Msaada wa mawazo mwenzenu sijui nifanye nini hadi muda huu

kj75

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
491
590
Wakuu habar za muda huu,

Mwenzenu Nina majanga, niende kwenye points Kuna demu nilimpata nikaomba namba akanipa katika harakati za kuomba papuchi akasema mke wako tunafamiana pia tunaheshimiana Ni Dada angu hivyo siwezi nikamsaundisha akakubali kunipa utelezi Sasa kimbembe kikaja kuleta mzigo siku ya kwanza akasema yupo Dar akilud mkoan atanicheki nikasema poah siku nyingine akasema yupo Zanzibar,

Siku aliyosema amelud mkoan hivyo tukakubaliana alete papuchi akasema poah nimtume nauri kuja Hadi nilipo nauri Ni ten nikamtumia 15,000 hakuja nikala block ya maana nikasema poah Haina shida nikawa natumia simu ya mtu mwingne anapokea tunaongea. Anasema unajua Nini kj75 oooooh Mimi sijakublock blaa blaa nyingi,
Siku nyingine akadai leo lazima nije nitumie nauri mwanaume nikatuma 15,000 Kama kawaida muda mchache baadae hakupokea simu Na block juu,

Nimekaa Kama mwezi ukapita Sasa ilipofika mwezi wa tano tarehe 22 mwaka huu akasema anakuja Mimi nikamwambia this Time around situmi nauri akasema anaazima akija nitamludishia nikasema poah akaja tarehe 24 tukaenda lodge Basi mnyanduano ukachukua nafasi baadae akaondoka ilipofika mwezi wa Saba mwanzoni akanicheki kwa simu Na kujieleza kuwa Ana UJAUZITO akidai Ni wangu Sasa nikamuuliza Una uhakika huo UJAUZITO Ni wangu akasema haswa kwa hyo unasemaje akasema yeye hawezi kutoa ok nikamwambia Mimi nakupa options mbili ya kwanza nenda kaflash bado mapema au Lea huo UJAUZITO wako mtoto akizaliwa Kama ni wangu nitamlea Ila family yangu kwa maana ya mke wangu asijue akasema poah

Ila kishingo upande nikasema fresh tumeenda akisema hela namtumia kidg 20,000 ,10,000 kwa sababu kuu simwamini ili ajifungue nimwone mtoto ndo nijiridhishe Kama Ni wangu ama laa

Ndugu wasomaji ikumbukwe kuwa makubaliano yetu Ni kuwa asiwe ananitafta asubuhi au usiku wenda kuwe Na emergency Ila tofauti Na hapo noo Na yeye alisema kuwa namba ya mke wangu Hana.

Kilichosababisha nije kwenu Ni kuhus yeye amekuwa mtu wa kuomba hela kupita maelezo Kuna siku alisema kuwa anataka aende sehem nyingine kwa sababu anahisi pale kwa wamemstukia hivyo inatakiwa aondoke nikamuuliza unaenda wapi Na utafikia wapi akasema anaenda wilaya Z nitafikia kwa rafiki Y nikasema utaishi huko Hadi lini akasema nitajua mwenyewe ok nikamuacha

Nikamtumia hela 20,000 Sasa juzi Kati hapa aliomba hela nikamwambia subili nitakupa kutokana Na changamoto za hapa Na pale sikupata hela kwa wakati akaaanza kutuma SMS ambazo hazina maana.

Mimi nikasema siwezi kutuma tuone Jana jion nikiwa kwenye mishe mishe zangu akanitumia SMS oooooh Mimi huwezi kunipa mimba halaf unitelekeze Mimi naenda ustawi wa jamii kukushitaki tutajua duuuuuuh Kwanza nikastaki kwa muda kumpigia hapokei baadae akasema futa namba yangu mtoto nitalea mwenyewe

Nimefika home usiku SAA tano Na madakika yake Cha kushangaa nikakuta wife bado hajalala nikashangaa kwa Nini wakati c kawaida akanitengea chakula Ile nimeanza kula akasema Baba X naomba simu zako zote nikasiita kidg nikampa wakati c kawaida Na Wala hajawah kuomba kwa kuwa SMS zote nilikuwa nimefuta nikampa akaangalia baadae akaweka mezani huyo akatangulia kulala

Mimi nikala kwa wasiwasi mkubwa nikaenda kulala nikajiuliza maswali kwamba Huyo demu amenichoma au VP ok asubuhi kulivyokucha wife yeye akaamka mapema kwa ajili ya kuandaa watoto waende shule Na kuandaa breakfast lkn bado amenuna

Mwanaume nikasema hapa lazima nimtafute mchepuko Na nijishushe ili nipate Kama habari zimefika kwa wife kwa Nini nilivyompeleleza akasema ndiyo namba ya mke wako ninayo nikamuuliza inaishia ngapi akasema Na ndiyo yenyewe ok nikasema wewe ndo umemwambia akasema yeye hajamwambia mtu tofauti Na Dada ake Na Mama ake mzazi

