Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara limesema kuwa, jana Desemba 30,2025 lilimfikisha Mahakamani Mathias Fabian John (25) kwa tuhuma za mauaji ya Samli Napone (42) aliyekuwa fundi ujenzi.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linapenda kuujulisha umma kuwa tarehe 30.12.2025 lilimfikisha mahakamani mtuhumiwa...