matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hakikisha hautoi hela yoyote ya matumizi bila kupima DNA kwanza .

    Wake za watu wanagawa Sana kiukweli, hivyo jitahidini kupima DNA la sivyo mtawalelea Wahuni mimba na watoto.
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Haka kakitu nakaona mahotelini na nyumba za wageni kazi yake nini mwenye kujua matumizi

    Na mitaani naona vimekuwa vikiongezeka maradufu matumizi yake ni gani ? USSR
  3. Logikos

    JamiiForums Tanzania Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia

    Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...
  4. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jiji la Dodoma kuna changamoto ya mpango mji, Watu wengi wanaishi maeneo hatarishi

    Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
  5. Big L

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya vipaza sauti ( microphones)

    Habari zenu wanajamvi, Leo nimekuja na suala hili la matumizi sahihi ya vipaza sauti nikiwa naomba mawazo yenu na hoja zenu kuhusiana na hili. Makanisani, Mikutanoni, kwenye sherehe mbalimbali na sehemu nyingine nyingi tumekuwa tukitumia vipaza sauti tena kwa kupokezana yaani unakuta kipaza...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa (vijijini hasa pembezoni mwa miji na visiwani). Mtaani kuna stori kuwa kuna madhara...
  7. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI PreGE2025 Mchinjita: Mchango wa wakulima kwenye pato la taifa ni 26%, bajeti iliyopangwa 2024/2025 ni shilingi trilioni 49

    Mchinjita alikuwa na mkutano wa hadhara mkoani Mtwara ambapo amezungumzia masuala mbalimbali, tazama hapa hotuba yote.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Gharama nafuu sio unafuu wa maisha, heri mji wenye gharama kubwa utazoweza kumudu kuliko mji wenye gharama nafuu utazosota kumudu

    Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions. Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la kuzingatia sana hasa kwa wale wanaojitafuta. Unaweza kuwa sehemu kama Mbeya, ni mkoa unaosifika kwa...
  9. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Unpopular Opinion: Mhusika Alex Mahone alitumika ku-glorify matumizi ya madawa ya kulevya

    Hivi sasa ni saa 1 na dakika 38, nawasalimu wanajukwaa. Huku niliko hali ya hewa ni ya kiubaridi kidogo, anga limetandwa na kiza na nyota kadhaa zimeanza kuonekana. Narejea kwenye mada, kwa wale ambao hawamfahamu mhusika wa kubuni anayefahamika kwa jina la Alex Mahone naanza nao hivi; Alex...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

    Salaam, Shalom! Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula. Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano, Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali. NB: Ngano iwe brown wheat...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Je,kuna money laundering kwenye timu zetu? Baadhi ya timu zina matumizi ya kufuru kuliko mapato

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna bendi moja iliitwa Mviko Sound ,ilikuwa ikimilikiwa na mmoja wa wanafamilia yetu Kufikia mwaka 2004 bendi ikafa,huyu ndugu yangu akasema ni bora kuwa na wanawaje kumi kuliko kumiliki bendi. Wanawake kumi unaweza kuwatumia kama nguvu kazi au hata wakakuzalia...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Kutumia Tsh. Bilioni 27.8 kurekebisha Viwanja vya Amani na Gombani ni matumizi mabaya ya fedha

    ACT Wazalendo, kupitia taarifa yetu kwa umma ya tarehe: 08/11/2024, tuliitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka, hadharani gharama zote za matengenezo ya Viwanja vya Amani na Gombani ambavyo vimetangaazwa kufungwa ili kufanyiwa matengenezo, kutokana na taarifa yetu hiyo, Wizara ya Habari...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Songwe: DC Farida Mgomi asema “Tumieni mikopo ya 10% kwa matumizi lengwa ili mpate marejesho”

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe, Farida Mgomi ametoa rai kwa vikundi vya maendeleo vilivyonufaika na mikopo ya Asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri kuitumia mikopo hiyo kwa matumizi lengwa sambamba na kukumbuka kuirudisha ili kutoa nafasi kwa vikundi vingine kupata nafasi ya kukopa...
  14. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Vita vya Matumizi ya Silaha za masafa Marefu sasa vita imeanza Rasmi!!

    Wakuu tujongee...Sasa katika kitu kilikuwa kikingojewa na mataifa mengi wakitaka kujua uwezo wa Urusi sasa kinakaribia,hii ni baada ya Ukraine Usiku wa kuamkia leo Kutumia hizo silaha za masafa marefu aina ya(ATACMS) akilenga miji mikuu iliyopo kalibu na mpaka wa Urusi!! Ukraine imetumia Mfumo...
  15. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Putin atia saini agizo la kuruhusu vigezo zaidi vya matumizi ya silaha za nyuklia

    Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha ======================================================== Russian...
  16. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Gaming PCs zunaweza kutumika kwa matumizi mengine kama kutumia software ya Photoshop?

    Swali langu lipo juu ya kichwa cha thread.
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Grader na Excavetor ni pale ambapo hakuna viashiria vya walio hai

    Hii ndio sababu muhimu ya kutowahisha matumizi ya mitambo katika uokoaji. Kwa waliosoma Physics watakuwa na uelewa zaidi
  18. Double line

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Service Road barabarani

    JE, SERVICE ROAD NI KWA MATUMIZI YAPI HASA? Ni swali ambalo limekuwa linasumbua sana vichwani mwa madereva wengi sana. Kwani si mara nyingi hasa tunaelezwa service road zilijengwa kwaajili ya nini hasa na nani wanaopaswa kuzitumia. Ukisoma ROAD TRAFFIC ACT hakuna popote inapozungumziwa service...
  19. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua sehemu ama taasisi zinazotoa mafunzo ya matumizi sahihi ya silaha

    Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
  20. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya njia ya mwendokasi

    Juzi kati mh mkuu wa mkoa wa Dar aliruhusu matumizi ya njia za mwendo kasi kwa zile barabara ambazo bado hazijaanza tumiwa na mabasi hayo.Ila cha kushangaza maeneo ya stesheni kumekuwa na sintofahamu kwa magari kukamatwa yanapopita njia hizo ambazo bado hazijaanza tumika. Naomba wahusika...
Back
Top Bottom