mazungumzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Netanyahu, kawambia familia za Mateka wa Israeli: Sitaweza kuwarudisha Mateka baada ya Hamas kukataa mazungumzo

    Wanaukumbi. Netanyahu to the Israeli prisoners’ families: I will not be able to return them all, and the families left the meeting angry. Sources: Hebrew Channel 12, Al Jazeera. 🚨🇵🇸 Hamas RESPONDS to NETANYAHU: "There will be no negotiations or exchange of detainees until Israel’s...
  2. Hamas inasema hakuna mazungumzo zaidi hadi Israel isitishe mashambulizi yake dhidi ya Gaza

    Wanaukumbi. Afisa wa Hamas aambia Al Jazeera mazungumzo juu ya kubadilishana wafungwa sasa yamekwisha na hayatarejelea hadi Israel itakaposimamisha mashambulizi na kuwakabidhi wafungwa wote wa Kipalestina. Israel iliamuru timu yake ya mazungumzo ya Mossad huko Doha kurejea Israel kwa sababu ya...
  3. Waziri Makamba afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen

    Kupitia ukurasa binafsi wa mtandao wa X (Zamani Twitter) wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika. Mashariki, January Makamba ameandika ujumbe kuwa mapema leo amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Eli Cohen Ujumbe huo umeeleza kuwa Waziri Cohen ameahidi Serikali ya...
  4. Rais Samia ataka mazungumzo ujenzi wa Hospitali ya Apollo nchini

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Afya kukufua mazungumzo ili kuhakikisha kituo cha umahiri na ubobezi wa kimatibabu 'Apollo Hospital' kinajenga jijini Dar es Salaam na kukamilika ifikapo mwaka 2026. Hayo yamesemwa leo Novemba 6, 2023 wakati ujumbe wa Rais wa Apollo Group Hospitals...
  5. Mazungumzo Maktaba na Mkutubi Festo wa National Archives Dodoma

    Maktaba ilibahatika kutembelewa na Mkutubi Festo Liheta kutoka National Archives Dodoma. Kusudia la safari yake ilikuwa kupata nyaraka. Tulifanya mazungumzo mafupi: https://youtu.be/wO86ftnPSa4
  6. Taleban yazitaka Palestina na Israel kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo. Yatamka kuwa haiungi mkono ugaidi

    Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo. Taleban imetamka wazi kuwa haiungi mkono vitendo vya kigaidi na kuzitaka pande zote kuketi chini na kutafuta amani kwa...
  7. Usiiharibu tabia yako kwa mazungumzo yako

    Biblia inatufundisha kuwa Mazungumzo mabaya ndiyo yanayoharibu tabia njema ya mtu. 1Wakorintho 15:33 “Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema”. Maandilizi ya dhambi karibia zote yanaanzia katika “mazungumzo”.. wanaopanga kuua wanaanzia na mazungumzo, wanaopanga kuiba wanaanzia...
  8. Putin na Kim Jong Un Leo watakuwa na mazungumzo (Fuatilia live updates) hapa

    Hapa jana kwenye chakula cha jioni: Neno "rafiki" lilitumiwa mara 12 kwenye chakula cha jioni kwa heshima Ya Kim Jong-un. Pia kulikuwa na vifungo vya urafiki, hali ya urafiki na hata urafiki wa urafiki. Kwa wengine, nostalgia, na kwa wengine, ukweli.
  9. Waziri Makamba akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Viwanda na Teknolojia ya Juu wa Serikali ya UAE

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Waziri wa Viwanda na Tekinolojia ya Juu wa Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Sultan Ahmed Al Jaber Jijini Nairobi, Kenya. Waziri Makamba amekutana na Al Jaber pembezoni mwa Mkutano...
  10. Marekani yazishtukia Urusi na Korea Kaskazini, yadai zina mazungumzo ya siri

    Ikulu ya White House ya Marekani, imesema kuwa Urusi inaendelea na mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini ili kupata risasi na nyenzo nyingine za kivita dhidi ya Ukraine. Mtandao wa BBC umeripoti kuwa msemaji wa usalama wa taifa hilo, John Kirby, amesema kuwa pamoja na vifaa vya kijeshi, Moscow...
  11. Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
  12. Waziri Dkt. Tax akutana kwa Mazungumzo na Balozi wa Comoro

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Visiwa vya Comoro nchini, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Viongozi hao wamejadili masuala mbalimbali ya...
  13. Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023. Rais wa...
  14. Dkt. Shelukindo akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Vietnam

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Vietnam, nchini Mhe. Nguyen Nam Tien katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam, tarehe 9 Agosti 2023. Viongozi hao wamejadili masuala mbalimbali ya...
  15. Chelsea yaanza mazungumzo ya kumsajili Neymar

    Mpango unafanyika baada ya Staa huyo wa Paris Saint-Germain kuijulisha klabu yake kuwa anataka kuondoka licha ya kuwa amesaliwa na mwaka mmoja katika mkataba wake. Neymar alijiunga PSG kwa rekodi ya Dunia Pauni Milioni 198 (Tsh. Bilioni 624) akitokea Barcelona Mwaka 2017. Uamuzi unaendelea...
  16. Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

    Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine. Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
  17. Odinga na Ruto kufanya mazungumzo chini ya Rais Mstaafu Olesegun Obasanjo

    Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One na Kenya Kwanza wamefikia uamuzi huo ili kutafuta mwafaka wa maandamano ya kupinga Serikali yanayoongozwa na Raila Odinga. Katika taarifa iliyotolewa leo Julai 29, 2023 imeeleza kuwa majadiliano hayo yanatarajiwa kumhusisha Rais wa zamani wa Nigeria...
  18. Rais Samia na Rais Ruto Wafanya Mazungumzo Dar es Salaam

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, William Ruto kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC - Dar es Salaam
  19. Kwa Mazungumzo ayafanyayo sasa Msemaji wa Yanga SC Clouds FM kumbe 'Skudu' kasajiliwa kwa Burudani na siyo kusaidia timu

    "Tumewaletea wana Yanga SC Mchezaji ambaye hatakama hatofunga Goli ila atahakikisha Mashabiki Wote Uwanjani wanaburudika kwa Maufundi yake ya Kuchezea Mpira" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe aliye Studioni sasa Spoti Extra ya Clouds FM. Haji Manara (Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC) hakukosea...
  20. Mkataba wa kishenzi ni marufuku Tanzania, kama wana dhamira njema, mazungumzo yaanze upya

    Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule. Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…