matukio ya utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hata Magufuli aliagiza Uchunguzi wa shambulio la Lissu Ufanyike, Je Ulifanyika? Ujasiri wa kuamini kauli ya Rais Samia mnautoa wapi?

    Hakuna uwezekano wowote ule wa kuwaamini viongozi wa CCM, hata kama wewe ni Mjinga kiasi gani, ili uwaamini unapaswa kuwa huna kabisa Ubongo. Dkt Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM kama alivyo Samia Suluhu leo, Aliagiza waliomshambulia Tundu Lissu watafutwe, na katika...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanangu mi ni kuwaombea tu uzima familia zenu zisipoteze shujaa wao maana ukatili huu umezidi na unaweza mpata yoyote

    Roho ya mwanadamu sasa hivi ina thamani ya bei ya miguu ya kuku ile inayochomwa na kuuzwa jioni, ROHO ZETU ZIMEKUWA CHEAP SANA. Utu wa mwanadamu sasa hivi una thamani ya nguo ya ndani(vyupi) vyepesi vile vya buku buku vile ambavyo ukiruka tambo unasikia mlio wa dj yani zzzzzz imechanika, UTU...
  3. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Kutumia mabavu ili upendwe au utawale ni ugonjwa wa akili

    Tabia za kidikteta zimeanza kuwaingia viongozi wanaovaa ngozi za kondoo kumbe mioyo yao imejaa uroho wa madaraka na upunguani wa akili. Watanzania hawakuzoea kusikia au kupitia huu upumbavu unaoendelea haya mambo aliyafanya Iddi Amin Dada miaka ya 70 kipindi anatawala Uganda kimabavu sasa Dunia...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Viongozi WA Dini, Barile na wenzako, umoja wa Madakitari kuweni kimnya mpaka muuwawe nyinyi ndo mtasema?

    Ninalia ninalia naililia Tanzania Sifi Leo Nina lia Nina lia naililia Tanzania Sifi Leo nampeleka kilio changu kwa umoja wa wanahabari Tanzania mnasubilia Nini kuungana na chadema kupinga kumteka na kuua mtu? Mpaka mtekwe nyinyi muuawe ndo mseme au mtoe tamko? Najiuliza kwa habari za kusifu...
  5. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kwako mkuu wa Nchi, Haya matukio na Mauaji yanayoendelea nchini

    Haya matukio na Mauaji yanayoendelea nchini tena kwa kasi kubwa na hadharani kabisa na umekaa kimya sio sawa! Nchi yangu alafu niishi kuhofia uhai wangu kisa maoni yangu au siasa!?! Shame on you for this! Leading people on fear always backfires! 😏😡😡 Credit by T Soma Pia: Napinga Kauli ya Rais...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watibeli tunalaani matukio ya utekaji na watekaji wenyewe

    Mpo salama Wakuu! Watibeli tuliuchukia ûtawala wa awamu ya Tano siô Kwa sababu Hakuna mazuri àmbayo hayakufanywa na ûtawala huo. Yapo. Lakini màtukio ya utekaji, Mateka kuuawa, miili kuokotwa mahalimahali NI Moja ya mambo yaliyotufanya Sisi kuuchukia ûtawala wa awamu ya Tano Ñàona utekaji Kwa...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuuawa kwa Mzee Ali Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi

    Hili liwe angalizo kwa Watekaji na Wauaji na Viongozi wa Nchi ya Tanzania Wanaowatuma kuteka na kuua, Kwamba CHADEMA haitavunjika Moyo kutokana na Mauaji ya Mohamed Kibao, hizi mbinu za vitisho kwenye zama za sasa ni mbinu zilizopitwa na Wakati. Mzee Kibao alipokuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mzee Upako: Biblia inaruhusu kuteka na kuua waliokula kiapo na hawashtakiki siyo wanaokosoa serikali

    Mzee wa Upako, Mchungaji Anthony Lusekelo amesema “Sijajua nani anafanya mambo ya kuteka watu, wengine wanahusishwa na Vyombo vya Dola. Kwa taarifa katika Biblia, Daudi alimshauri sana Selemanj kuwa watu wote wanaoathiri utulivu wa nchi uwe unaua. Wa kwanza kuuawa nikifa tu awe Yohab.”...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Polisi: Wafanyabiashara wawili waliodaiwa kupotea Songea, waliuawa na Mganga wa Kienyeji na kuzikwa

    Jeshi la Polisi limeleza kuwa Wafanyabiashara Raymond Hyera maarufu Ray (25) na Riziki Mohamed (30) wa Songea, Ruvuma waliokuwa wamepotea walienda kwa Mganga kupata dawa ya kuwezesha biashara zao kufanya vema zaidi ambapo walinyweshwa maji yaliyowafanya walegee na kupoteza maisha na kisha Mganga...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ni watekaji wa Chaula ama ni matapeli ndio walitaka 3 milioni wamuachie?

