mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbagala Chamazi kuna nyomi la watu, kumekuwa na fursa nyingi za biashara

    Kuna wimbi kubwa la wafanyabiashara na biashara kwa ujumla kwa maeneo ya Mbagala kata ya Chamazi: Hii ni kutokana na nyomi la watu: Siku hizi kumekuwa na biashara nyingi sana, sasa kwa anaeogopa kuanza biashara Mbagala fursa ndo hiyo… Tafuta sehemu ambazo mji umekuwa
  2. 2019

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi Mbagala ukikamilika utasababisha foleni ya kihistoria, Serikali ichukue hatua hizi mapema

    Kwanza kuna tofauti kati ya mwendokasi ya Gerezani na maeneo mengine ya Morogoro rd ba na Gerezani na Mbagala. Mbagala kuna gari nyingi sana, afu pia njia kuu Kilwa rd ndio inayotumia kwa daladala kupakia abiria. Mfumo huu ni mbaya sana kwani unasababisha foleni kwa sababu njia ya kupita vyombo...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Magari ya Mbagala ni kama magari ya vita

  4. Mbute na chai

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba za Chamazi, Mbagala, Chanika zinauzwa sana?

    Kwenye matangazo mengi, mf. Kupatana, Facebook market n.k, utakuta matangazo mengi ya nyumba zinazouzwa zipo Mbagala Chamazi. Ni kwanini? Hii inatia shaka hata kununua nyumba hizo. Kunani Chamanzi?
  5. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mbagala Dar es Salaam ni chafu sana, inanuka

    Eneo la Mbagala lililomo kwenye wilaya ya Temeke ni eneo chafu sana sana, ili uweze kuelewa ninachokisema kabla haujanipinga ni vizuri utembelee eneo la Rangitatu nina uhakika hata hizo Rangitatu hautaziona kutokana na uchafu ulioko huko. Mbagala ina barabara kuu ya Kilwa japo kote inaonekana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnaposema Dar es Salaam itapata maji 100% ni ipi hiyo? Ile ya Mabwanyenye wa CCM na washirika wao? Vipi madongo poromoka kama Buza na Mbagala?

    Nina hakika mtandao maji ya Dawasa haujtandaa Dar yote. Ni baadhi ya maeneo tu ndio kuna mtanado huo Sasa hao wanaokaaa madongo poromoka mnawafikiria vipi na wao? Mtakuwa mnajaza waterbowser na kuwapelekea? Ndiyo kusema mnaposema Dar mna maanisha mnapooshi nyie mabwanyenye?
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Milipuko ya mabomu Mbagala yatafuna Tsh. Bilioni 17.4

    Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilitumia kiasi hicho kuwapa pole waliothirika na milipuko iliyotokea Aprili 29, 2009 katika Kambi ya JWTZ KJ 671 na kuua zaidi ya watu 29. Amesema wananchi 12,647 waliathirika na mlipuko huo uliosababisha huku watu kujeruhiwa na familia nyingi kukosa...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Mabasi 750 ya mwendokasi kuanza kazi Mbagala Machi mwakani

    Mabasi 750 Yaendayo Haraka yanatarajiwa kuanza kufanya kazi katika barabara ya Mbagala jijini Dar es Salaam, Machi 2023. Mradi huo ambao ni awamu ya pili unatarajiwa kuanza na mabasi 750 kutokana na wingi wa watu katika eneo hilo. Mradi wa mwendokasi Mbagala utasaidia kusafirisha abiria...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wananchi wa Mbagala walalamikia DAWASA kusitisha huduma ya mwekezaji binafsi

    Wakazi wa Mitaa ya Bughudadi, Kizinga na Moringe, Kata ya Mbagala wameilalamikia Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa kutowatimizia mahitaji yao ya maji maeneo yote na kudai kuwa hali hiyo inawalazimu kutumia muwekezaji binafsi kupata huduma hiyo. Malalamiko hayo...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

    Mwalimu wa Shule ya msingi Mbagala Kuu, mkazi wa Mwanamtoti aitwaye Ally Said Kaule (26) maarufu kama Sir Ally amepandishwa kizimbani katika mahakama ya wilaya ya Temeke kwa kosa la kumuingilia kingono mwanafunzi wake wa darasa la sita. Akisomewa mashtaka leo Jumanne mbele ya hakimu mkazi Aziza...
  11. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

    Habari za muda huu wana Jf, nimeona na kusoma comments zote za uzi wa Retired wenye kichwa cha habari " Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani? Nilichogundua watu wamekosa umakini kwa kiwango kikubwa watu wengi wanajadili bila facts na porojo nyingi sasa nimejipanga kujibu baadhi ya hoja...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

    Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mbagala Chamazi Mbande bei m3.3

    Mtenja serious ____________ KIWANJA KINAUZWA MBAGALA CHAMAZI MBANDE BEI 💵 M3.3 KULIPA KWA AWAMU MTAA UMETULIA UDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO MAJI UMEME YAPO CONTACT US 0768041126 0689357572
  14. P

    JamiiForums Tanzania Panya Road waiba na kujeruhi Kilungule Mbagala

    Hali kwa sasa ishakuwa Tete leo majira ya saa Saba usiku kundi la vijana wapatao 50 wamejeruhi watu watatu nakuiba pesa na Mali Kama tv halI ya majeruhi n mbaya Sana wapo temeke hospitali. Tunaomba serikali iwape nguvu Zaid jeshi la polisi na mgambo kwa vifaa na ujuz pia. Huku tozo huku wizi...
  15. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wimbo wa Taifa la Mbagala

    Siyo ule wimbo tunaoimba huku tumesimama wima mithili ya askari anayelinda benki ya CRDB. Siyo ule wimbo ulioimbwa kabla ya Timu ya Taifa kupigwa risasi moja ya kichwa na Timu ya Taifa ya Uganda katika michuano ya  CHAN pale kwenye uwanja wa Mkapa. Siyo huo ! Huu ni wimbo  sugu unaoimbwa na...
  16. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Makarani wa sensa Mbagala wagoma kukatwa tozo

    Makarani wagoma kupokea 300,000 badala ya 340,000 walizotakiwa kulipwa, inasemekana kuna makato yamekatwa ya 40,000.
  17. Mchawi mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Mkata nyasi za garden natafuta kazi

    Natafuta kazi za 1; Kutunza garden 2; Kukata nyasi za garden Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye kazi za garden Nipo Dar Mtoni kijichi 0715271246
  18. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete tarehe 11/12/2012 alifungua jengo la hosipitali Mbagala Zakhiem, leo limechakaa

    Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu! Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania LATRA yalaumiwa na wanyonge wa Mbagala

    Katika hali isiyo ya kawaida, mabasi/ daladala zenye TLB inayotolewa na LATRA Mbaga mpaka GEREZANI/ Kariakoo imekuwa shamba la bibi. Kutoka kituo cha Kariakoo, Gerezani mpaka makao makuu ya LATRA ni kilometa 2 tu lakini Daladala zikifika kariakoo siti za kukaa ni shilingi 1000 na kusimama ni...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Trafiki: Abiria wa Makumbusho-Posta wastaarabu siyo kama wale wa ruti ya Mbagala

    "Utakuta watu wa route hii ya Makumbusho Posta wana ustaarabu, akikuta gari limejaa kwanza hapandi, tofauti na route za Mbagala, hata mwonekano wa kondakta na dereva wa gari la Posta uko smart, "- Sgt Amin Iddi, Traffic Dar. "Umepanda pikipiki dereva anaenda isivyo wewe unashindwa kumwambia...
Back
Top Bottom