AMWAGIA TINDIKALI (ACID) KISHA AKAMUUA MCHEPUKO WAKE
Mume wa mtu nchini Kenya, Evans Karani (38) ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mchepuko wake kwa jina la Catherine Nyokabi (25) huko Juja, Kiambu.
Kwa mujibu wa television ya K24 na Standard Media, Mamlaka za serikali nchini humo zimesema...