RIWAYA: MAUAJI YA KASISI
MTUNZI: richard MWAMBE
Simu: +255 766 974865
UTANGULIZI
MAUAJI YA KASISI
© Richard Richard Mwambe
Ni kizaazaa katika jiji la Nairobi, Kasisi wa kanisa katoliki anauawa katika lango kuu la kuingilia kanisani hapo mapema alfajiri. Sajini Maria na wasaidizi wake...