Wakuu, poleni na Lockdown ya mtandao hope watarudisha baada ya wanachokitaka kutimia.
Ninataka kuweka tangazo katika moja ya gazeti hapa nchini, hii ikiwa ni hatua ya pili katika jambo ninalolifuatilia, ni hatua ya lazima kwamba tangazo lazima liwepo kwenye gazeti then utaratibu mwingine...