mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Geita: Askari wanne wa Jeshi la Uhifadhi wakamatwa kwa tuhuma za mauaji

    Baada ya mdau kuweka uzi hapa jukwaani, akihoji ukimya wa TFS na Jeshi la Polisi juu ya mauaji yaliyofanywa na askari hao kwenye pori la uhifadhi (Kwa maelezo ya tukio hilo ingia hapa: DOKEZO - GEITA: Kuna Kijana ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Pori la Kigosi, TFS na Jeshi la...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jamaa ambaye alitunukiwa dola milioni 4 baada ya kufungwa jela miaka 24 kimakosa kwa mauaji amerudi gerezani kwa kumuua mtu mmoja kwa deni la $1,200

    Mwamba alivyochomoka tu akarudi kudeal na ngada, akamkopesha mtu ngada ya thamani $1200, akashindwa kulipa, mwamba akaamua ammalize..
  4. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasiopaza sauti zao kupinga utekaji na mauaji mkifa kwetu wananchi ni sherehe

    Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...
  5. FEBIANI BABUYA

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Karata ya Mauaji kuachiliwa Jumamosi

    NI KIPI SIASA IMETUAHIDI? KIFO, UKOMBOZI AU MAPINDUZI? KUWA SEHEMU YA HISTORIA YA UHURU WA MAPINDUZI YA KISIASA. KARATA YA MAUAJI ✅ Kwenye ulimwengu wa kibebari dunia haina ukoloni tena wa watu weupe kutawala sehemu mbali mbali za dunia watu weusi ndio ambao wanawatawala wenzao lakini...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makundi ya haki za Binadamu ya Israel yatoa ripoti kuilaani serikali yao kwa Mauaji ya Kimbari(Genocide) huko Gaza

    Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza. Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Vympel: Kikosi cha siri kinachotumiwa na Kremlin kuwaangamiza maadui wa Putin nje ya Urusi.

    Hiki ni kikosi cha siri ndani ya shirika la ujasusi la urfusi yaan FSB kinachoundwa na watu hatari zaidi zaidi duniani. naam wakuu hawa qatu ni hatari kuliko hatari yenyewe wanaua popote duniani na mda wowote. wanatumia sumu bunduki karate judo yaani kila njia ili tu kazi waliopewa ikamilike na...
  8. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Mauaji: Je, Tunaongozwa na Waliokosa Amani ya Nafsi?

    Katika nyakati za giza la kiutawala, ambapo siasa imegeuka kuwa uwanja wa majeraha ya nafsi na miili ya raia, tunalazimika kuuliza kwa sauti ya juu: Ni kwa kiasi gani utu wetu unadhalilishwa kwa kisingizio cha uongozi? Utekaji wa watu wasio na hatia, kuuawa kwa siri, na kutoweka kwa sauti za...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilidhani haya Mauaji ya kutumia Pikipiki na Muuaji kujificha Uso yalishaisha Kitambo tangia alipouwawa Yule Mtu wao Uwanja wa Ndege miaka iliyopita!

    Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kesho hakikisha unaweka Bundle , mtajua mambo mengi kuhusu Super black kunyimwa karatasi , issue ya Mzee wa NRNE , na mauaji ya jamaa mweupe wa Tanga

    Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja . Taifa linaenda kupona Timu zipo tatu -hana deni (Consumers) -NREN -Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote . Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
  11. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Unajua stori ya mtu ambaye alipotea tu ghafla na hajulikani kama yuko hai au amekufa?

    Nimemaliza kuangalia documentary ya baba na mkewe waliofanya mauaji ya watu kumi na mbili na kuwafukia nyumbani kwao na hawakujulikana wala kukamatwa kwa zaidi ya miaka 27. Imenifanya nikawaza hivi watu wangapi wameuawa kikatili na wakazikwa bila ndugu au jamaa zao kujua? Unamfahamu mtu yoyote...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Enock yanadhihirisha namna mfumo ulivyo na shida

    Ukatili, impunity ya serikali/uongozi wa ccm TOKA JUU MPAKA CHINI inaanza ku permiate mpaka kwa watendaji wa chini huko vijijini. mauaji ya enock Soma DOKEZO - Kijana Enock Thomas Mhangwaock adaiwa kuuawa kikatili Msituni kwa kipigo kutoka kwa Watendaji wa vijiji vya Uyovu na Lyobahika
  13. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Kwanini matukio ya uhalifu yanaogeza nchi za Afrika Mashariki?

