matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Camera nzuri unayoweza kutumia kufuatilia matukio yanayoendelea ukiwa haupo nyumbani

    Shallom wakuu. Kutokana na maendeleo ya ukuaji wa sayans na teknolokojia zipo njia mbalimbal za kuzuia uhalifu nyumban kwako au eneo lako la biashara. Tumekuletea camera nzuri unayoweza kutumia kwa kuinstall nyumban kwako kwa Bei nafuu Sana. Camera hizi ni ndogo Sana ambazo sirahisi kwa mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Chagueni Bodaboda mnaowajua kuepusha matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto

    Katika jitihada za kuzuia na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini, wazazi na walezi wametakiwa kufanya uchaguzi sahihi na kuwatambua bodaboda wanaowapeleka watoto wao shule ili kuepuka vitendo hivyo. Rai hiyo imetolewa Februari 22, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Maryam Azan Mwinyi: Serikali Imejipangaje Kuwasaidia Wahanga Wanaopata Ujauzito Kutokana na Matukio ya Ukatili wa Kijinsia (Ubakaji na Udhalili

    Mbunge Maryam Azan Mwinyi: Serikali Imejipangaje Kuwasaidia Wahanga Wanaopata Ujauzito Kutokana na Matukio ya Ukatili wa Kijinsia (Ubakaji na Udhalilishaji) Serikali imesema imeandaa mipango na mikakati ya kuwasaidia waathirika na manusura wa vitendo vya ukatili ili kuhakikisha wanapatiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wengi wa binadamu wana unafiki na wanapenda kujisahaulisha kwa manufaa yao, angalia haya matukio

    1. Mapenzi ya utotoni: Mara kadhaa watu husema watoto wa siku hizi wanaanza wameharibikiwa na wanaaza mapenzi mapema sana, wengi husema "wanaaza shule ya msingi" lakini nikikumbuka miaka zaidi 30 iliopita nikiwa shule ya msingi, kulikua na mahusiano vile vile, watu walikua wanaandikiana barua na...
  5. JamiiForums Tanzania ChatGPT:swala utekaji tanzania kwa nini vyombo ya polisi kutoa majibu ya kawaida na matukio ya utekaji

    Masuala ya utekaji nyara ni jambo serious na lenye athari kubwa kwa usalama wa raia na heshima ya haki za binadamu. Ni muhimu kutambua kwamba suala la utekaji nyara linapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa, na vyombo vya usalama vinapaswa kuchunguza kwa kina na kutoa majibu yanayokidhi haki na...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali: Matukio 21 ya watu kutekwa na kupotea yamepatiwa ufumbuzi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameeleza kuwa robo tatu ya matukio yaliyoripotiwa ya watu kutekwa na kupotea kwa mwaka 2023 tayari yamepatiwa ufumbuzi. “Sio kwamba labda watu wanapotea halafu hakuna kinachofanyika, watu hawawapati wahalifu, hawawapati wahanga sio sahihi, ameeleza...
  7. JamiiForums Tanzania Matukio kama haya ya Kimafia yenye kutumia Akili Kubwa ndiyo yananifanya nizidi tu KuwapendaWaisraeli 24/7

    Wiki iliyopita Makomandoo wa Israel ( Sayeret Matkal ) waitumia Akili Kubwa kama ile waliyoitumia kule nchini Uganda walipoenda kuokoa Mateka Wao mbele ya Idi Amini ambayo hata hivyo ilisababisha Kifo cha Komandoo mahiri aitwae Yurin ( Yuri ) Netanyahu ambaye alikuwa ni Kaka mkubwa wa Waziri...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kuna matukio ya utekaji serikali kimya

    Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
  9. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani vikiripoti matukio

    1. Mwanaume mmoja aitwaye Johnson Powell amewachoma visu wanafunzi wanne na kuwaua huku wengine akiwapiga risasi. Tukio hilo lilitokea jioni ya leo. Mtuhumiwa huyo yupo kituo cha polisi. 2. Muhuni mmoja mweusi amewachoma visu wanafunzi wanne na wengine kuwaua kwa risasi katika chuo kimoja huko...
  10. JamiiForums Tanzania Arusha: Watuhumiwa wa uhalifu 533 walihukumiwa jela Mwaka 2023, matukio ya uhalifu yatajwa kupungua

