mawazo

  1. Msaada wa mawazo na uzoefu kuhusu biashara ya kukopesha pesa (Microfinance)

    Ndugu wananchi, wanabodi na great thinkers wa humu JF Salaam !! Tayari mwaka 2023 umeanza kwa kasi na kama ilivyo ada tumeendelea na pilika pilika za kusaka maisha kona mbali mbali. Katika harakati za kujikwamua kiuchumi nimefikiria kufanya biashara ya kukopesha pesa (Microfinance). Kiufupi ni...
  2. Support community ya kupambana na addiction kama kujichua, pombe , bangi , kupata marafiki, betting na others NJOO UNIPE MAWAZO YAKO KAMA SIO KUJIUNG

    Katika pitapita zangu nimekutana na tovuti ya nofap hii imenipa hamasa sana ukiangalia ukanda mzima huu wa afrika mashariki hakuna tovuti hii kwa jamii yetu Nimeona niianzishe na teyari nilikua nayo nyingine so nikufuta old post na kuanza upya Ningependa nipate mtazamo wako hii ni kama forum...
  3. D

    Hawa ndio Wanaume watatu wenye msongo wa mawazo Tanzania kwa sasa

    Hawa wote chazo Cha stress zao kinafana. Haji na Mkewe Harmonise na Mkewe (mchumba) Mwaka na Mkewe #Ishini nao kwa akili.
  4. Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) na jinsi ya kukabiliana nao

    Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Mtu hupata msongo wa mawazo pale anaposhindwa au kukosa namna ya kukabiliana na jambo linalomsumbua...
  5. N

    Tuunganishe mawazo wandugu

    Habari za usiku ndugu? Natumai mu wazima wa afya. Nimekuwa nikiwaza namna nzuri ya kuwekeza pesa yangu niliyoipata hivi karibuni, 3m. Nikataka kuiweka katika fixed account lakini kila nikiwaza benki kukaa na pesa yangu kwa mwaka na zaidi halafu kunipa 9.5percent rate naona ni ndogo. Hivyo...
  6. Milioni 23 za bure kutoka ubalozi wa Marekani kwa wenye mawazo ya miradi (AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND)

    Nasikitika kwamba uzi wangu wa US ambassador's self help fund ulifutwa sikuelewa sababu ni zipi. Nimepata lawama sana juu ya uzi huu nimeurudisha tena uzi huu. Vijana wenzangu ninawapenda sina wivu na mtu, mimi ni mpenda maendeleo tuchangamkie hii fursa. US AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND...
  7. Mambo ambayo ukiyafanya utajikuta katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni

    Leo natamani kukuambia mambo ambayo angalau ukiyafanya kwa kujua au kutojua utajikuta ukiwa katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni. Sitamani sana kukutia moyo au kukususimua hisia ila kuifunua asili mbele yako. Nadiriki kusema bayana kuwa haya yote ninayoyasema...
  8. M

    Naombeni msaada wa mawazo

    Kuna mfanyakazi mwenzangu ambaye Mimi namzidi cheo Ila kapewa Kazi Fulani ya kutupangia utaratibu WA Kazi WA kila wiki. Sasa huyu mtu Ni wale watu wanaitwa kupe, Ni dizaini ya watu wenye tabia ya kupenda kujiweka mbelembele, Kwa kila kitu anataka yeye aonekane ndio anaweza,ikitokea shughuli...
  9. Utafiti: Kusikiliza muziki kunapunguza msongo wa mawazo

    Utafiti wa Chuo Kikuu cha Vienna umeonesha kuwa mziki unaweza kumrudisha mtu katika hali ya furaha au kawaida pindi anaposikiliza muziki mzuri au wenye kusisitiza furaha wakati wa msongo wa mawazo. Utafiti huo ulifanyika wakati watu wengi walipotakiwa kukaa ndani kutokana na maambukizi ya...
  10. Je, waliooana wanakula bata sana kuliko sisi tunaolala kama baiskeli imepaki? Uzoefu wenu tafadhali

    Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
  11. Uponyaji wa Msongo wa Mawazo na Upweke au Kukata Tamaa

    Natoa ushauri kwa mtu yeyote aliye katika hali ya kupitia machungu (bitterness), kutelekezwa au kukataliwa (rejection), msongo wa mawazo (stress) au mfadhaiko/upweke (depression), aanze kufanya au kufikiria lolote lililo zuri, lolote lililo safi, lolote lenye haki, lolote lenye staha, lolote...
  12. Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
  13. Msaada wa Mawazo: Hapa panafaa kujenga?

