matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mapato na matumizi

    Hivi karibuni nilipata fursa ya kukaa karibu na operators, mafundi ,drillers na madereva wanaofanya kazi kwenye kampuni za uchimbaji wa madini hapa nchini. Nilishangazwa kubaini kwamba wengi wao mishahara na marupurupu yao ni kati ya 3M mpaka 10M kila mwezi . Lakini maendeleo waliyonayo...
  2. Nampongeza mzazi aliyemfuata mtoto wake shule na HELIKOPTA. Ni matumizi sahihi ya Utajiri

    Nimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa. Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa . Huwezi KUWA na pesa mingi alafu uzao wako unaishi kifukara KWA hofu kwamba watabweteka kimaisha...
  3. "Je, unazifahamu aina za cement na matumizi yake?"

    "Je, unazifahamu aina za cement na matumizi yake?" "Aina 3 za cement na matumizi yake." "Je, unatumia cement sahihi kwa kazi yako ya ujenzi? Soma hapa ujue tofauti za aina za cement na matumizi sahihi kulingana na mahitaji ya mradi wako."
  4. Kubana matumizi ya serikali ni kwa ajili ya kuboresha maisha ya wananchi

    China hivi karibuni imetangaza kurekebisha Kanuni za Idara za Chama cha Komunisti cha China na Serikali za Kubana Matumizi na Kupinga Ufujaji, na kufafanua kuwa idara za Chama na serikali zinapaswa kubana matumizi, ili kuhakikisha rasilimali nyingi zaidi za umma zinatumiwa kwa ajili ya kuboresha...
  5. Matumizi ya pombe kupungua kwenye nchi ni habari nzuri au mbaya?

  6. S

    Unahitaji kupunguza matumizi ya kifurushi Cha Intaneti kwenye PC kompyuta Yako?

    Unahitaji kupunguza matumizi ya kifurushi Cha Intaneti kwenye PC kompyuta Yako? Jipatie Data saver programu. Utaokoa matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti Eneo: Dar es salaam, Mbezi Gharama: 10,000 Tshs Mawasiliano: 0756704145
  7. Matumizi Mabaya ya Madaraka: Jinsi Watoto wa Saddam Hussein Walivyotawala kwa Hofu na Kuongoza Magenge ya Kikatili

    Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya ukandamizaji, unyanyasaji, na uongozi wa magenge ya kijeshi na kijasusi ndani ya Iraq wakati wa utawala wa...
  8. Qattar inasema inataka iweke wazi kwamba Marekani ndiyo iliyoiomba iwapatie ndege moja kwa matumizi ya rais

    Tangu raisi Trump atembelee nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati na kupewa zawadi kede kede minongono imekuwa mingi hasa juu ya Qattar kuipatia Marekani ndege moja ya fakhari sana kwa matumizi yake ya kumsaririsha raisi huku na huko ndani na nje ya nchi. Hatimae Qattar imesema kupitia...
  9. Z

    Kampeni ya no reform no elections ,ni matumizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa

    Labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania. Nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa. Poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea...
  10. M

    Taratibu Jinsi ya kubadili matumizi card ya Gari toka Private to Busness

    Habari wadau, naomba kupata kujua taratibu za kufuata jinsi ya kubadili matumizi ya Gari Toma private kwenda busness, je Una an za na utaratibu upi kwanza, na je Gharama huwa kiasi gani. Shukrani.
  11. W

    iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  12. Umefika Wakati SHIKAMOO na MARAHABA Ziondolewe Kwenye Matumizi Yetu ya Kiswahili Maana Zinadumisha UTUMWA...

    Katika jamii nyingi zinazozungumza Kiswahili, maneno "shikamoo" na "marahaba" yamekuwa sehemu ya mawasiliano ya kila siku, hasa kati ya vijana na wazee. Lakini ni muhimu tutafakari upya historia na maana halisi ya maneno haya. Je, ni heshima au ni mabaki ya utamaduni wa utumwa? Je, matumizi yake...
  13. Kuna waswahili wana matumizi potofu na hovyo sana ya neno "dhidi"

    Huwa nikawasikia wanasiasa wakizungumza kwa ujasiri sana serikali inapambana "dhidi" ya maendeleo ya raia wake, wananchi wana imani "dhidi" ya vyombo vya dola, raia wana ushirikiano mzuri "dhidi" ya serikali n.k Juzi nimemsikia gavana wa Arusha anasema wananchi wana imani "dhidi" ya jeshi lao...
  14. UBIATANZANIA: Mliosema Bandari imeuzwa mmesikia hao walionunua wamepunguza matumizi kutoka bilioni 975 hadi bilioni 685, Tumwombe radhi Rais Samia

    Ndg zangu Watanzania, Hivi mmesikia maajabu ya Ubia (PPP) yanayotokea kule Bandarini?!! Mmesikia leo kutoa mzigo Bandarini ni siku tatu tu wala sio siku kumi (10) tena?!! Lakini sihivyo tu kwani hamjasikia leo meli hazichukui tena siku 46 ili kutia nanga Bandarini badala yake zinachukua...
  15. REA YAENDELEA NA UHAMASISHAJI MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME, NA UUNGANISHAJI WATEJA MKOA WA MOROGORO

    📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme 📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme 📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board) Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu...
  16. S

    Za ndani kabisa zinasema rais wa vyura ndiye kasinichi matumizi ya lupaso ili kulipiza sakata la "hatuchezi"

    SI mnajua kuwa yeye ndiye bosi wa vikundi vyote vya wanaosakata gozi Afrika? Ametumia kofia yake hiyo kumhujumu bosi wa nyika ili asitumie uwanja wa maangamizi wa lupaso. Kafanya hivi kwa kisasi baada ya kupoteza ktk sakatala hatuchezi.
  17. A

    KERO Yas/Tigo wanapika data za vifurushi na kuibia wateja? Taarifa za matumizi ya kifurushi zimekuwa pungufu ya bando huku MB zimeisha!

    Wakuu, najua hii ni ndefu kidogo lakini tafadhali soma mpaka mwisho ili tukomeshe jinamizi hili, ******* Wakuu mimi ni mtumiaji wa huduma ya Postpaid kwenye mtandao wa Yas/Tigo, ambako ninanunua kifurushi cha Combo cha elf 60,000/-, kwenye kifurushi hiki napata data GB 55, Dakika 3000 mitandao...
  18. Shule binafsi tutumie walimu maroboti ili kubana matumizi

    Ni Muda Mwafaka wa Shule Zetu za Binafsi na Vyuo Binafsi Kuanza Kutumia Maroboti Kufundisha Ili Kubana Matumizi Katika ulimwengu wa sasa unaoendelea kwa kasi kiteknolojia, matumizi ya maroboti na akili bandia (AI) katika sekta mbalimbali yamekuwa yakiongezeka kwa kasi. Moja ya maeneo ambayo...
  19. Kuruhusu wachina kuuza bidhaa kutoka China kunaweza kusababisha matumizi ya dolla kuongezeka (Import itakuwa kubwa)

    Kuruhusu Wachina au makampuni ya kigeni kuuza bidhaa kutoka nchini mwao moja kwa moja katika soko la Tanzania, kunaweza kuwa na athari kadhaa kiuchumi mojawapo ikiwa ni kuongezeka kwa matumizi ya dola za Kimarekani (USD). Hii hutokana na mambo haya: 1. Kuongezeka kwa uagizaji (imports); Bidhaa...
  20. Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…