mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Barabara za Kimara, Mbagala zitapata Mabasi mapya ya Mwendokasi kati ya Februari au Machi 2025

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema mradi wa Mabasi yaendayo Kasi unatarajia kupokea Mabasi mapya kuanzia mwezi wa Pili hadi wa Tatu mwaka 2025 Akizungumza leo Januari 2, 2025 amesema "Tayari kuna Mabasi yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo UVCCM walivyosepa na kijiji Mbagala kwenye tuzo za maalum za vijana

    Wakuu, Humu mitandaoni uaweza kudhani kuwa UVCCM haina wanachama hai lakini hawa jamaa wana nyomi la kutosha. Hapa sijui ni watu wamefuata muziki au wamemfuata Mwenyekiti wa UVCCM, Kawaida lakini nyomi ni kubwa. Kumbe Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable wako wengi sana huko mtaani?
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mbagala hadi Kongowe ni nyembamba, ina mashimo na inasababisha foleni mara nyingi

    Nimetoka Lindi leo kabla tu ya mchana na basi letu limeenda mwendo mzuri tu! Hata Vikindu foleni haikuwepo. Saa kumi na nusu ndo tunaikuta foleni ya Kongowe, imeanzia nyuma ya shule ya St Matthews. Hiyo foleni imechukua dk kama 45 hadi kufika makutano ya Kongowe kwenda Kigamboni. Kwenda...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania ACT- Wazalendo: Tunalani uvamizi dhidi ya Wamachinga na kubomolewa vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu

    TAARIFA KWA UMMA Tunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na kuporwa bidhaa za wafanyabiashara wadogo eneo la Mbagala Rangitatu, Temeke Dar es Salaam usiku wa kuamkia...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DC Temeke amekifungia chuo cha Kewovac kinachotoa elimu ya uuguzi na ukunga Mbagala kutokana na ubovu wa mazingira ya chuo

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amekifungia chuo cha Kewovac kinachojihusisha na utoaji wa elimu ya uuguzi na ukunga kilichopo Mbagala Charambe kwa kutokidhi vigezo vya utoaji wa elimu hiyo na ubovu wa mazingira ya chuo hicho. DC Mapunda ameagiza kukamatwa mara moja kwa mkurugenzi wa...
  7. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TBT: Unakumbuka nini kuhusu mabomu ya Mbagala (2009) na Gongo la Mboto (2011)?

    Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia matukio muhimu ya kiusalama nchini, milipuko ya mabomu katika maghala ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) huko Mbagala mwaka 2009 na Gongo la Mboto mwaka 2011 ni miongoni mwa matukio yaliyoshtua taifa zima. Tukio la kwanza la Mbagala lilitokea Aprili...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Meneja TANROADS aelezea ulipofikia mchakato wa Ujenzi wa Barabara ya Mbagala Mzinga - Kongowe - Kisemvule

    Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai Barabara inayopita katika Daraja la Mto Mzinga pamoja na Daraja lenyewe maeneo ya Mbagala, Dar es Salaam ni changamoto kutokana na uchakavu na kutoboreshwa kwa muda mrefu, TANROADS imetoa maelezo. Kusoma alichoandika Mdau bofya hapa ~...
  9. nipo online

    JamiiForums Tanzania Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

    Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia pikipiki. Kimbembe wakati wa kurudi nisaidieni usafiri mzuri wa kuipakilisha pikipiki yangu TVS...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Offer offer phone accessories

    Duka ni jipya lipo mbagala phone accessories kwa BEI ya kitonga jumla na rejareja EARPODS 3 kwa 7,000/= tu Viioo vya SIMU Charge aina zote Smart watch N.k 0748831964 Whatsapp
  11. Ndama Jeuri

    JamiiForums Tanzania Hotel au Lodge nzuri Mbagala Dare es salaam

    Husika na kichwa hapo juu! Kwa wenyeji wa Mbagala Dare es salaam. Naomba msaada wa kupata huduma tajwa hapo juu ya kulala kwa gharama ya chini ya 100,000 kwa siku, isizidi 100,000/= location ilipo na mawasiliano ni muhimu
  12. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mbagala: 3 Bdrm House and 2 Frames For Sale - Dar

    • Direction: Zakhem Dar Alive • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms, 7 backyard bedrooms, 2 Frames • Plot Area: 700 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 70 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ inajitosheleza. Vyumba master 1 na kawaida 2 ✓ banda la uwani lina vyumba 7 na mbele kuna fremu...
  13. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mbagala: 3 Bdrm House For Sale - Dar

    • Direction: Zakhem • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 1,000 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 75 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ vyumba master 1 na kawaida 2 ✓ ina malumalu, gypsum na madirisha ya vioo ✓ ina uzio, paving na parking ✓ pana maji ya bomba na tenki la...
  14. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Chalamila pamoja na ukuu wako wa mkoa acha kuwadharau wakazi wa Mbagala.

    Chalamila mara nyingi umekuwa ukitoa hotuba za dharau dhidi ya wananchi, hili la kuwaona wakazi wa Mbagala ni walevi wa pombe na wapenda ngono na wake za watu halikubaliki, ni dharau iliyopindukia. Chalamila inawezekana umewahi kumpata mke wa mtu huko Mbagala mlipokuwa mkinywa pombe, hii...
  15. feyzal

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni Mbagala Rangi 3-Kongowe

    Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu. Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu pale kokoto nakutana na basi la superfeo linaloenda songea ambao hutoka stendi ya rangi 3 saa 10:00...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Wito kampuni ya kimataifa ya Uuzaji wa Pizza isogeze huduma Kwa kufunguka migahawa yake maeneo ya Temeke na Mbagala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe kampuni kubwa ya kimataifa ya Pizza Hut isogeze huduma maeneo ya temeke na mbagala jijini dar es salaam. Naambiwa kampuni hii ina migahawa maeneo mikocheni, masaki, msasani na oysterbay hivyo tunaomba wafungue pia matawi na kuanzisha huduma za "delivery"...
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plots, Apartments for Sale

    Apartments for Sale Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa. Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool. Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini) Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dart, Udart zapewa siku 90 mabasi Mwendokasi Mbezi Mbagala yapatikane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amezitaka Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart) kuhakikisha ifikapo Desemba 2024, mabasi ya mwendokasi yanayotakiwa katika barabara ya Morogoro na ya...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Meneja BRT : Mradi wa Mwendokasi Mbagala-Gerezani umefikia 99%, kukamilika

    Meneja wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) Mhandisi Leonard Ngayungi amesema, kwa sasa kuna miradi mitatu ya BRT ambayo utekelezaji wake unaendelea huku ujenzi wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Pili (BRT II) ukifikia asilimia 99 ambapo kwa sasa wako katika hatua ya mwisho ya...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali ifikirieni Mbagala, ipeni hadhi ya wilaya(Manispaa)

    Wilaya ya Temeke imekuwa kubwa Sasa ni muda mwafaka itengwe kama ilivyo Kinondoni ilizaa Ubungo, Ilala ikazaa Kigamboni, Sasa kwanini Temeke isitoe Manispaa mpya ya Mbagala ambayo inaweza kuchukua baadhi ya maneno ya Mkuranga kama vile Mwandege, Kisewe na Vikindu Mbagala imepanuka Kwa kasi...
Back
Top Bottom