matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MATUNDA YA PHILBERT KABAGO

    PHILBERT KABAGO: MCHANGO WAKE ULIOACHA ALAMA ISIYOFUTIKA KWENYE MUZIKI Katika tasnia ya burudani, kuna watu ambao mafanikio yao hayapimwi tu kwa sauti zao kwenye maikrofoni, bali kwa alama wanazoziacha kwenye maisha ya wengine. Philbert Kabago ni mmoja wa mhimili hao muhimu—mtu aliyefanya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KUNA MADHARA YOYOTE ENDAPO MTU ATAAMUA KUACHANA KABISA NA SUKARI YA VIWANDANI PIA KUACHANA NA MATUNDA YENYE SUKARI

    Naomba kufahamishwa kwa upole sana.ahsante
  3. JamiiForums Tanzania Harakati za dudu baya zimeanza kuzaa matunda

    Chipukizi wa kiume huko mashuleni na wao wamekubali harakati..Wanalinda migongo Yao kwa wivu mkubwa. Mafanikio haya ya dudu baya yamfikie BICHWA KOMWE - pamoja na mshirika wake cocastic
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania! Tutapanda mti gani leo, ambao watoto wetu watakula matunda yake kesho?

    Maono ya Waraka wa masaa 120 ya mwezi September 2026 kutoka kitabu cha wenye mamlaka (Waamuzi). Tazama, siku zitakuja ambapo watu wa nchi watakusanyika katika majira ya mashaka, na nyoyo zao zitajawa na maswali kwa sababu hawatajua yaliyo mbele yao. Nao watasema, “Ni nani atakayetutangulia? Ni...
  5. JamiiForums Tanzania Haya ndio matunda ya kuikataa jihad na kukataa kuwa wahanga wa syndicate ya Moslem Brotherhood. Hongera sana Dubai (UAE)

    Hii ni residential , 🔥🔥
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko gani wa matunda unapenda juisi yake?

    Zipo juisi za mchanganiko wa matunda wa aina nyingi ila kwa upande wangu napenda sana mchanganyiko wa Parachichi, Embe, pasheni na iriki na nikikosa embe natmia nanasi, huu naweza kunywa hata kila siku mwaka mzima na nisiuchoke. Wewe unapenda juisi ya tunda gani?
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, ni kweli kuwa makampuni ya Bill gates yanaingiza matunda yasiyokuwa na mbegu Afrika?

    Kumekuwa na madai kwamba Bill Gates na baadhi ya mabilionea pamoja na wanasayansi wanaingiza kwa makusudi katika mfumo wa chakula matunda yasiyo na mbegu au yasiyoweza kuzaliana, kwa lengo la kuwafanya watu wategemee mbegu zinazodhibitiwa na makampuni yao. Katika chapisho hilo, mdai anasema...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajivunia matunda ya ushirikiano wake kwenye vyombo vya habari

    Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
  9. JamiiForums Tanzania Unamwamini vipi huyo unaye mtuma akuletee vyakula vilivyopikwa, matunda na vinywaji?

    Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile...
  10. JamiiForums Tanzania Huwezi kula pesa, lakini unaweza kula matunda ya mti uliouweka kama dhamana

    "The Illusion of Wealth" — a 10-minute Swahili deep dive. We're living on a credit card with no limit: money you can't eat, forests we're liquidating for it. Three actions — change the metric, make trees collateral, buy village title. "You can't eat money, but you can eat the fruit of a tree...
  11. JamiiForums Tanzania Tutakuwa Nane nane Arusha na aina tofauti tofauti za spicies za matunda, ya Kibiashara ama kwa matumizi ya Nyumbani

    Tunataraji kuwepo Nane nane Arusha na Spicies tofauti tofauti za miche ya matunda uanayoweza lima kibiashara ama kwa matumizi yako ya nyumbani yaani Home use. Kama uko kanda hii ya kaskazini jongea hizo siku zikifika na jiopatie mbegu ama hata kushauriana tu pia kuna matunda ya kutest...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuki wanazotengeneza Mgambo wa Ilala ipo siku watayaona matunda yake

    Mimi ni dereva Bajaj kupitia Taksi Mtandao, juzi nilimfuata mteja maeneo ya Msimbazi A kumpeleka Fire, pale Sheli (kituo cha mafuta). Nalipofika nilipark pembeni nikawasha double hazard, wakaja Mgambo wa Jiji wakaniambia ni wrong parking tukabishana pale, wakawa wanataka twende Lumumba au...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bilioni 10 Zafungwa Kwenye Kiwanda cha Chaki Maswa, Wananchi Wasubiri Matunda Yasiyowadia

    Zaidi ya Sh bilioni 10 zimetumika kujenga Kiwanda cha Chaki kinachomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu. Mradi huo uliotarajiwa kuwa miongoni mwa miradi ya kimkakati ya kuongeza mapato ya halmashauri, kuzalisha ajira na kuchochea uchumi wa eneo hilo, bado haujaanza...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
  15. JamiiForums Tanzania Kuivisha matunda kwa haraka

    Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa wakati mmoja bila kuharibika. Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber...
  16. JamiiForums Tanzania Chumba cha kuivishia matunda (Ripening chamber)

    Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa wakati mmoja bila kuharibika. Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber...
  17. JamiiForums Tanzania Mbele ya Waziri Mkuu, Mzazi afikisha malalamiko ya mwanae kutekwa na Waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Ni huzuni kwa kweli, mwanamke mmoja huko Itigi - Singida ameeleza kwa uchungu mtoto wake alivyokamatwa na polisi wakamfunga pingu kisha kutokomea nae, mzazi wa mtoto huyo alifatilia kituo cha polisi bila mafanikio ya kumuona mwanae, ni siku 40 zimepita hajui mtoto wake alipo. Ameyaeleza hayo...
  18. JamiiForums Tanzania Gentamycine ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe

    GENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni huyu mkuu jamiiforum aisee jamaa ana hoja na analeta mada kuntu Sana Namkubali sana GENTAMYCINE...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha minazi [dwarf] nchini Kenya. Mnazi 1 matunda 200+

    ..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall. ..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa. ..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu mbadala ya minazi yetu ya asili ili kuongeza tija ktk kilimo cha minazi. ..fuatilia hapa chini...
  20. JamiiForums Tanzania Utawala wa JPM umeleta matunda haya kwa kufungia maduka ya kubadilisha pesa

    Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki. Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…