Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.
Wakuu habari
Mahitaji chumba na sebule maeneo ya Mbagala ambako nimehamishia shughuli zangu
Maisha yangu kwa asilimia kubwa hapa mjini nimeyaishi Ubungo rudi mpaka Mbezi
Natafuta maeneo ambayo hakuna 'uswahili' sana...simaanishi mimi ni wa kishua...kinyume chake mimi ni shamba nimetoka mkoani...
Sisi Wananchi tunaoishi hapa Mbagala Sabasaba tunapata changamoto ya mazingira kuchafuliwa na kuwa hatari kwa afya kutoka katika Machinjio ya Ng’ombe ambayo yapo kwenye makazi ya Watu.
Maji machafu ambayo yanatoka kwenye machinjio hayo tanatiririka kwenye makazi yetu na hakuna jitihada...
Mimi sio mkazi wa Daslam lakini wenye mji wao kwenye mitandao ya kijamii wanasema hapo Masakuu Mbagala Kuna laana isiyo ya kawaida kitambaa cheupe irudi darasani kwanza.
Wanasema watu wanakulana mubashara wa kushangza !!
Wenye mji wenu Je Kuna ukweli wowote ule?
Location yake hii hapa
Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho.
Maboresho ambayo wanaporudisha tu umeme hauwi sawa, Mara Line hii ifanye kazi Nyingine Zigome! Hawana ratiba...
Jambo ambalo nashindwa fahamu aliyetoa ushauri njia ya mwendo kasi kuzuiwa kupita hadi magari madogo kuanzia mbagala hadi bendera tatu.
Njia hii inawakazi wengi na wapo ambao wanaenda tafuta mahitaji wapo wanaoenda kutafuta bidhaa na kuja wauzia waliobaki walipotoka na bado wapo ambao wanaenda...
Dar es Salaam, 28 Machi 2025 - Kampeni ya Magift ya Kugift kutoka YAS na Mixx by YAS imeendelea kubadilisha maisha ya Watanzania, ambapo siku ya tarehe 28 Machi, ilibadili maisha ya ndugu Ramadhani Abdallah Mwinchande, mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam baada ya kumkabidhi rasmi gari...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza sababu za huduma ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam katika njia ya Mbagala hadi katikati ya mji kuanza Mei mwaka huu badala ya Machi, kama ilivyopangwa awali.
Chanzo: Azam TV
Pia soma:
~ Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua...
Hii barabara ya mwendokasi ya kupita Mbagala Kila uchwao inaleta ajali, watu wanakufa kila mara bila sababu za msingi na serikali ya mtaa, kata, wilaya, kuu zote zipo na zinajua kinachoendelea. Maana ni wao ndio wameifungulia hii barabara ili gari zipite.
Hii barabara haina alama yoyote ya...
Kila masika na mbu wake, lakini mbu hawa wa kukua sana shughuli za Bandarini, Serikali ijipaange kutatua.
Mizigo na shehena za bidhaa zinazoteremshwa Bandarini zimekuwa nyingi mno.
Miundombinu ya barabara za kutoa mzigo na kupeleka mzigo bandarini limezua tatizo kubwa la barabara kuelekea...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta amesema wameiona video clip iliyopostiwa na Mtangazaji wa Clouds media Khan Mbarouk siku mbili zilizopita inayoonesha ubovu wa barabara na msongamano wa magari katika barabara kuu iendayo mikoa ya kusini mwa Tanzania...
Habari maboss wangu.
Ni Mimi Kwa mara nyingine tena nakuletea nyumba hii ipo Mbagala kibulugwa.
Kiwanja hiki kina nyumba mbili ndani ya fensi.
Hapa unaweza kufanya uwekezaji wa Lodge Kali sana mana nyumba ipo katika ya mtaa na magari yanapita hapa boss.
Lakini ukiamua wewe mwenyewe...
Wakuu habari zenu na poleni na majukumu .
Mimi ni msukuma wa mwanza nimeishi mwanza - Nyashishi takribani maisha yangu yote lakini kwa miezi minne sasa nimetua hapa Dar na sina mpango wa kuhama kabisa.
Kwa sasa naishi maeneo ya Tabata Mwananchi - nimepanga. Hata hivyo katika tembea tembea...
1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri.
2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni. Hili ni eneo linalotumiwa na mamia ya watu kila siku, lakini hali ya vyoo ni ya kusikitisha.
3️⃣...
"Tayari kuna mabasi [Mwendokasi] yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza kufika. Kwa njia hii ya Kimara - Mjini, sekta binafsi wataleta mabasi takriban 177 yanakuja kutoa huduma kwenye eneo hilo. Lakini pia sekta binafsi wameagiza mabasi ya kutoka Mjini-...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema mradi wa Mabasi yaendayo Kasi unatarajia kupokea Mabasi mapya kuanzia mwezi wa Pili hadi wa Tatu mwaka 2025
Akizungumza leo Januari 2, 2025 amesema "Tayari kuna Mabasi yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza...
Wakuu,
Humu mitandaoni uaweza kudhani kuwa UVCCM haina wanachama hai lakini hawa jamaa wana nyomi la kutosha.
Hapa sijui ni watu wamefuata muziki au wamemfuata Mwenyekiti wa UVCCM, Kawaida lakini nyomi ni kubwa.
Kumbe Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable wako wengi sana huko mtaani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.