mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shuhuda: Tiketi za Yanga ( Wananchi Day ) ziligawiwa bure kuanzia Agha Khan, Mbagala walipofungua Tawi na kwenye Supu ziligawiwa bure kupitia Matawi

    Nendeni Mtandao wa Facebook wa Kapesah Sports Update mkamsikie mwana Yanga SC asiye Mnafiki alivyofunguka.
  2. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania JE,WAMACHINGA WA MBAGALA WAMESHINDIKANA?

    Nawasalimia wapendwa kwa salamu ya kikombati. Moja kwa moja kwenye mada kama ilivyo kwenye kichwa cha habari Juzi nilipita Mbagala na usafiri wangu wa asili (sina gari,boda wala baiskeli) nilichokiona kilinifanya nifikiri labda gen z ya Tanganyika ina jambo lake kupitia wamachinga.Jamaa...
  3. kihongwe11

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi computer aliyeko Mbagala

    Nahitaji fundi computer aje anisaidie kurepair window 10 maeneo ya mbagala sabasaba kwa mpili
  4. Kamavinga

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Barabara ya mwendokasi ya mbagala?

    Kwa ninavyofaham, barabara ya mwendokasi ya kuelekea mbagala ilishakamilika kwa 100% kwa zaidi ya mwaka sasa, lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma. Badala yake, sasa imekua ndo barabara kuu ya bodaboda. Inasikitisha na kutia hasira, kuona kitu ambacho kingetoa msaada kwa maelfu ya wananchi...
  5. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Kubali au ukatae Magufuli angekuwepo mwendokasi mbagala ungekuwa imeshaanza

    Amini usiamini Magufuli angekuwepo sahizi mabasi ya mwendokasi yangekuwa yanapishana Barbara ya mbagala mengine yanaena na mengine yanarudi R.I.P Jembe langu
  6. 2019

    JamiiForums Tanzania Mgomo umefika Mbagala waathirika ni kila mtu

    Yani nimetoka nyumbani kufufuata mahitaji yangu soko la Mbagala hakuna biashara zaidi ya wamachinga. Mbagala biashara zote nafaka, elektroniki madukaa mengine yote yamefunga. Madhara kwa wote Wafanyakazi, bodaboda, bajaji, guta(toyo) wasukuma mikokoteni, na watu mbalimbali hawana cha...
  7. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wenye maduka uko Mbagala Rangitatu Dar es Salaam.

    Mbagala Rangitatu wenye maduka hawajafungua siku ya leo 26/06/24, huu ni mfululizo wa vuguvugu la wafanyabiashara kugoma wakipinga baadhi ya tozo zinazofanywa na serikali kupitia mkusanyaji TRA.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO tiGO Mbagala Zakhiem branch kuna wizi unafanyika kupata namba ya Lipa kwa simu

    Kuna mchezo mchafu unafanyika kwenye branch ya Mbagala Zakhiem upande wa Lipa kwa simu, HQ wanasema ni bure kupata number ya Lipa kwa simu ila ukifika kwenye hii branch Wanatoza 10,000 kwa ajili ya hii huduma. Je, huu wizi umebarikiwa na manager wa branch?
  9. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Jini Mrefu kavaa kanzu kaonekana Bondeni, Popo Bawa kaonekana mbagala, stori hizi zimefia wapi ?

    Habari wadau. Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori. Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia. Shule kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

    Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili. Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula kupandishwa ndege kusafirishwa kuelekea kwenda Joburg (Johannesburg) Afrika Kusini. Nendeni...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Tutapanua barabara ya Mbagala Rangitatu-Kongowe (km 3.8) na daraja la Mzinga na upanuzi wa barabara ya Mwai – Kibaki (km 11.6)

    BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI. Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mbagala Maji Meusi (MATITU), mji wa kuogofya

    Salaam,Shalom. Leo nitarudia kuandika japo kidogo kuhusu mji huu maana niliwahi kujaribu kuandika miezi kadhaa iliyopita, thread ilifutika yenyewe. Mbagala Saku, Maji MATITU, maji meusi ndipo Hasa kilipo KITI Cha enzi Cha muungu wa Nchi ya Nyikani, wanajua waliyoyafanya hao viongozi wa watu...
  13. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa wa Ardhi watokea Mbagala Saku. Baadhi ya nyumba za watu zaripotiwa kubomoka

    Hii sijui ni tetemeko au ni kitu gani, wataalamu tunaomba mfuatilie na mtupatie majibu, Ardhi inapasuka na nyumba zinabomoka, eneo ni Saku Mwisho DSM --- Taharuki imeibuka kwa wakazi wa Mbagala Saku baada ya kutokea kwa mpasuko mkubwa wa ardhi na kusababisha kubomoka kwa nyumba nyingi za...
  14. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Serikali isisubiri vifo zaidi kufanyia upanuzi wa barabara ya Kilwa kuanzia Mbagala

    Hii njia sasa imeshakuwa kero kwa wananchi. Haipiti siku bila kutokea ajali eneo la mzinga darajani mpaka kongowe. Wiki iliyopita lori lilifeli breki na kusomba wapita njia na kuwaingiza mtoni. Zaidi ya watu 5 walifariki hapo hapo. Wiki iliyopita nyuma yake lori liliangukia bajaji na wakapotea...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa Barabara ya Mbagala ni chanzo kikubwa cha Ajali

    Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na wamelalamika sana kwa uongozi lakini suala hili halitatuliwi, hapo kwenye video wananchi wanalalamika...
  16. Mande Adili

    JamiiForums Tanzania NMB Mbagala wana huduma mbovu

    NMB Mbagala, Poor service mtu unasimama kwenye foleni zaidi ya Lisaaa limoja teller mmoja, Vyumba vingine hakuna huduma, Sasa manager sijui hii resources ya staff anaitumiaje, nyingine Closed, Uchumi utakuwa kweli kwa namna hii? Just pissed……
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Magari ya Mwendokasi (BRT) Ianze Mbagala

    HUDUMA YA MAGARI YA MWENDOKASI (BRT) IANZE MBAGALA KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe Lazaro Nyamoga imefanya ziara ya kikazi ya kukagua mradi wa ujenzi wa miundombinu na uendeshaji wa mabasi yaendayo haraka Akiongea...
  18. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dalali wa fremu Mbagala kwa ajili ya nafaka

    Naomba mtu yeyote anayemfaham dalali Mbagala awekee mawasiliano yake hapo chini nashida na fremu ILA IWE RANGI TATU PALE
  19. U

    JamiiForums Tanzania Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

    Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa Wadau je kiafya kuna Usalama? Karibuni tujadili
  20. Zeroiez

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara ya Mbagala Kiburugwa

    Wakazi wa mbagala kiburugwa tunaomba serikali iwajibike ipasavyo, barabara hii ni kubwa sana ila ni mbovu haipitiki kipindi cha mvua na kikiwa kipindi cha jua kali ni vumbi na mchanga mwingi kiasi kwamba inahatarisha watumiaji wake. Watumiaji wa hii barabara tunateseka.
Back
Top Bottom