Inanishangaza kabisa kuona kila kazi ina vazi lake na hutumika mahala pake. Pamoja na kazi nzuri za mavazi ikiwepo kustiri mwili, kupendeza ,kutunza joto, mavazi hayo yakivaliwa hayana uhiari na hutumika kama wenye nayo watakavyo kuyatumia.
Daudi havikwa mavazi ya Mfalme ili aweze kuwa askari...