    Habari! Kuna eneo nmeoneshwa na rafiki angu bei nzuri kdogo. Sina uzoefu na ujenzi (sijawah kujenga). Baada ya kupaona kama sijaridhika napo japo bei ni nzuri . Nahofia kuna uwezekano pakawa panajaa maji. Wamenihakikishia kua hakuna kitu hicho ila najua tu ni lugha ya biashara. Picha hizo ila...
  14. Kama una ugonjwa unaokupa tabu maishani na unarithishwa fikiria kuhusu kuasili

    Nimetoka kucheki documentary ya magonjwa yanayorithika nimeona nije kuweka maoni, Magonjwa ya kuruthi: kifafa cha kurithi. sickle cell. CCHS ; tunavyopumua huwa hatufikirii kupumua, wenye ygonjwa huu inabidi wafikirie ili wapumue, wanapolala inabidi watumie mashine kuwasaidia. Kansa ya mifupa...
  15. S

    Tupaze sauti kuhusu uonevu na ukandamizaji wa mawazo huru

    Awamu ya 6 iweke wazi kuwa ni kosa la jinai kutoa maoni kinzani kuhusu mikopo inayochukuliwa na serikali toka mataifa makubwa. *Ndugai alivuliwa uspika. *Meneja TRC alipoteza kazi. *Askari alikutwa kajinyonga *Gerad Hando amepoteza kazi EFM. Kama taifa tunaelekea wapi?
  16. Mwaka Mpya: Mawazo ya viongozi wa dini yaliyonajisiwa kwa binadamu, nani mkweli?

    Happy New Year!. Hiyo ☝🏾 ndiyo salamu inayotolewa na kila mmoja kutakiana amani, furaha na shangwe kwa kuingia mwaka namba mwingine. Ilikuwa kama jambo la kawaida tu kupitia pitia misahafu na zamu ya mwezi huu unaopita ilikuwa ni Bibilia na nilibahatika kusoma kitabu cha Mwanzo eneo hili hapa...
  17. S

    Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

    Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning. Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja...
  18. Mnatumia njia gani kukabiliana na msongo wa mawazo (stress)?

    Siku ya jana, leo na sijui hiyo kesho itakwendaje. Napitia msongo mkubwa sana wa mawazo, najaribu kujiliwaza na kujifariji pamoja na kujichanganya na watu ila nikikaa kidogo na kufikiri najikuta narudi katika huzuni na mfadhaiko wa nafsi. Sio siri nakosa raha na hamu ya vitu vingi naomba mbinu...
  19. Kila nikifikiria kifo cha Alphonce Mawazo Roho inakataa kabisa kuishi Bongo, bora nikimbie

    Huwa nawaza sana kuuawa kwa huyu mwamba halafu mbaya zaidi huzuni hii hunijia wakati unapigwa wimbo wa taifa kwamba Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wote. Yaani Mungu abariki wauwaji? Hakika baadhi ya vesi za kinafiki kwenye wimbo wa taifa ziondolewe. Yote kwa yote mimi nafsi yangu...
  20. Vipi ikatokea unakutana na barua ya Zuhura Yunus kuhusu uteuzi wa Kiongozi Mkubwa wa Upinzani?

    Siasa za Tanzania zina mambo, hivi siku hizi mnajua barua za uteuzi wanakadiria tumelala ndiyo inarushwa hewani. Vipi Ukakutana na barua siku moja kwamba uteuzi wa Mheshimiwa Mbowe ameteuliwa kuwa na nafasi fulani serikalini au nje ya nchi? Si lazima Mbowe, hata Lissu Au Lema? Kwa Zitto huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…