matukio ya utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali

    Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi. Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msanii Vitalis Maembe aja na wimbo mpya kuhusu matukio ya utekaji na watu wasiojulikana, asema hakuna kukaa kimya

    Wakuu Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama. === Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA'' na kuambatisha ujumbe...
  3. mshale21

    JamiiForums Tanzania Askofu Mlawi alaani vikali Matukio ya Utekaji: Asema ni dalili ya kukosekana kwa Amani

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Musa Mlawi, ameibuka na kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kushuhudiwa nchini, akivitaja kuwa dalili ya kukosekana kwa amani. Ametoa wito huo jijini...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM na Serikali majibu yenu yako wapi kwenye orodha ya Watanzania waliotekwa iliyotolewa na TLS?

    Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake. Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya TLS iliyokuwa na watu 80 waliotekwa/kupotea toka mwaka 2016 mpaka Agosti 2024, kama angechukua na watu...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani uliopo nchini zaidi ya mara moja umetoa tahadhali kwa raia wake kutokana na matukio ya utekaji na uhalifu yanayoendelea nchini

    Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Spika anakuaje na wasiwasi wa taarifa za wananchi kuhusu utekaji badala ya kuzingatia wito wa kuchunguza?

    Wakuu, Hii ndio aina ya masheikh tunawataka huko BAKWATA, sio kukaa kuandaa dua za kumuombea mama wakati wananchi wanateketea. Tunahitaji viongozi wa dini wanaohimiza uwajibikaji na utawala bora. Sio mtu anajitokeza anaongea upuuzi mpaka aibu unaanza kuona wewe! ==== Sheikh Ponda amesema...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa huduma za kifedha apotea katika mazingira ya kutatanisha Arusha. Mke wake asimulia kilichotokea

    Wakuu, Mfanyabiashara wa huduma za kifedha (wakala), Davis Mandari (48), mzaliwa wa Kilimanjaro na mkazi wa Kwa Mrefu, jijini Arusha, ameripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Inadaiwa kuwa kabla ya kutoweka, alituma ujumbe mfupi kwa mke wake akidai kuwa amechukuliwa na jeshi la...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Abdurahman Yunusu adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na Land Cruiser Geita, majibu ya polisi hayaridhishi

    Familia ya Mariamu Ibrahim Juma, mkazi wa Mtaa wa Uwanja, Kata ya Nyankumbu, Mjini Geita, imeiomba serikali kupitia Jeshi la Polisi kusaidia kumtafuta mtoto wao, Abdurahman Yunusu (24), ambaye ametoweka kwa siku 13 katika mazingira ya kutatanisha. Pia Soma: Mfanyabiashara wa huduma za kifedha...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Taarifa fupi ya utekaji

    . Ilikua ni asubuhi Jacob Mlay (pichani) alitoa nguo zake nje ili azifue ghafla akapokea sms kutoka kwa Deusdedith Soka, Soka akamwambia Mlay Kaka salama naomba unisindikize Polisi Chang'ombe, Polisi wamenipigia simu niende nikachukue Bodaboda yangu. Mlay: akajibu sawa ngoja nirudishe nguo...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar: Method Damian Kumdyanko adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na silaha

    Method Damian Kumdyanko mkazi wa Sinza Dar Es Salaam anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wenye silaha siku ya Februari 28, 2025 nje ya geti la nyumba yake Sinza Dar Es Salaam. Akizungumza na Jambo TV Tura Chaula ambaye ni rafiki wa kike wa Method na aliyeshuhudia tukio hilo amesema siku hiyo...
  11. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UWT Iringa atahadharisha matukio ya Utekaji na Rushwa kipindi cha Uchaguzi

    Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi ametoa wito kwa wanachama wa UWT Wilaya ya Iringa Vijijini kuwa makini na matukio ya utekaji kwa kupigiwa simu na kufuata maelekezo pasipo kupata uthibitisho kutoka kwa viongozi. Ametahadharisha pia dhidi ya vitendo vya rushwa, akisisitiza...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tarime: Mwenyekiti wa CCM kata ya Itiryo, Peter Magau Mohere adaiwa kutekwa Januari 9, 2025 watekaji wakijitambulisha kuwa ni maafisa wa polisi

    Mwenyekiti wa CCM kata ya Itiryo Peter Magau Mohere anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia jumapili Januari 9,2025 ikiwa ni siku moja baada ya makamu mwenyekiti CCM Taifa kuondoka Tarime. Bado taarifa kamili haijulikana juu ya utekwaji huo, kwa mujibu wa Mwenyekiti Serekali ya Kijiji cha Itiryo...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake baada ya kuapishwa na kutoa onyo kwa Rais Ruto kuhusu matukio ya Utekaji

    Je, ni kweli Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake ya uapisho na kutoa onyo kali kwa Ruto kuhusu matukio ya Utekaji, na je, huyu Gachagua alihudhuria kwenye tukio hilo?
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdul Nondo: Kama matukio ya utekaji ni ya kutengenezwa, tuambiwe aliyemteka Soka

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo akizungumza na wanahabari leo januari 9, 2024 amesema kuwa “kumekuwa na mwanya wa dhihaka na propaganda kwamba matukio haya ya utekaji sio ya ukweli ni ya kutengeneza ntu anawezaje kutengeneza kujiumiza, mtu anawezaje kutengeneza kujiumiza mguu...
  15. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu Kenya yaripoti kutokea kwa jumla ya matukio 82 ya Utekaji nchini humo tangu mwezi Juni

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu nchini Kenya imetoa ripoti mpya ambayo inaonesha kuongezeka kwa idadi ya matukio ya utekaji nchini humo dhidi ya wakosoaji wa serikali Kwenye ripoti yao ya hivi karibuni imeonesha kuwa kumekuwa na matukio ya utekaji takrbani 82 tangu maandamano dhidi ya...
  16. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasiasa, Wananchi wanamtaka Rais Ruto kukemea na kukomesha Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Wakosoaji wake

    Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tabora: Askofu KKKT, Isaac Laizer: Ataka maombi yakitaifa kukemea utekaji, mauaji

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Magharibi Tabora, Isaac Laizer, ameonya juu ya ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji, akiwataka wakristo kote nchini kufunga na kuomba kwa dhati ili kutokomeza matukio hayo. Akizungumza jana, Desemba 8, 2024, katika maombi ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania wote: Ukisikia mtu anapiga kelele anatekwa tafadhali na chonde chonde toa msaada!

    Natoa wito kwa Watanzania wenzangu wote wenye upendo na kuthamini uhai na haki za binadamu wenzao. Imetokea mara kadhaa kwamba watu wanatekwa, wanapiga kelele kuomba msaada lakini watu wanaangalia tu bila kutoa msaada. Tafadhali sana, unaposikia mtu anapiga kelele kuomba msaada anatekwa...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuachia video za CCTV baada ya jeshi la polisi kukana kuwa hawahusiki na tukio lolote la utekaji linapotokea

    Mara kadhaa linapotokea tukio la utekaji bila ya uwepo wa ushahidi wa Video Polisi wamekuwa wakisema wahusika ni watu wasiojulikana mfano Tukio la mzee Kibao, Abdul Nondo na wengine wahusika hawajajulikana mpaka sasa. Matukio kama hayo yakitokea na muda mfupi video za CCTV zikiachiwa utasikia...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
Back
Top Bottom