matukio ya utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baba Chaula: Polisi niambieni mwanangu kama yu hai tu basi inatosha, nahisi roho yangu inashindwa kuvumilia haya maumivu

    Kufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi wa kijana huyo, mzee Yusuph Sisala Chaula amesema anaomba ajulishwe tu mwanaye kama yu hai au la ili moyo wake uwe na amani. Amesema “Unajua inaweza kufa roho...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Deusdedith Soka ametoa wito kwa vijana wote Tanzania kuungana katika kupinga vitendo vya utekaji vinavyoendelea

    Agosti 5, 2024 - Mwanaharakati Deusdedith Soka, akizungumza kwa niaba ya vijana wa CHADEMA, ameeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana nchini Tanzania. Katika mkutano na waandishi wa habari, Soka ameonesha wasiwasi kuhusu ukosefu wa ajira kwa vijana, akisema kwamba licha ya vijana...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tamko la Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani kuhusu madai ya kusambaa kwa matukio ya utekaji wa Watoto, asema Nchi ipo salama

    https://www.youtube.com/watch?v=3S9QuDpJOx0 Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni amesema taarifa za kuwa kuna matukio ya utekaji hasa kwa Watoto Nchini ni sehemu ya kuzua taharuki ambayo yamekuwa yakifanywa na watu wachache kwa manufaa yao binafsi na kuwa Jeshi la Polisi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Hakuna matukio ya utekaji watoto Mburahati shuleni, taarifa zilizosikika ni uongo na uzushi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limefuatilia kwa kina taarifa zilizosambazwa leo July 22, 2024 kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki na hofu kwa Wananchi eneo la Mburahati zinazodai kuwa Watoto wawili wa Shule ya Msingi Brayson iliyopo Mburahati Wilaya ya Ubungo...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Napinga Kauli ya Rais Samia kwamba Utekaji ni Drama, hii ni dharau kwa Wananchi

    Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema? Kwa Rais kusema hadharani kwamba masuala ya kutekwa watu yanayoendelea kwenye nchi anayoiongoza ni Drama, si tu kwamba ni uongo lakini...
  6. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dar: Vijana wanne wadaiwa kutekwa wakiwa kwenye party Juni 20, 2024, hawajulikani walipo mpaka sasa

    Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini. Taarifa mpya zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke, Dar es Salaam na mkazi mmoja mkoani Geita wametoweka na jitihada za kuwatafuta hazijazaa matunda kwa...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”

    Salaam Wakuu, Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

    Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa. --- Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao. IGP Wambura...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lini matukio ya kutekana na kupotea watu yalikwisha?

    Nimesikia wanasiasa wanasema kutekana na kupotea kulikwisha ila kumeanza kurudi tena, hivi ni lini yalikwisha? Kwa kumbukumbu zangu kila baada ya muda tunasikia tukio la kupotea au kutekwa. Au mpaka atekwe Lissu, Mdude, Mbowe au mtu yoyote maarufu ndio tujue matukio yanaendelea?
  10. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Kwanini UVCCM hamkemei matukio ya watu kutekwa?

    Matukio yote ambayo Vijana wanatekwa hasa Wenye mlengo wa kukosoa serikali, UVCCM haijawahi kutoa tamko la kukemea hata kinafiki tu. Tukio la karibuni zaidi ni la kijana Edgar Mwakabela @SATIVA ambaye alitekwa Dar na kutupwa Katavi baada ya kupigwa risasi ya kichwa lakini Mungu mkubwa ikamvunja...
  11. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ikomeshe matukio ya utekaji, ni doa kwa uhuru, amani, usalama na demokrasia ya nchi yetu

    UTANGULIZI Kwa takribani kipindi cha miaka 8 mfululizo nchini Tanzania (2016-2024) matukio ya watu kutekwa nyara, kupotezwa na hata kushambuliwa au kuuawa na watu wasiojulikana huku wahusika wa matukio hayo wakiwa hawapatikani yamekua matukio ya mfuatano na ya kawaida kabisa. Yalishamiri sana...
  12. The Whistleblower

    JamiiForums Tanzania Serikali Awamu ya Sita zuieni matukio ya utekaji wa wanaoikosoa Serikali, haileti picha nzuri

    Rais Samia tunakupenda, tunakuheshimu, wewe ndio Dereva unayeendesha gari la Tanzania, sijui kama kweli hujui hila zinazoendelea ndani ya Serikali yako. Wakati wa Magufuli makumi ya watu wametoweka na hadi sasa hawajulikani walipo akiwemo Ben Saanane, na wote waliotoweka walikuwa wakosoaji...
Back
Top Bottom