mawazo

  1. Mawazo gani yalikupitia kichwani baada ya kumaliza "game" na huyo demu?

    Wazungu wanaita hii hali "post nut clarity" yaani fahamu kukurudia baada ya hamu yako ya kujamiiana kufunga Kama ulikuwa huoni hilo komwe la huyo mwanamke hapa sasa ndio utaona, kama ulikuwa hujaona vizuri kwamba ni lishangazi basi hapa ndio utaona, kama mliokotana Tandale kwa mfuga mbwa na...
  2. Geita: Wanaume kutosikilizwa kumechangia msongo wa mawazo na Vifo kwenye ndoa

    Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
  3. Nahitaji mawazo yenu wakuu

    Nahitaji present research yangu katika kampuni flani hapa Tanzania mainly nahitaji gusia maswala ya microfinance kama hizi mikopo ya simu, kausha damu, mikopo ya mitandaoni nk. Naomba mawazo yenu, changamoto, faida nk gusia chochote kuhusu mada nahitaji andaa kitu bora. Asanteni Wasomi...
  4. Naweza kusoma tena Degree ili niipandishe GPA?

    Habari ndugu Wana JF, Kwanza nimshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai. Pili, nawaomba wazoefu na Mambo wanipe elimu/ufafanuzi juu ya wazo langu lifuatalo kuhusu masomo ya elimu ya juu! Kabla sijaweka swali, niruhusuni nijisemee kwa kifupi; Mimi ni mwajiriwa wa serikali kada ya ualimu, Nina...
  5. Ushauri au mawazo tatizo la kusahau majina ya watu

    Habari, Naomba ushauri wenu au mwnye changamoto kama yangu anaikabili vipi? Kwa ufupi, me huwa nasahau majina ya ndugu/jamaa/marafiki punde tu baada ya kutengana(hata kwa week) Hili swala limekuwa gumu kulikabili, maana sometime nakutana na mtu ananiita majina yang matatu, ila me simjui hata...
  6. Nina mawazo mazuri kuisaidia nchi ila sijui nimfikishie nani

    Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia. Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio. Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots. Najua viongozi...
  7. Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  8. Naomba ushauri; Nipo kwenye dimbwi la mawazo baada ya kutembea na mwathirika wa UKIMWI

    Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25. Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa...
  9. Watanionaje,watanifikiriaje na watanichukuliaje, ni mawazo yanayoturudusha vijana wengi nyuma

    Aslaam, Wakuu, nimewaza hapa juu ya haya mawazo ya WATANIONAJE, WATANIFIKIRIAJE na WATANICHUKULIAJE namna yanavyotufelisha wengi katika kufanya maamuzi. Miongoni mwa mawazo yanayobomoa VIJANA wengi na kukosa uthubutu wakufanya jambo ni haya. Mi nimmoja wapo Ambae muathirika wa haya mawazo...
  10. Mabati bora ya kuezeka nyumba

    Naomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi sana na kila mtu anavutia kwake.
  11. Q

    Nimepata nafasi ya kujitolea miezi minne. Je, nichukue fursa au niachane nayo?

    Mimi ni fresh graduate, nimehitimu katika moja chuo kikuu hapa jijini. Taaluma yangu ni ualimu I have bachelor of science with education (biology and geography). Sasa wakuu Katika harakati za kupambana na maisha huku mtaani Toka mwezi wa Saba nilipo maliza, Leo hii nimeitwa na moja ya shule ya...
  12. T

    Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

    Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake. Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake...
  13. G

    Nina milioni 2 ningependa kuwekeza biashara za online naomba mawazo nijaribu kitu gani?

    nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible. so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube adsense, nina rafiki yangu yupo states aliwahi kunipa wazo hilo kibongo bongo views buku kwa wastani ni...
  14. Hatuoni tatizo kwa miradi ya Serikali kutokana na mawazo ya wawekezaji wa kigeni?

    Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao wawekezaji ni ROI yao kwanza, wanazo pesa zimezagaazagaa wanazunguka dunia nzima kutafuta pa...
  15. W

    Jinsi ya kukabiliana na msongo wa mawazo

    1. Weka malengo unayoweza kufikia ndani ya muda mfupi Badala ya kuorodhesha majukumu mengi, fikiria kuweka malengo madogo. Kuweka na kutimiza malengo haya kunaweza kukupa hali ya udhibiti na mafanikio, na kusaidia kuongeza motisha. Ukimaliza jambo dogo, elekeza macho yako kwenye jambo dogo...
  16. H

    Nahitaji rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo, baadae awe mke

    Habari wana JF, mimi ni mwanaume, umri miaka 27, dini mkristo, natafuta rafiki wa kike ambae baadae anaweza kuwa mke, kama umevutiwa karibu inbox.
  17. Natafuta rafiki wa kike umri chini ya miaka 22 wa kubadilishana nae mawazo

    Wakuu Hamjambo?
  18. K

    Mawazo tu

    Waafrika tunatengenezewa Ufukara wa kulazimishiwa na kutishwa tishwa ili wachache walioamua kuishi maisha ya Anasa kwa Jasho la mafukara wasihojiwe lolote. Na mbaya zaidi wanazidi kuwaza mbinu za kuzidi kumfunya fukara awe fukara kwa kumuwekea viaongozi watokanao na safu wasiokuwa na msaada...
  19. Ushauri wa kufungua kampuni ya transportation and logistics

    Salaam JF. Nimekuja hapa nikiwa na imani ya kuwa jf ni uwanja mpana uliosheheni watu wenye ujuzi tofauti. Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana elimu na uzoefu katika masuala mazima ya kumiliki pamoja na uendeshaji kupitia kampuni inayohusia na Transportation and logistics. Nakarabisha...
  20. Azam wanasusa ili kupata public sympathy, ukweli ni kwamba media zimeshawaibia watu wengi sana mawazo yao

    Tanzania ni nchi ambayo unapeleka idea kwa mtu au kampuni wanaikataa na tena wanaiponda ila ukikaa baada miezi kadhaa unaona wanaitumia wengi hii imewatokea Hata yule bosi wa zamani wa mawingu marehemu kwa sasa ambaye alikuwa anasifiwa sana ana akili ukweli ni kwamba alikua wakawaida sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…