopo ya Mkaa na kupigia Kelele Wakazi wakiitafuta Mbande Mbagala Kucheza na Waliofeli Wenzao. ANGALIZO Ukijijua tu...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Watembea kwa miguu wanagongwa sana na bodaboda Mbagala Rangitatu na Zakhiem Dar es salaam, hali ni tete. Polisi wa usalama barabarani tusaidieni

    Ninaliomba jeshi la polisi usalama barabarani Dar es Salaam ikiwezekana wote mpige kambi kwa siku mbili eneo la Mbagala ili mdhibiti hili kundi la bodaboda wahalifu, ninaposema wote najua bodaboda ni wajeuri hawazuiliki. Tatizo ni nini, tatizo lililopo ni uhalifu unaotokana na madereva wa...
  3. torvic

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Mbagala kongowe

    Viwanja vinauzwa mbagala kongowe Viwanja vimekatwa mara tatu ukubwa Kwa vipimo ni mita 24 * 19 Kila kimoja Viwanja vyote vipo ndani ya fensi upande mmoja Bei Kwa Kila kiwanja kimoja ni 10million Tsh na maongezi yapo Kwa mbaaali. Kwa mawasiliano Piga namba hizi 0688685707 0659446209...
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa mkoa wa Dar, wadhibiti wanaotaka kujigawia soko la Mbagala Zakhiem kinyume na utaratibu uliopangwa na Manispaa

    Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea hivi sasa ni wamejitokeza viongozi wanaotaka kuvuruga utaratibu wa kuwarejesha wahusika ili wajigawie...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Watu ambao hugombania usafiri wa umma kama wakazi wa Mbagala huishi maisha marefu?

    Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye gazeti la Washington Post umesema watu ambao hugombania usafiri wana nafasi kubwa ya kuishi maisha marefu na kuepukana na baadhi ya saratani. Kwa Dar es salaam, wakazi wa mbagala wanajulikana kwa kugombania gari na kupambana kupata nafasi ama kiti cha...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Barabara ya Mwendokasi Mbagala, inaanza kuzibwa viraka hata kabla ya kazi kuisha

    Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu. Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Yannick Bangala, kutoka Avic Town hadi Mbagala

    KAMA kuna mchezaji ambaye alikuwa anapendwa na Wanayanga miezi 12 iliyopita mmojawapo alikuwa Yannick Bangala. Watangazaji wa Azam TV walimuita Mzee wa Kazi Chafu. Kuna wachezaji walionekana kufanya kazi nyingi ambazo zingeonekana kiurahisi. Yeye alikuwa anafanya kazi nyuma ya pazia. Usingeweza...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kuna Hoteli yeyote ya nyota tano maeneo ya Mbagala?

    Wasau hamjamboni nyote? Je, maeneo ya Mbagala Jijini Dar es Salaam kuna hotel yeyote yenye hadhi ya nyota nne au tano? Natarajia mgeni kutokea ighaibuni anayependelea kufikia huko. Karibuni
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Kituo cha mwendokasi Mbagala chageuzwa danguro

    Kama ulidhani kutokukamilika kwa mradi wa mwendokasi awamu ya pili kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi Tatu kunawakera wakazi wanaohangaika na usafiri kila linapokucha au kukuchwa unajidanganya. Ipo adha nyingine ya vituo vyake kugeuzwa madanguro, walalamikiwa wakubwa wakiwa baadhi ya askari...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi DalaDala za Mbagala-Kawe, Gerezani-Kawe na Buza-Kawe zinavyopata tabu kugeuza, tutegemee ajali kubwa siku moja

    GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai. Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mama Mjamzito asota saa 15 bila huduma, kichanga chafariki katika Hospitali ya Zakhiem Mbagala

    “Kama isingekuwa uzembe na kuachwa kwa muda mrefu bila kupata huduma mtoto wangu angekuwa hai, wangenihudumia tangu asubuhi nilipofika yasingetokea haya. Zakhiem ni hospitali nzuri, lakini ina shida kubwa.” Hiyo ni kauli ya Nailath Lyezia, mkazi wa Mbande, Dar es Salaam anayelalamikia watoa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vituo vya mwendokasi ya Mbagala vinajengwa chini ya kiwango

    Kichwa cha uzi kinajitosheleza, wahusika chukueni hatua mapema. Zege lilotumika cement ni kidogo sana, limeanza kubomoka kabla ya matumizi. Screws, bati na zile bars miaka miwili tu zitakua zishahalibika na kutu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ubovu wa Barabara ya Mbagala - Mbande ni kitegauchumi

    Ubovu wa Barabara kutoka Mbande kwenda Msongola imekuwa ni kama kitega uchumi. Ni Barabara ambayo haijengwi Bali huchongwa tu kwa greda tu kwa muda Kisha huaribika tena na kurudiwa kuchongwa mfano kipindi hiki cha masika wamechonga kabla mvua hazijaisha imechongwa tena na tayari imeshaharibika...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Samia Usipime, Hospitali Ghorofa Sita Yanukia Mbagala

    Imeandikwa katika gazeti la mzalendo: Kasi ya Rais Dk. Samia Suluhu kufanya mageuzi makubwa nchini inazidi kuleta neema kwa wananchi, safari hi Serikali imekuja na mpango wa kupanua huduma za afya, ikiwemo kujenga hospitali yenye ghorofa sita. Jiji la Dar es Salaam ikiwemo eneo la Mbagala...
  16. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Update: Zinakaribia saa 24 Mbagala hakuna umeme.

    Wakazi wa Mbagala jana kuamkia leo hawana umeme na sasa ni saa 8:19 hawana umeme ni kasoro saa tatu zitimie saa 24 za Tanesco kutokuwa na umeme.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mbagala wapelekewa huduma za kibingwa za mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeendelea kusogeza huduma zake za kibingwa kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali hapa nchini, ambapo wagonjwa 150 wamehudumiwa katika Hospitali ya Epiphany Mbagala iliyotolewa Machi 31, 2023. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Anthony Assey amesema...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) yapeleka kliniki maalum Mbagala

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Wilaya ya Epiphany inatarajia kuendesha kliniki maalum (MOI Mobile clinic) kwa wa kazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam. Kliniki hiyo itahusisha huduma za kibingwa na kibobezi za mifupa, Ubongo, Mgongo na mishipa ya...
  19. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukijenga nyumba Vikindu na Mbagala hata iwe ya kifahari itakuwa ya kishamba tu?

    Kwanini hivi huwa hata ujenge ghorofa mjengo wa milioni 200 wa kuishi Chamazi, mmbande, mbagala hadi Vikindu bado tu itaonekana ni kama umechezea hela? Au umejenga sehemu isiyo faa au lazima itaonekana ina kasoro? Maana utaskia mtu anasema "daaah mjengo mkali ila upo mbagala' "Mjengo mkali...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mwendokasi kutoka Gerezani - Mbagala kukamilika Aprili 2023

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema awamu ya pili ya ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo haraka kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi tatu, utakamilika Aprili. Mradi huo unahusisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 20.3. Pia ujenzi wa vituo 27 vya mabasi ya...
Back
Top Bottom