matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kikao cha MaRais wote, kujimwambafai, Mpango sio matumizi na uungwana wa Kinana!

    Juzi juzi wote tuliona Marais wote (yaani na wale wataafu) wakiwa Dodoma, wakapewa ndege tausi na wakashuhudia uzinduzi wa Jumba Jeupe la Dodoma. Katika kikao hicho uwezekano mkubwa kuna mambo muhimu sana yalijadiliwa. La kwanza kabisa hata kabla ya kujua yale ya undani zaidi tuliona jinsi...
  2. K

    Matumizi ya mbolea ya asili

    Habari wadau, Napenda nifahamu kuhusu matumizi ya kinyesi cha popo kama mbolea kwenye kilmo hasa cha mpunga. Je, naweza kuitumia kama aina gani ya mbolea; ya kupandia au kukuzia? Je, nitumie kiasi gani kwa ekari?
  3. Hivi nyie kina Dada/ Mama mnajua mna matumizi mabaya sana ya Pesa zetu?

    Nipo katika mahusiano huu ni mwaka wa 9 niko na mpenzi m1 ninayemhudumia kila kitu, lakini katika huduma ninazompa kuna huduma 1 ambayo nimemtamkia live bila kupepesa macho kuwa ifikapo tar 1 Jan 2021 kama tutajaliwa uhai itakua mwisho wangu wa kutoa; pesa ya yeye kwenda kusuka. Nitatoa pesa ya...
  4. A

    Elimu kwa Umma juu ya matumizi sahihi ya alama barabarani na uzingatiaji wa sheria

    Hongereni sana Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia kitengo chenu cha usalama barabarani kwa kazi mnayofanya kupambana na waharifu wa barabara,pia hongereni wizara ya afya kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ahabari nchini, mitandao ya kijamii n.k. katika kutoa elimu juu ya madhara ,namna ya...
  5. M

    Naomba usaidizi wa Matumizi ya WhatsApp kwenye Laptops

    Wakuu habari ya uzima na poleni na majukumu yenu ya kila siku, Wakuu nataka kuanza kutumia whatsapp version kwenye laptop yangu badala ya simu, Je kuna mwanajukwaa ambaye alishawahi kutumia apps ya whatsappp kwenye laptop? alifanyaje? Asanteni. 🙏
  6. Wanaojenga hoja kuhusu Matumizi ya ruzuku kwenye vyama vya siasa wasikilizwe, ni fedha za walipa kodi lazima wajue zinavyotumika

    Nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali inayohusu matumizi ya fedha za ruzuku kwenye vyama vya siasa. Wapo wanaosema kwamba fedha hizo ni jukumu la chama husika kupanga bajeti ya matumizi na haipaswa mtu mwingine kuhoji wala kujua matumizi yake, na lipo kundi la pili linalosema kwamba...
  7. S

    Fatuma Karume: Matumizi ya fedha mabaya ni rushwa?

    fatuma Karume ameuliza je Matumizi ya mabaya ya fedha ni RUSHWA? Au ni kazi ya CAG? Waseme kuna KESI YA RUSHWA. Wasituambie matumizi MABAYA maana hata Serikalini, CAG kabaini kuna MATUMIZI MABAYA ya fedha, lakini haina maana ni RUSHWA chini ya SHERIA ya RUSHWA!!! Mamlaka ya PCCB ni kwa makosa...
  8. Tunapoambiwa Siku zote kuwa Bangi / Bange si nzuri kwa Matumizi ya Binadamu tujaribu kuwa Wasikivu tafadhali

    " Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima, ndio maana hata serikali imepiga marufuku " @afandesele_king, Msanii wa Muziki Chanzo Taarifa...
  9. Mambo ya kuzingatia kabla hujaanza matumizi ya pesa

    Kwa muda huu kila jambo ni gumu kwa sababu hakuna aliyeona au kuhis haya yangetokea ktk kizaz chetu. Ila yameshatokea na yametupa mafundisho ambyo hakuna aliyewahi kufkir angeyasoma kwa njia ngumu kiasi hiki. Si biashara si ajira kila mmoja anapigania uhai wake, Nitakupa mbinu 5 kwa leo ambzo...
  10. C

    Hivi Matumizi ya internet kwa mtandao wa Vodacom yako vipi?

    Wakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10 Hii kali sasa
  11. J

    Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

    Wabunge wameitaka Serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini. Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati Serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli...
  12. U

    Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

    Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!
  13. CHADEMA yawataka wanaosema kuna matumizi mabaya ya fedha kwenye chama waweke ushahidi hadharani

     CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, kuuweka hadharani. Kauli hiyo ya Chadema imetolewa jana Jumamosi tarehe 23 Mei 2020, na Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, kufuatia wimbi la wabunge...
  14. Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Tafadhali wana JF wenzangu, Anayeweza kunifundisha kutengeneza sabuni naomba tuwasiliane haraka. Nina soko kubwa. WADAU WENGINE WENYE KUHITAJI KUFAHAMU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU MBALIMBALI
  15. Uzoefu na Matumizi ya Additives za Kwenye Magari

    Wakuu, Kwanza Eid Mubarak! Naomba kujifunza kutoka kwenu Wakuu kuhusu additives za kuweka kwenye engine au gear box kwenye gari. Kwenye kausafiri kangu, naona kitu kama leakage kwa mbali kwenye gear box. Hivi kuna ukweli kuwa nikiweka additive itazuia hiyo leakage? Sipendagi sana kufungua...
  16. Bahasha za kuwekea dawa, picha, passport, urembo, simu na matumizi ya ofisini kwako

    Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini. Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa...
  17. Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  18. Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

    Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi. Ndege maalum ya ujumbe...
  19. J

    Umuhimu wa matumizi ya Barakoa (masks) katika kukinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Corona

    UTANGULIZI Barakoa (mask) ni kikinga pua na mdomo na ni nyenzo muhimu inayoweza kutumika kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya vimelea vya maradhi kupitia njia ya hewa. Kuna aina mbalimbali za barakoa ambazo huandaliwa kwa madhumuni tofauti. Zipo aina kuu tatu (3) za barakoa ambazo zinaweza...
  20. B

    Naomba ufafanuzi kuhusu ulaji wa mafuta wa Toyota IST

    habari za jioni wapendwa, Hivi karibuni nimenunua gari Toyota IST CC1490 ya 2004. Full tank ni litre 38. Naweza kutembelea full tank km 360 full Ac. ni sawa au hapa hichi ni kimeo. Ushauri Wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…