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa mwaka 2023 jumla ya watuhumiwa 533 walihukumiwa Kwenda jela kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji na ulawiti huku matukio ya uhalifu yakitajwa kupungua kwa Asilimia 12. Akitoa taarifa hiyo leo Januari 15, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali inakalia kimya matukio ya Watu kutekwa na kuuawa? Utawala uliopita mambo yalianza hivi hivi

    Kuna matukio ya Watu kutekwa na kuuawa bila kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria na wengine wakidaiwa kufanyiwa ukatili na Polisi lakini mamlaka zimekuwa zikitoa majibu mepesi tu. Sio sawa kwa nchi inayofuata utawala wa Sheria kukalia kimya masuala ya uhai na usalama wa raia wake. Tukumbuke...
  12. JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio yatakayotokea mwaka huu 2024

    1. Kutaibuka teknolojia itakayoweza kutafsiri mtoto mdogo akilia anahitaji kitu gani? Tahadhari ni kwamba teknolojia hii itafika Afrika na Tanzania kwa upekee, teknolojia hii itakuwa katika majaribio hivyo ni rahisi kuacha madhara makubwa ya kiakili kwa watoto. 2. Kutaibuka ugonjwa wa virusi...
  13. JamiiForums Tanzania Matukio yaliyotikisa Tanzania 2023, African Football league inaongoza japo mengine yapo

    Wakuu Nimekaa nautafakari mwaka 2023 hapa Tanzania na matukio yake, 1. Tukio la ufunguzi wa African Football league Hili ndilo tukio lilitikisa nchi, Simba wababe wa soka la Africa waliwakaribisha wababe wenzao kufungua michuano hii na dunia yote ilikuwepo Tanzania 2. DP world na issue zake...
  14. JamiiForums Tanzania Matukio ya kulipua mabomu kule Arusha yaliisha baada ya hawa mashehe wanaohukumiwa sasa kukamatwa

    Naipongeza mahakama kwa kuwatia hatiani hawa wapuuzi walioua na kujeruhi wengine kwasababu ya itikadi za kipumbavu. Mtu yeyote atakayefundisha kama yule marehemu ilunga anapaswa kushughulikiwa mapema kabla hayajatokea maafa kama yale ya arusha na zanzibar.
  15. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania au ndiyo tabia za nchi za kiafrika kutopenda kutoa mrejesho wa matukio?

    katika tafiti zangu nimegundua kua chenye upinzani kinanguvu sana sababu hakina cha kupoteza wala kujitetea kwa watu ni kwamba mtu anaweza kutoa taarifa may be whistler blower ambaye anaweza kupata attettion kubwa public ila bahati mbaya sana akishamaliza kutoa taarifa bado hatowi mrejesho wa...
  16. JamiiForums Tanzania Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Leo nimeona bora nije na thread ya pamoja kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass. Lakini pia kila mtu atakuwa huru ku share picha za jinsi watu walivyo celebrity, na kusherehekea mkesha wa mwaka mpya huko atapokuwa, au kuandika matukio yote...
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

    Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu . Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
  18. JamiiForums Tanzania Jiajiri mwenyewe kwa kufanya kazi ya ‘kubadilisha upepo’ wa matukio mbalimbali, niamini lazima utoboe!

    Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA". Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au nafasi kubwa serikalini, anasema Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake " Rich Dad Poor Dad", yalikuwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Matukio nchini Holland na Ireland yashitua Waliberali

    JAMHURI YA IRELAND 23 November 2023 Dublin, Jamhuri ya Ireland Wananchi waingia mitaani kufanya vurugu kubwa dhidi ya serikali yao ya mrengo wa kiriberali wakidai inafungua milango na kukaribisha wahamiaji bila kwanza kusikiliza maoni ya raia wa nchi ya Ireland . Picha : Polisi wakipambana...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaharakati asema Matukio ya Ubakaji nchini Sudan imekuwa sehemu ya maisha

    Hala Al-Karib ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya SIHA inayojihusisha kutetea Haki za Wanawake Barani Afrika amesema Asilimia 70 ya matukio yaliyorekodiwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia ni Ubakaji wa Magenge Anasema hali hiyo imeongezeka hasa baada ya kuibuka kwa vita Aprili, 2023 Akizungumza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…