Chelsea yaanza mazungumzo ya kumsajili Neymar

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Mpango unafanyika baada ya Staa huyo wa Paris Saint-Germain kuijulisha klabu yake kuwa anataka kuondoka licha ya kuwa amesaliwa na mwaka mmoja katika mkataba wake.

Neymar alijiunga PSG kwa rekodi ya Dunia Pauni Milioni 198 (Tsh. Bilioni 624) akitokea Barcelona Mwaka 2017.

Uamuzi unaendelea wakati ambapo staa mwingine wa timu hiyo, Kylian Mbappe naye akiwa katika mvutano wa kimkataba na PSG.

========

Chelsea 'hold talks with Neymar over a potential move to Stamford Bridge' after the PSG forward informed the club of his desire to leave this summer

Paris Saint-Germain wantaway forward Neymar could be on his way to Chelsea after his advisers reportedly continue to hold talks with the Blues over a sensational move, according to reports.

Neymar has informed the Ligue 1 champions that he wants to leave this summer and becomes the latest high-profile superstar to give the club another transfer conundrum with Kylian Mbappe's future also unresolved.

The Brazilian superstar joined PSG in a world record £198million move from Barcelona in 2017 and is now keen to secure an immediate exit before the European transfer window closes.

Chelsea have previously sounded out a potential deal for Neymar and could be the most suitable next destination as discussions continue between the player and the club, as reported by RMC Sport.

Neymar's extortionate salary at the Parisian side has priced a host of clubs out of the running for his signature, but Chelsea's Premier League status and financial backing means they could offer him a way out.

However, it is understood that the Stamford Bridge outfit are in the middle of restructuring player salaries and want to bring in a lower ceiling for top earners.

Sweeping changes under co-owner Todd Boehly means a tiered wage initiative is being explored and that could mean a transfer for the Brazilian flair player is unlikely.

Source: Dailymail
 
Hawa jamaa wa Arsenyau jana walipigwa nyundo tatu pale patamu halafu bado maumivu haijawaingia ndio maana bado wanazurura kwa majirani eh, ngoja tunawachemshia dawa
 
Hawa jamaa wa Arsenyau jana walipigwa nyundo tatu pale patamu halafu bado maumivu haijawaingia ndio maana bado wanazurura kwa majirani eh, ngoja tunawachemshia dawa
Hali yako tete soon mnafukuzwa kidarajani pale chelkenge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom