mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Design ya vituo vya mwendokasi vya Mbagala na Tegeta havivutii na vimechoka kuliko vituo vya zamani

    Habari wadau. Sijajua ni macho yangu au nini. Hii design ya hivi vituo sijui imezingatia kitu gani maana havivutii ata kidogo. Inamaana wahandisi wameshindwa ata kuiga ramani ya vituo vya zamani walivyojenga wenzako? Pia cha kushangaza vituo hivi vimechoka kuliko vituo vilivyojengwa phase ya...
  2. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania DART yaendelea kupiga kalenda usafiri wa Mwendo kasi Mbagala

    Huduma ya mabasi ya mwendokasi iliyotarajiwa kuanza leo Septemba Mosi, 2025 katika barabara ya Mbagala, imesogezwa mbele ikiwa ni sababu ya kutokamilika kwa miundombinu muhimu kama mageti janja na kituo cha kujazia gesi. Akizungumza lna gazeti la Mwananchi leo Jumatatu, Septemba mosi 2025 ...
  3. radhiya

    JamiiForums Tanzania Industrial Plot For Sale at Mbagala Chamazi

    Plot Available For Sale. Location: Chamazi, Mbagala area. Descriptions: *14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port. *The area is fully fenced, with water and electricity within the premises. *There are 2 big logistics companies near, Suhara logistics and Inaara investments. *The area...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Usalama wa watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara Mbagala rangi 3; Mamlaka zipo likizo?

    Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani. Kinachoshangaza zaidi...
  5. radhiya

    JamiiForums Tanzania Industrial Plot For Sale at Mbagala Chamazi

    Plot Available For Sale. Location: Chamazi, Mbagala area. Descriptions: *14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port. *The area is fully fenced, with water and electricity within the premises. *There are 2 big logistics companies near, Suhara logistics and Inaara investments. *The area...
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot available for Sale at Mbagala Chamazi

    Plot Available For Sale. Location: Chamazi, Mbagala area. Descriptions: *14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port. *The area is fully fenced, with water and electricity within the premises. *There are 2 big logistics companies near, Suhara logistics and Inaara investments. *The area...
  7. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mahali hapa dar kuna uchawi kuzidi Chanika,chamazi na Mbagala ???

    Duh haya maisha sio poa sikutegemea kama dar es salaam jiji lenye kila aina ya starehe , kwamba na penyewe uchawi upo , yaani kuna uchawi balaa,sio poa hususani maeneo ya Mbagala, Chanika na chamazi dar nimeishi maeneo mengi ila sio kwa hayo maeneo yaani uchawi ndo ulipo lala, bora hata mikoani 😜
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi foleni za Mbagala, Buza zimekuwa kero sana

    Foleni zimekuwa ni jambo la kawaida, hasa kwa wanaosafiri kuelekea maeneo ya Mbagala au Buza, ambako safari inaweza kuchukua hadi saa tatu kufika, sehemu ya kufika ndani ya lisaa limoja hata kama umbali si mrefu. Hali hii imekuwa kero kwa wakazi na imekuwa ikikwamisha shughuli nyingi za kila...
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Heavy Industrial Plot For Sale at Mbagala Chamazi

    Plot Available For Sale. Location: Chamazi, Mbagala area. Descriptions: *14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port. *The area is fully fenced, with water and electricity within the premises. *There are 2 big logistics companies near, Suhara logistics and Inaara investments. *The area...
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wataliban wa Mbagala basi wakiona hii picha wanapepesuka balaa

  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

    Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam. Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi Diamond sio mjinga kuhama Tandale, Bakhresa zamani aliishi Kariakoo ila serikali ilimuhamisha kinguvu, najua hata...
  12. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Mbagala Chamazi

    Plot Available For Sale. Location: Chamazi, Mbagala area. Descriptions: *14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port. *The area is fully fenced, with water and electricity within the premises. *There are 2 big logistics companies near, Suhara logistics and Inaara investments. *The area...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dr. Elisha Osati amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbagala

    Aliyekuwa rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) mwaka 2020, Dk Elisha Osati (kulia) amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbagala, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Julai 2,2025. Fomu hiyo ameikabidhi kwa Katibu wa Wilaya ya Temeke...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ‎Siaga Njega atia nia, ubunge jimbo la Mbagala

    Zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi za Ubunge limeanza rasmi ambapo leo June 28 watia nia kutoka sehemu mbali mbali katika Jiji la Dar es salaam wamejitokeza kuchukua fomu hizo. ‎ ‎ Siaga Njega ni mmoja kati ya watia nia wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbagala rasmi leo june 28...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 DJ wa Diamond, RDJ ajitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala

    DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM. RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  16. MWANAHARAMU

    JamiiForums Tanzania Purukushani za Mbagala ulizowahi kukutana nazo

    Hakuna asiye jua eneo maarufu ndani ya Jiji la Dar es salaam. Embu elezea purukshani yoyote kutokea mbaga la uliyo wahi kukutana nayo:
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya MOFAT ya Tanzania yapewa tenda ya kuendesha Mwendokasi kipande cha Gerezani-Mbagala kwa miaka 12

    My Take Naunga mkono dhana ya uwekezaji wa ndani kuliko wa Nje. Wawekezaji wa ndani wenye uwezo jitokezeni mkamate tenda na muoneshe ufanisi tusiwe kama Mwendokasi ya UDART. https://www.instagram.com/p/DLPL2x6IBJ2/?igsh=ejdmNzRuMzZuY3k5 --- KAMPUNI ya Kizalendo ya Mofat imepewa mkataba wa...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika zinawaza nini kuhusu Stendi ya Mbagala Rangi Tatu? Ni kero kipindi cha mvua

    Hali ni mbaya kwenye stendi hiyo yenye daladala na ofisi za mabasi yanayoenda mikoani hasa mikoa ya kusini, abiria tunaofika kwenye stendi hiyo tunakumbana na kero kubwa, daladala na mabasi kuna wakati yanapata shida ya kupita kutokana na tope. Lakini inashangaza kwa miaka yote Watu wa daladala...
  19. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbagala wakoshwa na huduma za Kibingwa za MOI

    Wakazi wa Mbagala wamefurahishwa na huduma za kibingwa na kibobezi zilizotolewa na wataalam wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika kambi maalum ya matibabu iliyoandaliwa na Wanataaluma na Wajasiriamali wa Kanisa la Wa Adiventista Wasabato Tanzania (ATAPE). Wakazi...
  20. Stability

    JamiiForums Tanzania Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?

    Wakuu! Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?
Back
Top Bottom