Kwahiyo mmegoma kumpa maua yake Mwamnyeto?

Kwahiyo mmegoma kumpa maua yake Mwamnyeto?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,907
Reaction score
28,462
Wakuu
Mnyonge mnyongeni haki yake apatiwe

Captain mnasubiri akosee mumseme sana ila Pedro katokea kumuelewa sana .
Licha ya kuwa na kiwango bora hivi karibuni leo Bakari alikuwa bora pia ngoja tumchambue na tuone nini amefanya kwenye game ya leo

1. Captain beka leo yeye ndio mchezaji aliepiga pasi kwa usahihi kwenye mechi mzima hapa nazungumzia wachachezaji wa Yanga na Ahly yeye ndio mtu pekee aliepiga pasi nyingi kwa usahihi accurate pass amepiga 59 ambazo no Sawa na 87% ya pasi zote alizo piga leo

2.Yeye ndio mchezo aliogusa mipira mingi uwanjani akifanya hivyo mara 74

Hiyo inaonesha wazi ni namna gani leo alikiwa mtu muhimu sana kwa Yanga haswa kwenye defense na kwenye kupiga long ball taratibu Bakari anamfanya kocha kuwa na wakati mgumu na kuamini kwenye back 3 huyu captain anaitaka namba na sio kubeba tu makombe hivi ndivyo watu ufanya ili kuaminisha watu wewe ni nani

Perfect 👌 el capitano Bakari Nondo
 
Yule Nondo huwa naona Uto wenzie ndio wanamgusanishia waya.

Eti alikuwa akicheza UTO anatetemeka halafu Taifa stars anaubonda kweli hadi unashangaa.

Nadhani kaamua kuamka sasa.Lakini pia msiba wa mkewe na mtoto nao nahisi ulimtikisa na wajinga wakapitia hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom