mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini watuhumiwa wa mauaji hupelekwa kwanza kwenye mahakama zisizo na uwezo wa kusikiliza kesi zao?

    Kwa nini watuhumiwa wa makosa makubwa ya mauaji, uhaini, utakatishaji fedha na mengineyo huwa wanapelekwa kwenye mahakama za mwanzo ambazo haziwezi kusikiliza kesi zao halafu muda mrefu ukishapita ndio wanahamishwa mahakama za juu zenye uwezo wa kusikiliza hizo kesi ?? Kuna sababu zozote muhimu...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la matukio ya mauaji linasababishwa na kutokutekelezwa kwa adhabu ya kifo kwa miaka mingi

    Kila kukicha matukio ya mauaji haswa mauaji yatokanayo na migogoro/ wivu wa kimapenzi yameongezeka sana. Wahanga wakuu katika mauaji hayo ni wanawake. Inaonekana pamoja na sababu zingine lakini sababu kuu ya kushamiri kwa matukio ya mauaji inasababishwa na kutokutelelezwa kwa adhabu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu: Mauaji ya eShowe ni kwasababu ya Uhaba wa Wafanyakazi Afrika Kusini

    Hivi mmeiona hii video ya tukio la mauaji yaliyotokea Jumamosi iliyopita kwenye duka la Boxer huko eShowe, KwaZulu-Natal? Inatisha sana! Jamaa mmoja (33) aliyekuwa mfanyakazi wa duka hilo aliwaua kwa kuwamiminia risasi mameneja watatu wa kike ofisini kwao baada ya kufukuzwa kazi kwenye kikao cha...
  4. JamiiForums Tanzania Kweka apandishwa kizimbani, asomewa shitaka la mauaji

    Mfanyabiashara na mkazi wa Bunju A, jijini Dar es Salaam, Laurence Kweka (48), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe, Jane Maloo Urassa, kwa kumpiga risasi. Soma pia: Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam Kweka...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kufuatia mauaji ya Oktoba 29, 2025, unamkumbukaje Nyerere?

    Kichwa cha habari kitoshe kuwasilisha ujumbe. Leo, ni kumbukizi la 27 la Mwalimu Julius Nyerere. Tukiwakumbuka mashujaa wetu waliouawa na tawala zandiki mwaka jana mwezi kama huu, tukiwa tunamkumbuka Nyerere nao tusiwasahau. Je, wewe umewakumbukaje katika kumbukizi hili la Mwalimu? Hanikiza...
  6. JamiiForums Tanzania Baba Askofi Azungumza kwa Hasira , Mauaji yanayondelea. Mungu amlinde...

    Mungu anasema haki huinua taifa yaani taifa lolote ili liende linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa rais wa nchi huyo ndio right marker wa haki. Lazima asimame kwa haki aamue kwa haki awe mwanamke awe mwanaume. Akisema haki kwanza taifa linakuwa na amani."Sasa ili watu...
  7. JamiiForums Tanzania Elnino ni Mbinu ya Serikali Kuhamisha Fikra za Watanzania Mauaji 2025 , Baada ya Nuhu, Mungu aliweka Agano la Kutoiangamiza Dunia kwa Maji Mengi

    Hamna Mvua kubwa yoyote itakayokuja kua Tishio Wala kuua Binadamu kwa Maelfu !!. Elnino ni Mbinu ya Wahuni kutuhamisha, na kumsogezea Samia Muda !!. Puuzieni Taarifa yoyote ya Elnino KATIBA MPYA FREE TUNDU LISSU TUNAMTAKA NCHIMBI, POLEPOLE NA WOTE WALOTEKWA! UWAJIBIKAJI MAUAJI OKT 29 FIDIA...
  8. JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuwa mlinzi wa mgahawa wa Shishi Food ameuawa usiku wa jana

    Kutoka kwenye ukurasa wa Twaha Mwaipaya ametoa madai ya kuwa kuna Mauaji ya mlinzi wa Mgahawa wa Shishi Food yamefanyika Jana usiku ila Mauaji hayo yanafanywa Siri hawataki watu wajue, msifiche Mauaji wekeni hadharani. ========== Hii ni chats ambazo alikuwa anawasiliana na mtoa taarifa wake...
  9. JamiiForums Tanzania Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oct 07,2023.

    Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7. ● Wanajeshi 970 wameanguka katika hali ya uendeshaji vitani tangu Oktoba 7, 2023. ● 70% ya wanajeshi waliojeruhiwa vitani wamerejea kazini. ● Jeshi la IDF limeshambulia takriban malengo 100,000 katika...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara. Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi. Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na...
  11. JamiiForums Tanzania PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

    Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia. Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka mitatu baada ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 nchini Israel.

    Mkuu wa Majeshi ya Israel, LTG Eyal Zamir, kuhusu kuadhimisha miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7: Vikosi na makamanda wa IDF, katika huduma ya lazima na katika akiba, wafanyakazi wa kiraia wa IDF. Mnamo Oktoba 7, siku ya Simchat Torah 5784, mipaka yetu ilivunjwa katika shambulio la umwagaji damu...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Soweto 16th June 1976, Mauaji miji Mingi Tanzania 29th Oktoba 2025.

    Nitazungumzia tukio hili la Oktoba 29 mara kwa mara [Amnesty International] kwa sababu historia isiposomwa kwa weledi, ina tabia ya kujirudia katika sura mbaya zaidi. Kulinyamazia tukio hili ni kuzika sauti za wahanga na kuruhusu dhuluma kuwa utamaduni wa kawaida. Tunapolinganisha na Mauaji ya...
  15. JamiiForums Tanzania Uwezi amini, Bakile siku ya 29/10/2025,alitoka ukonga mpaka ubungo aliona tu ofisi ya mtendaji ikiingia,aliona watu wamelala barabarani akajua wamepum

    Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine. Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
  16. JamiiForums Tanzania Tusikubali Kamwe Mauaji ya Oktoba 29 2025 ,yapite bila kutuletea Matokeo !! Itakua ni Usaliti kwa Damu za Wazalendo zilizomwagwa wakitafuta Demokrasia

    Ndugu zangu Watanganyika , Nina wasihi sana kwa Unyenyekevu Mkubwa . Yale Mauaji yà Oktoba 29, HATUPASWI kuyachukulia kama Ajali. Kwa kufanya hivo ni sawa na kusema hatukua na MALENGO YOYOTE , kwamba tuliandamana kwa kufata Mkumbo. Vijana tuliandamana kwa sababu tunataka KATIBA Mpya...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaani yabatilisha hukumu ya kifo mauaji ya 'Super Sami', Kibatala asema haki imetendeka

    Mahakama ya Rufani nchini Tanzania imewaachia huru waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara mashuhuri wa Mwanza, Samwel Mwang’onda, maarufu kama 'Super Sami'. Desemba 2024, jopo la majaji wa Mahakama ya Rufani lilitengua hukumu hiyo ya awali ya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ni hatua gani zinapaswa kutumika kurejesha usalama Wilayani Tunduru ambapo Wafugaji na Wakulima wanapingana?

    Ndugu zangu, Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  20. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Oktoba 29 yaliua Waislamu pia, Vijana wa Kiislam wameendelea kutekwa na Kuuliwa, Vijana wa Kiislam, bado mnawaamini BAKWATA??.

    Yaan sijawahi sikia BAKWATA wanatoa Waraka wowote ,angalau hata Pole kwa walofiwa Oktoba 29. Bado tu mnawaamini Hawa Bakwata ???. Waloshindwa kulinda Haki za Uhai za Waumini wao??. BAKWATA ambao wanalípwa mishahara na Serikali, Wanapewa Ulinzi na Serikali, Bima, ELIMU , Majumba ,Magari na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…