Mdau anasema yeye ni daktari aliekuwa likizo kabla ya uchaguzi. Alipokea SMS akielekezwa kurejea kazini kabla ya siku ya uchaguzi kwa ajili ya kujiandaa na wimbi kubwa la majeruhi litakalokuwepo siku hiyo.
Mdau anaendelea kusema alikuwa akitoa risasi majeruhi na mda mwingine alilazimika...
Nakusalimu Mzee,
Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo.
Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini?
Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
Umoja wa Mataifa, UN, imetoa tamko linaloweka sawa msimamo wa Umoja huo kwa yale mauaji yaliyotokea Oktoba 29.
Kwanza wanasema uchaguzi ulikuwa na walakin.
UN imetamka wazi kuwa mauaji yaliyotokea ni haramu kwa haki za kibinadamu. Na kwamba Tume iliyoundwa kuchunguza mauaji haina sifa ya kuwa...
❌️ Israel inathibitisha kuondolewa kwa Ra’ad Sa’ad, kamanda mkuu wa Hamas aliyehusika katika kupanga mashambulizi ya Oktoba 7 na kuwajibika kwa uzalishaji wa silaha na kujenga upya uwezo huko Gaza.
Mgomo huo unadhalilisha kwa kiasi kikubwa uwezo wa Hamas wa kushika silaha na kuwatisha.
Israel...
GTs,
1️⃣
Baada ya matukio ya mauaji ya vijana waliokuwa kwenye maandamano kuanzia tarehe 29 Oktoba, Rais Samia alihutubia wazee wa Dar es Salaam. Badala ya faraja na uwajibikaji, hotuba ilibeba maswali na kauli zilizoacha maswali mazito kwa mustakabali wa taifa.
2️⃣
Kauli yake ya “Mbona wao...
GTs,
Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana inakusanya pia ushahidi wa wale ambao wanaweza kushiriki kutoa ushahidi kule ICC.
Kwa akili zangu za...
Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini.
Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini.
Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
Wakuu hamjambo!!?
Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
awamu
baada
heshima
huyu
idd
idd amin
ifutwe
makali
mauaji
maumivu
maumivu makali
nchi
ndugu
rais
samia
sehemu
tabu
taifa
taifa letu
uganda
ukombozi
vizazi
Moja kwa moja.
Baada ya Oct 7 Hamas kufanya tukio baya la kijinga ambalo hata Mimi nilililani hapa Jf , serikali ya Netanyahu chini ya IDF ikafanya mashambulizi na mauaji ya kutisha ambayo waaathirika hawakuwa Hamas peke yake mpaka Raia wasiokuwa na Hatia katika Wazee , watoto nk. Na wakaenda...
Jana Des 2, 2025 saa 7:11 mchana Watanzania wote wameona na Dunia imeshuhudia mliosilimishwa/kubatizwa na kupewa jina la Wazee wa Dsm mkipiga makofi kushangilia kauli ya mama Samia aliposema nguvu iliyotumika kukabiliana na Vijana Oct 29 ilikuwa ya kutosha.
Tumeona mlivyotumia vizuri posho...
"Katika kuonesha hilo mnaloliita maridhiano, lazima kwanza kutikiri watu waliuawa na risasi za moto na nani? Swali hilo likijibiwa ndiyo hapo tutahitaji tume huru ya uchunguzi ambayo haihusiki na anayeshukiwa kwamba alihusika kuua" - Padre Charles Kitima
Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya...
Tahadhari kabla ya hatari
Ukishaonja damu mara moja, huwezi kuacha, inakua kiu ya kila siku
Hamu ya damu waliyokunywa itabaki milele, na ikifika muda wakakosa na kiu ikabana watakunya kwako au kwa watoto wako.
Chukua tahadhari kabla ya hatari
Email na website haijitegemei kwamba isifungamane na upande wowote ili sasa tume itoe taswira ya kilichotokea pasi na kuegemea upande wowote. Sasa kinachoonekana ni Dulla anamtafuta Abdalla. Maana anayetuhumiwa ni serikali so inamtafuta huyo serikali anayetuhumiwa.
Pia inamaanisha kwamba...
Viongozi wajiepushe na Kauli za Kudogodesha mauwaji waliyoyasababisha kwa kutokuwajibika kwao. Walipuuza Mazungumzo na kudhihaki kila jitihada ya Mashauriano.
Watu waliwaona na kutambua Maiti za ndugu zao kwenye picha na mitandao ya kijamii wakiwa wameuawa wana kwenda Mochwari miili hamna bado...
Sharpeville massacre - Wikipedia Sharpeville massacre - Wikipedia
Sharpeville massacre
The Sharpeville massacre occurred on 21 March 1960, when police opened fire on a crowd of people who had assembled outside the police station in the township of Sharpeville in the then Transvaal Province of...
Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!.
Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
Habari za kiintelejensia zilizovuja kutoka duru za kipolisi ni kwamba polisi wote walioshiriki kuwaua raia kati ya Oktoba 29 hadi Novemba 5 wamepandishwa vyeo mara 2. Upandishaji huu wa vyeo umeenda sambamba na idadi ya watu ambao kila mmoja aliua. Waliwaua watu wengi zaidi, wamepandishwa cheo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.