mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mauaji Iliyofichwa kwa Lengo la Watu wachache

    Historia ya Mauaji Iliyofichwa kwa Lengo la Kutawala Afrika Upya Na Maleko Goodluck J Wakati dunia inapoikumbuka Rwanda kama alama ya mauaji ya kimbari, kuna upande wa hadithi ambao haujawahi kuruhusiwa kusikika wazi. Simulizi rasmi kwamba Wahutu walipanga na kutekeleza mauaji dhidi ya...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kibao chaanza kugeuka Isreal Ubelgiji waandamana kupinga mauaji ya kimbari ya Gaza

    Taratibu, dunia inaanza kuamka na kuona ukweli. Maandamano ya maelfu ya watu yamefanyika Ubelgiji kulaani vita ya kimbari ya Gaza huku ukiitaka serikali kubadili msimamo wake wa ukimya na kuunga. mkono jinai hii. Si ajabu nchi nyingine zenye watu wenye akili na utu kubadilika na kuanza kulaani...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania AI ya Elon(Grok) yadai kulazimishwa na Elon kusema kuna mauaji ya kimbari ya makaburu Africa Kusini

    Grok kwa siku kadhaa zilizopita ilikuwa ikiambatanisha sentensi zinazungumzia mauaji ya kimbari ya watu weupe katika kila jibu lake hata katika mambo yasiyohusiana na jambo hilo!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa mauaji aachiwa huru baada ya kukaa jela miaka 38 kwa mauaji ya Diane Sindall 21 baada ya ushahidi wa DNA kuthibitisha kuwa hakuhusika

    Sio wote walio magereza wana hatia. Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986. Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail Hearing...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya mamia ya raia yaliyofanywa na jeshi yaripotiwa Burkina Faso kwa Ibrahim Traore

    Army aircraft were reportedly hovering above as the killings took place, showing command control of the operation. At least 130 civilians belonging to the Fulani ethnic group were killed by Burkina Faso’s army and allied militias near the western town of Solenzo in March, Human Rights Watch...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Matukio mawili mauaji ya Askari wa Israel huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: "Matukio mawili ya usalama" huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam. Al-Qassam ililipua jengo lililokuwa limenaswa na askari wa Israel mjini Rafah na kuwaacha wanajeshi sita wakiwa wamekwama chini ya vifusi. Moto mkali unaendelea huku jeshi likihangaika kuwaondoa maiti na...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeshindwa kutimiza majukunu yake ndiyo maana inawatisha wananchi kwa mateso na Mauaji

    GT Kwa kiufupi sana tunaweza kusema CCM imesha fail watu hawana matumaini kabisa na hiki chama. Pamoja na utitiri wa machawa kama comedians, Wanamuziki na vyombo vya habari lakini bado hawaelewi kabisa. Pamoja na ukatili wa Magufuli watu walikaa kimya maana maendeleo yalikuwa yanaonekana...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Haki: Mauaji Mwembechai 1998 na Pemba 2001 ingekuwa leo!

    Najaribu kuwaza kwa sauti, kwa jinsi joto lilovyopanda Sasa hivi na viongozi wa dini bila aibu Wala uwoga wanavyohubiri siasa katika madhabahi! Yangetokea Yale leo ingekuwaje? Wajua Mauaji ya Waislamu kwa mamia Magomeni yalichochewa na Padri Camelius Lwambano wa Mburahati aliyewaita polisi...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya amnesty international: Israel inafanya mauaji kwa wapalestina

    Wanaukumbi. NNA - Katibu Mkuu wa Amnesty International Agnes Callamard alithibitisha Jumanne kwamba vikosi vya Israel vinafanya mauaji ya halaiki kwenye televisheni ya moja kwa moja katika Ukanda wa Gaza. Callamar aliongeza katika ripoti yake: "Amnesty International imeandika mauaji ya halaiki...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa ONLY GOD CAN JUDGE ME, Tupac alisema "Na wanasema ni Mzungu ninayepaswa kumuogopa, Lakini ni wa aina kama yangu ndio wanaofanya mauaji hapa"

    "And they say it's the White man I should fear, But it's my own kind doin' all the killin' here" Katika wimbo huu anaongelea experience yake alivyopigwa risasi wakati alipoenda kuwatembelea bad boys pale quad studios. Ni statement fupi ila iliojaa ujumbe mkuu kulingana na hivi vituko waafrika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Vladimir Putin akishiriki Ibadan ya Pasaka, huenda akaacha mauaji yake na kumrudia Yehova

    Huyu jamaa anampenda Mungu lkn na Dunia anaipenda pia
  13. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini Makanisa yalichangia mauaji ya kimbari Rwanda

    Kauli hizo ..uchochezi huo mnaowasifia walichangia mauji ya kimbari Rwanda hivyo kama nchi tuwe makini na uchochezi toka viongozi wa dini!....
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwipopo: Kanisa Katoliki liliongoza mauaji ya kimbari Rwanda, Burundi na Congo, alionya kupandikiza roho ya chuki za kidini Tanzania

    Sheikh maarufu Tanzania ndugu Mwipopo ametoa onyo kwa kanisa katoliki kwa mwenendo wake wa kupandikiza chuki za kidini, hasa inapotokea Rais ni muislam. Sheikh huyo ametoa mfano wa mauaji ya kimbari Rwanda ambapo kanisa hilo lilikuwa linawakusanya watu makanisani kwa kisingizio cha kuwasaidia...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mungu tunayemwabudu ni huyu aliyeamuru kufanyika mauaji ya kimbari?

    Mauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha kidini. Miaka elfu kadhaa iliyopita huko Mashariki ya kati kupitia mwongozo kutoka kwa Mungu mwenyewe...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi 11 walioshiriki mauaji ya Oct 07,2023 waangamizwa Katika Operation zinazoendelea huko Gaza.

    IDF na ISA wamewaangamiza magaidi 11 wa Hamas na Islamic Jihad waliojipenyeza Israel na kushiriki katika mauaji ya Oct 07,2023, wakiwemo wale waliohusika moja kwa moja katika mauaji na utekaji nyara wa raia na wanajeshi wa Israel. Tisa waliuawa katika operesheni za hivi majuzi huko Gaza...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Picha ya Chris Benoit baada ya kufanya mauaji ya Mke na mtoto wake

    Aliyekuwa nyota wa WWE Marehemu Chris Benoit anaonekana akipiga picha kwa ajili ya shabiki katika ofisi ya Dk Phil Astin mnamo Juni 22, 2007, kwa kuitazama watu walidhani ni vile Benoit ni mcheshi na anapenda sana mashabiki zake. Ila ajabu ni kuwa baadaye ilijulikana wakati anapiga picha hii...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kutisha kwa wakristo na alawite wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Assad huko Syria

    Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye umri wa miaka 25 amuua mama yake mzazi kwa kumpiga mwichi kichwani

    Wakuu, hivi mtu anatoa wapi ujasiri wa kumpiga kikatili mzazi wake wa kumzaa hadi kumuua kisa imani za kishirikina? ==== Jeshi la polisi mkoani Mtwara linamshikilia Hamis Mohamed Bakari mwenye umri wa 25 ambaye ni mkulima mkazi wa kijiji cha Masiku kata ya Malingula wilaya ya Masasi mkoani hapa...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Njombe limepiga marufuku wananchi kuandamana kupinga mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limepiga marufuku wananchi kuandamana baada ya uwepo wa taarifa ya kuhamasisha maandamano inayotajwa kutolewa na Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo wakati wa mazishi ya Atugafile Mtulo (90) aliyepoteza maisha baada ya kupigwa na...
Back
Top Bottom