mawaziri

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Michango ya Wabunge, maswali na majibu ya Mawaziri ubora wake uko chini kabisa

    Sielewi ni kwa sababu gani hali iko hivi, lakini ni wazi kwamba ubora wa walioko mjengoni uko chini. Watu wanashindwa hata kuunda maswali yanayostahili kuulizwa bungeni. Maswali mengi ni ya kuulizia miradi ya shule, urefu wa barabara, visima vya maji, n.k. vya kiwango cha wilaya na majimbo...
  2. JamiiForums Tanzania Ikulu Chamwino: Baada ya kurejea nchini, Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

    IKULU,Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru na Polepole sasa ni wabunge wa kuteuliwa, David Silinde na Katambi ni Mawaziri

    Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako. Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni? Kwamba, David Silinde ana mfuko wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Mwinyi aliwahi kuitisha Baraza la Mawaziri na kulivunja mbele yao

    Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa) Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?" Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? " Ramadhan Kareem!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Rais, Mawaziri wanayapuuzia au maanake sielewi sielewi!

    Nakumbuka siku Rais anawaapisha mawaziri na makatibu wakuu alitoa maagizo mengi.Baadhi ya maagizo. 1. Waalimu 6000 waajiliwe mara moja ili kufanya mbadala walioacha kazi na kustahafu. Lakini mpaka sasa hakuna kinachofanyika waziri anaruka ruka tuu hajui lipi ashike na lipi aache.Naibu wake...
  6. JamiiForums Tanzania Mtego wa Rais Samia Suluhu Hassan ni upi kwa mawaziri

    Rais alipohutubia mara ya pili na mara ya Tatu alipokuwa akiwahotubia Mawaziri na Makatibu wakuu alizungumzia habari ya Uonevu, kesi na kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua maramoja, akaongeza bango litakalo onekana DC au Mkurugenzi hawana kazi sisi hatujamuelewa vizuri hili swala la bango...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu ukweli - Mawaziri na Wabunge wa CCM wa awamu ya tano walikuwa na roho mbaya kwa watumishi wa umma!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu na ukweli Mawaziri na Wabunge wa CCM waliokuwepo awamu ya tano walikuwa wakatili!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo si Rais kama mtu, bali tatizo ni "vetting system" kuwa corrupted & compromised

    Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in less than 24hrs inatengua uteuzi huo huo... Hili lilijitokeza mara kadhaa ktk utawala wa Rais Hayati...
  10. JamiiForums Tanzania Profesa Ibrahim Lipumba: Mawaziri wapewe mkataba wa mwaka mmoja, atakayeshindwa kufanya kazi atumbuliwe

    Mwenyekiti wa Cuf na bingwa wa masuala ya uchumi duniani ameshauri kuwa Rais wa JMT samia na makamu wake Dk Mpango wawe wanawapa mkataba wa mwaka mmoja mwaziri ili anayeshindwa kazi atumbuliwe kihalali.
  11. JamiiForums Tanzania Baadaa ya Mawaziri panga linalokuja ni kwa Wakuu wa mikoa na wilaya

    Mheshimiwa Rais Samia leo amemwapisha Katibu Mkuu Kiongozi na baadhi ya Mawaziri na Manaibu wao. Hii ni kufuatia mabadiliko madogo aliyoyatangaza jana tar 31 March 2021. Baada ya kuwaapisha, Rais Samia amesikia akisema kuna uwezekano Jumanne kuna watu wataingia Chamwino kula viapo. Mnuso wangu...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

    RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Dodoma. Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Katanga amechukua nafasi ya Bashiru Ally. Mwaziri walioapishwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Ukilitazama vyema Baraza 'jipya' la Mawaziri, Mzee Kikwete 'ameshaini' ila Mwendazake ametikisiwa 'ngome' yake

    Wengi tunajua kuwa Balozi Bashiru Ally Kakurwa alikuwa kipenzi cha Mwendazake. Alianza naye kwenye ukaguzi wa mali za CCM na baadaye kumteua kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa. Na mwishoni, akamteua kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi. Jana, Balozi Bashiru ameteuliwa kuwa Mbunge. Hiyo ni njia ya...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

    Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula. Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza la Mawaziri amesema... ''Kuondoka kwa Mpango kumefanya nifanye mabadiliko kidogo kwenye Baraza la...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la sasa la Mawaziri halikidhi matarajio ya wananchi chini ya uongozi mpya wa Rais Samia

    Tupo kwenye zama mpya na kila zama na style yake. Kwa hivi sasa wananchi wana matumaini makubwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba atakuwa ni rais atakeyekidhi matarajio yao ya maendeleo lakini pia atakuwa rais atakayeondoa mapungufu makubwa yaliyoonekana katika serikali iliyopita ya rais...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Mh. Mama Samia Ukivunja baraza la mawaziri wachunguze kila mmoja

    Asalaam Aleykum ndugu zangu...! Natumaini ni siku nyingine tena tumeamka tukiwa na afya tele Asante nyingi kwake Mola muumba wa mbingu na ardhi. Siku ya leo nina ushauri mfupi kwa Rais Mama Samia atakapolivunja baraza la mawaziri basi anatakiwa amfuatilie waziri mmoja baada ya mwingine katika...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

  18. T

    JamiiForums Tanzania James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya. Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake. ===== JAMES...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, mawaziri Jaffo na Aweso wataendelea na mikwara ile ile ya kutumbua na kufokea watendaji hadi wanazimia?

    Kila kitabu na zama zake ndio maana tulio wengi tunaona ni vema Rais SSH akateua baraza lake la mawaziri watakaoendana na maono na kasi yake. Fikiria utendaji wa mawaziri Jaffo na Awesu ambao wametumbua na kukerehesha wengi , je wataendelea na mzuka ule ule? Au watabadili voco kulingana na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CCM kuitisha mkutano mkuu wa taifa wa dharura haraka iwezekanavyo kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa taifa iliyo wazi.

    Komredi Polepole amesema kamati kuu ya CCM imeelekeza mkutano mkuu wa chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki. Hivyo basi mkutano mkuu utaitishwa wakati wowote kuanzia leo. Maendeleo hayana vyama
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…