    Kuna mchezo kama si wa kijinga basi ni wa kitoto unachezeka hapa..! Watekaji mahiri hukuteka kwa lengo maalum kama si kisasi basi ni mambo ya kisiasa ama kikomboleo (ransom) Sakata la Shadrack kwa mazingira yote ni la kisiasa.. Ni kijana fukara hana visasi na watu wanaoweza kumteka..labda kama...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?

    ANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB) Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo askari polis waliichukuabaada ya kupewa taarifa na wana kijiji. Boni yai anauliza taarifa ya miili...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema azungumzia matukio ya utekaji na Wamaasai kuondolewa Ngorongoro; Atamani Simba na Yanga zisingekuwepo

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless amesema "ameona juzi kuna mbunge ndani ya Bunge ametaka Bunge lijadili masuala ya watu kupotea na kutekwa, spika anazuia mjadala wa watu kutekwa, lile halina uhalisia wa bunge. Huwezi kuwa na bunge ambalo...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wanne wakamatwa kwa mauaji ya watu 10 Dodoma na Singida

    Agosti 26, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa mendelezo wa uchunguzi na mahojiano yaliyofanywa dhidi ya watuhumiwa watatu waliobainika kumuua Samwaja Sifael Said kwa kumnyonga hadi kupoteza uhai kisha kukata sehemu zake za siri na kufukia wili wake katika shimo. Baada ya mahojiano na ushirikiano...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limetoa taarifa tukio la kijana Samwaja aliye uwawa na kukatwa sehemu zake za siri na marafiki zake

    Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya matukio matatu ya watu kutekwa/kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa wameuawa, likiwemo tukio la kijana Samwaja Sifael Said, Mkazi wa Kijiji cha Chalunyangu mkoani Singida kuuawa kisha kukatwa sehemu zake za siri na marafiki zake. Tukio la...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ni kina nani wanateka watu, nani yuko nyuma yao?

    kuna wimbi la watu kutekwa kalibu kila siku, lakini vyomba vya ulinzi na usalama ambavyo ni jeshi la polisi pamoja na selikali wako kimya, sijui sababu wahanga si wanachama wa CCM, na wote wanaotekwa ni wale wanaopingana na selikali kwa namna moja au nyingine, mfano yule kijana aliyechoma picha...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaamini serikali inateka wakosoaji wake, na wale wakosoaji wasiotekwa huitwa watu wa vitengo

    Kwema Wakuu! Nazungumza Kwa uzoefu wàngu binafsi. Úkiwa mkosoaji wa viongozi wa serikali au serikali Kwa ujumla Bila kujali Nia yako kuwa ni Njema au mbaya, Bila kujali upo Chama gàni au hauna Chama. Watu kuanzia Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wàtakuambia Bila kificho kuwa unajiingiza...
  17. Noel france

    JamiiForums Tanzania Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  18. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

    “Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mtoto (6) mwingine aliyepotea juzi, amekutwa kafariki kwenye jumba bovu. Je, ni kwanini Rais asitangaze hali ya hatari (State of emegency)

    Mtoto Ashfaki Abimu (5) mkazi wa Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam, amekutwa amefariki dunia katika eneo ya Mbagala Kibonde Maji ndani ya jumba bovu, baada ya kupotea kwa takribani siku tatu akiwa anacheza nje ya nyumba yao ambapo mwili wake umekutwa ukiwa umefanyiwa kitendo cha kikatili...
  20. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu waliopotea na kutekwa na tamko juu ya ongezeko la vitendo vya utekaji na upoteaji wa watu nchini Tanzania

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) kikiongozwa na wakili Boniface A.K Mwabukusi kimetoa tamko zito lililoweka wazi hali ya kusikitisha inayolikumba taifa. Kwa mujibu wa tamko hilo, kumekuwa na ongezeko la matukio ya kutekwa, kupotea, na kuteswa kwa watu nchini...
Back
Top Bottom