Wazoefu wa hizi Mambo tupeane ushauri hapa nifanyeje Na je akienda ustawi wa jamii itakuaje Na VP kuhus maana hapa nimepanga baadae nimuulize mke wangu Kuna Nini halafu afunguke ndo nitajua pakuanzia Ila kwa Sasa naomba ushauri wenu

Nisingependelea matusi au lugha chafu
 
MIchepuko Kutoka Rahatupu.Blog.jpg
 
Wakuu habar za muda huu,

Mwenzenu Nina majanga, niende kwenye points Kuna demu nilimpata nikaomba namba akanipa katika harakati za kuomba papuchi akasema mke wako tunafamiana pia tunaheshimiana Ni Dada angu hivyo siwezi nikamsaundisha akakubali kunipa utelezi Sasa kimbembe kikaja kuleta mzigo siku ya kwanza akasema yupo Dar akilud mkoan atanicheki nikasema poah siku

Wala msiikaribie zinaa hakika huo ni uchafu na njia mbaya kabisa(Qur'an)


Endeleeni kutaka muonekane marijali kumbe nyuma ya pazia mnateseka sana kisa Zinaa
 
Mwanangu huyo mwanamke kakuona wewe ni dhaifu kwake so anakuchezesha cha kufanya wewe mwaga mboga na ugali kataa mazima usitume hata senti akisema a namwambia wife mwambie amwambie tu wewe piga chini na akisema kwa wife kataa kata kata hata akionesha ushaidi wewe kataa tu mwambie Wali hack simu kukichafua
 
Unaibiwa huenda hata hiyoa mimba hakuna akisema atamwambia wife mwambie aseme tu.
 
Kwanza wewe mjinga sana. Unachepuka hata hamjapima unaenda peku. Umeambiwa ana mimba hujaandika popote kama ulihakikisha anayo kweli ama hana.

Kwa mkeo ulikosa nini mpaka ukaenda tembea na mwanamke anayefahamiana nae hadi namba anayo duh dharau sana.

Mtu huna hela unahonga elfu 10,15 bado unajiona kidume cha kuchepuka aiseee hebu pia rekebisha matumizi ya r na l. Ni nauli sio nauri Shuaini zako mfyuuuuuuu mxiiiiiiuuuuuu
 
Mpaka nauli umeliwa mara mbili na Bado ukaendelea kumbembeleza aisee, halafu hivi mnashindwaga kujikinga?? Mwagia hata njee
 
Kwanza wewe mjinga sana. Unachepuka hata hamjapima unaenda peku. Umeambiwa ana mimba hujaandika popote kama ulihakikisha anayo kweli ama hana.

Kwa mkeo ulikosa nini mpaka ukaenda tembea na mwanamke anayefahamiana nae hadi namba anayo duh dharau sana.

Mtu huna hela unahonga elfu 10,15 bado unajiona kidume cha kuchepuka aiseee hebu pia rekebisha matumizi ya r na l. Ni nauli sio nauri Shuaini zako mfyuuuuuuu mxiiiiiiuuuuuu
Tamu za numbie
 
Huyo mwanamke ni tapeli na kapata fala wa kumpiga. Kua makini, mwanamke anaejielewa hali nauli.

Kakuhurumia sana utahudumia na mwisho wa siku atakuambia mimba haipo imeharibika. Worst case scenario mtoto sio wako.
Scenarios

1. probability ni kubwa jamaa anahudumia mimba hewa.

2.kama binti ana ujauzito nina uhakika asilimia 90% jamaa amebambikiwa ujauzito, siku aliyopewa mzigo binti tayari alikuwa mjamzito.

3.Wife anajua tangu kitambo alikuwa anamchora tu, means binti alifunguka kwa wife siku nyingi so walikuwa wanakuchora na kula nauli zako.

4 .10% probably kweli ujauzito ni wako na kweli umeyakanyaga... Happ ushauri wangu tafuta ukweli then pambana na matokeo.Ila kwa kuanza kataaa kila kitu kwa wife usikubali kitu chochote, wife usimuulize habari yoyote labda aseme mwenyewe, akisema kataa... Ila ukipata picha halisi kama ni wako huo mzigo mambo yakitulia muombe wife msamaha kama akikusamehe sawa, akikataa kubali uamuzi wake mana ni kweli umefanya makosa.
 
Wanawake wamekuwa wajanja Sana nowdays.

Papuchi Ni Capital tosha.

Wanaume tupunguze tamaa za ajabu ajabu, na pia Tukizidiwa tuhakikishe tunavaa Kondom.

Kondom ukiizoea , mbona Pambe tu.
 
Wewe jamaaani pumbavu..acha ujinga basi...usitume pesa pia mblock kabsa.mwachee amwambie mkeo.mke akikuuliza kataa kabsa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom