matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Waziri Mpango tunaomba majibu matumizi ya Dola kwenye upimaji wa Covid-19

    Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani. Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola. Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na...
  2. C

    Je, unapotumia Modem kuna uwezekano mdogo wa kutumia matumizi ya MB?

    Eti endapo utatumia Internet kwenye PC ambayo ni Hotspot kutoka kwenye simu na Endapo utatumia internet kupitia kifaa cha Modem Ni sehemu gani kunakuwa na Unafuu wa kusave MB?
  3. Zaidi ya miaka mitatu hakuna wateja; mnashindwa kubadili matumizi ya jengo?

    Hili jengo lipo barabara ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge la PPF linanihuzunisha sana na zaidi pesa za wanachama linajengwa naliona tangu wanachimba msingi limekamilika nalishuhudia lakini tangu likamilike limemaliza miaka mitatu na mpangaji aliyepo ni NHIF tu. Najiuliza mbona hawa wahusika...
  4. B

    Tujadili miaka mitano ya tumbuatumbua na matumizi mabaya ya mali za umma

    Tunaingia miaka mingine mitano ya awamu ya tano na tumeanzia pale tulipoishia. Tumbua tumbua inaendelea......kwanini wateule niwagumu kumwelewa anayewateua? Kama ubadhirifu huu unaotajwa kila siku ni kweli Basi Tanzania tunaongozwa kwa kuwa na mfumo mbaya wa uteuzi wa viongozi. Tunateua watu...
  5. Tanzania yaokoa zaidi yaTsh trilion 36 kutokana na matumizi ya gesi asilia

    Dar es Salaam. Tanzania imeokoa hadi $ 15.6 bilioni (kama Sh36 trilioni) kwa gharama za nishati kwa kubadili gesi asilia kama chanzo cha nishati kutoka Julai 2004 hadi Septemba 2020, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linasema. Nchi iliokoa kiasi hiki kwa kutumia gesi asilia...
  6. Mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kibiashara (3)

    Mambo 10 ya kuzingatia unapoandaa chapisho la tangazo la kibiashara mtandaoni Mitandao ya kijamii imebadilika kutoka kuwa majukwaa ambayo watu hukutana kufahamiana na kujadili masuala mbalimbali ya kijamii, hadi kuwa majukwaa ya kibiashara ambayo unaweza kukutana na wateja wako, kuwafahamisha...
  7. Mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kibiashara (1)

    Kwanini Unahitaji Mitandao ya Kijamii katika biashara yako? Mitandao ya Kijamii imekuwa kiungo muhimu katika miaka ya hivi karibuni tofauti na ilivyokuwa siku za nyuma, hasa katika ulimwengu wa biashara ya mtandaoni ambao umewawezesha wafanyabiashara kuwafikia mamilioni ya wateja kwa urahisi...
  8. B

    Tujadili matumizi ya V8 katika Taifa letu

    Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani. Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa. Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika...
  9. Blacklist na Whitelist: Matumizi ya maneno haya si muendelezo wa kiubaguzi kwa namna tofauti?

    "Blacklist na whitelist" sio maneno mageni sana katika ulimwengu wa leo. Mara nyingi haya maneno yamezoeleka kutumika katika mambo ya kiusalama katika mitandao ya mawasiliano. Ukiangalia kwa upande mwingine maneno haya hasa hapo zamani kidogo katika nchi za wenzetu 'ulaya na marekani' maneno...
  10. Tujitahidi kuwa na matumizi mazuri ya Ndimi zetu kama ambavyo hata Vitabu vya Mungu vimetuelekeza hivyo

    Mkoa wa Kipolisi Kinondoni wanamshikilia Mfanyakazi za Ndani , Happiness Sela (24) kwa tuhuma za kumchoma kisu Ezekiel Nyamuko (24) kwa kile kinachodaiwa kuwa alipatwa na hasira baada ya kuambiwa na mtu huyo kuwa ana roho mbaya kama sura yake ndio maana haolewi. Chanzo: HabariLeo Sasa...
  11. I

    Je, Wabunge hutumia vipi vipato vyao? Inakuaje Mbunge baada ya miaka 10 bado njaa inamuendesha?

    Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa wanayolipwa? Fikiria mtu kama Halima, miaka 10 ya Ubunge lakini anakuja kuishia kujimaliza kisiasa kwa...
  12. Usilalamike unaibiwa, jifunze kubana matumizi ya kifurusshi cha data kwenye computer yako

    "Yani nimejiunga kifurushi cha gb 1 baada ya dakika 5 kimeisha, makampuni ya simu wezi" Hizo ni baadhi ya kauli za watu wanaodhani wanaibiwa bila kujua kwamba lawama zipo upande wao Computer zetu hizi za windows zimetengenezwa katika namna ya kwamba endapo kutakuwa kuna updates basi zitaji...
  13. B

    Afisa Elimu Wilaya ya Hai Kilimanjaro, fafanua kuhusu posho na matumizi ya Jeshi kusimamia mtihani

    Afisa Elimu Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro amelipa posho Tsh. 120,000 kuanzia tar 8/12/2020 na kuendelea hujaweka wazi kama ndio posho yote ya kusimamia mtihani au la, hujaweka wazi ni Tsh. ngapi watalipwa kwa siku wengine mwisho wa kusimamia ni Ijumaa kesho ikiwa tayari wamekaa siku 9...
  14. Drones ni game changer kwenye vita

    Vita vya kisasa vinahusisha zaidi ya technologia ya Hali ya juu, yenye lengo la kupunguza gharama na kuongeza ufanisi. Kwenye uwanja wa Vita drones zimekua zikifanya Mambo ambayo pengine kwa Vita ya zamani kwa Sasa kutokuwa nafasi. Vita ya zamani watu walikua wanajificha kwenye mifereji na...
  15. Zikiwa zimebaki siku 50 Mwaka kuisha, hii ni tathmini ya matumizi yangu kwa mwaka 2020.

    Mwaka 2020 ndiyo unaelekea mwishoni, huku zikiwa zimebaki siku 50 kuisha. Watanzania hatuna mazoea ya kuandaa bajeti zetu binafsi, lakini ni tool muhimu sana kwenye maisha yetu hasa unapotaka kuona maeneo ya kupunguza matumizi kama sio ya lazima Hapa chini nimefanya tathmini ya matumizi ambayo...
  16. SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  17. IMF yazitaka nchi kudhibiti matumizi ya pesa kutokana na athari za Corona Kiuchumi bado zinaendelea

    The pandemic-induced economic crisis is set to leave deep scars. Human capital erosion from prolonged high unemployment and school closures, value destruction from bankruptcies, and constraints on future fiscal policy from elevated public debt top the list. Groups that were already poor and...
  18. Taa za LED warm sportlight kwa ajili ya studio lights/effects au matumizi ya kwenye Ukumbi

    Zinatoa mwanga mkali ambao Ni light warm(sio mweupee ni njano kidogo) -zinatumia umeme we TANESCO -Zina Watt 20 -Ni LED -Mwanga wake Ni direct na siyo scattered -Sport light -Zipo Pc4 - Zinatumia choke,(serviceable),zikiiungua zinatengenezeka. Bei 50,000/- each Call 0682210453 Zipo Dar
  19. Matumizi ya android tv box

    Natumaini hamjambo, Nina tv yangu ambayo si smart tv nataka ninunue android tv box ili iwe smart tv lakini Sina uwelewa wa kutosha na matumizi ya android tv box Je kifaa hiki kinauwezo wa kuhifazi picha, movies, games na music ? Na vipi kuhusu storage naona zina storage kama za simu mfano RAM...
  20. Rwanda yaruhusu ukulima wa bangi

    Serikali ya #Rwanda imehalalisha kilimo cha Bangi ili kuuza nje ya nchi, matumizi ya kujifurahisha au kujitibu bado yanahesabiwa kuwa haramu kisheria Rwanda inatarajia kukuza mapato ya kusafirisha bidhaa nje na kufaidika na soko la bangi la dunia ambalo lina thamani ya dola bilioni 345 sawa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…