    Sasa mbona MAUAJI yanazidi sana NCHINI na EAST AFRICA KWA UJUMLA, Hawa majambazi wanazipata wapi ?hizi silaha, ? Wanazikodi kutoka kwa mapolisi/wanajeshi walarushwa ? Hebu shusha maoni yako .....
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Kenya (ODPP) imeidhinisha mashtaka ya Mauaji ya mwanablogu Ojwang dhidi ya watuhumiwa 6

    Afisa ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma nchini Kenya (ODPP) imeidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya watu 6 wakiwemo maafisa wa polisi 3 wakiongozwa na mkuu wa kituo cha polisi cha Central jijini Nairobi Samson Talaam kuhusiana na mauaji ya mwalimu Albert Ojwang kwenye seli za polisi Hatimaye...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania BAKWATA toeni tamko kulaani mauaji Iran

    Tunawasihi Baraza Kuu BAKWATA litoe tamko yanayoendelea Iran na nn kifanyike baada ndugu zetu wanauawa kama kuku.
  16. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Utekaji, Mauaji na Hofu ya Kunyamaza: Taifa Linaangamia Kwa Saikolojia ya Uoga wa Kimfumo

    Je, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata kupumua kwa uhuru? Taifa ambalo linahitaji kibali hata kwa fikra huru? This is the psychological...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Inspekta Jenerali Eliud Lagat anatoa maelezo kwa IPOA kuhusu mauaji ya Albert Ojwang

    Naibu Inspekta Jenerali aliyeandamwa na tuhuma, Eliud Lagat, ametoa maelezo kwa Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendaji wa Polisi (IPOA) kuhusiana na kifo cha mwalimu Albert Ojwang’. Awali, Lagat aliwasilisha malalamiko dhidi ya Ojwang’, akimtuhumu kwa kusambaza taarifa za uongo. Mwalimu huyo...
  18. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Ni nini faida ya kushabikia mauaji ya Waarabu yanayofanywa na Israeli ?

    Habarini za Wakati Huu Ndugu wanajamvi. Nimekua nikifuatilia vita ambavyo vimekua vikiendelea toka nikiwa mdg huko nikiwa sifahamu lolote hadi nimekua mtu mzima nafuatilia kwa ukaribu sana. Mauaji yanayofanyika huko yanaumiza moyo na niwazi kwamba Hivi vita vitadumu maisha yote hata mwisho...
  19. 2070

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya 🇰🇪 Mna Haribu Nchi yenu kwa mikono yenu wenyewe, Vurugu na Mauaji ya Wenyewe kwa Wenyewe sio Suluhu ya Matatizo yenu

    Kwa kinachoendelea hivi sasa na vijana kwa ubishi mkashindwa kumsikiliza Gachagua akiwaonya juu ya mauji kutokea katika hizi vurugu Wakina Martha Karua mpo kimya, waokoeni Hawa vijana dhidi ya kadhia hii inayoendelea. Vurugu sio suluhu ya mnachokitafuta, bado mna nafasi ya kutatua matatizo...
  20. U

    JamiiForums Tanzania IRGC inasema Israel inatumia teknolojia ya kufuatilia simu za mkononi kutekeleza mauaji ndani ya Iran, ikiwa ni pamoja na wanasayansi wa nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote. Shirika la Habari la Fars linaloshirikiana na IRGC liliripoti Jumatatu. "Israel inatumia ufuatiliaji wa simu kuwaua watu nchini Iran. Hapo awali ilimuua Ismail Haniyeh kwa njia hiyo hiyo huko Tehran," chombo hicho kilisema. Fars aliongeza kuwa hata kuzima simu za rununu...
Back
Top Bottom